Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Ndio huyo huyo mkuundiye yule aliyekuwa anatangaza mwee mwee mweee! ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio huyo huyo mkuundiye yule aliyekuwa anatangaza mwee mwee mweee! ?
Mwisho wa msimu au mwanzo huwa na sherehe ambapo wachezaji na mashabiki huungana katika mitaa ya club hiyo lucerebrate huku pombe kikiwa ndio chakula kikuu. Pombe hutolewa na mdhamini fulani wa hiyo teamWanafanyeje hawa Bayern
wanaitwa the bavarian hio bavaria yenyewe nipombeMwisho wa msimu au mwanzo huwa na sherehe ambapo wachezaji na mashabiki huungana katika mitaa ya club hiyo lucerebrate huku pombe kikiwa ndio chakula kikuu. Pombe hutolewa na mdhamini fulani wa hiyo team
Kwa hiyo na sisi Yanga sc tuitwe "Supuan"wanaitwa the bavarian hio bavaria yenyewe nipombe
Hakuna tunzo ndogo, ila imepatikana wakati mbaya, kama Simba angemfunga mtani basi na hiyo tunzo wanasimba wangeitandikia khanga kutoka airport mpaka Msimbazi, ila mshahara umeingia wakati wa mdeni anataka chake.Na Ile tuzo ya Jana ya Simba ingekuwa ni Yañga ...looh,Mwenyekiti angeenda kupokelewa Terminal One!
kiukwel mm ni shabiki wa simba ila yanga nakiri kusema wametuzid kila kitu hasa kinachonivutia ni mashabik wao ni wavumilivu sana hata wakifungwa wataendelea kuwa na moral tofaut na sisi simba at tunataka raha tu hakuna mpira wa hvyoAnaendelea......
"Yanga inayotembeza bakuli uwanjani kupata Bukubuku bado ilikuwa inapambana na kushika nafasi 2 za juu Ni spirit yao na maisha yao, Uliona walivyolihandle suala la Fei!? Ni kipenzi chao na alikuwa ndiye tegemeo la timu ila kilichofuata!? Wakaungana fasta kumgeuka!
Wana umoja kwenye nyakati nyingi mno! Kwao kumpoteza mchezaji wao kipenzi ni maisha... Watampiga nongwa weee kisha wataendelea na maisha yao! Si ajabu keshokutwa Fei akarudi pale na wakaishi naye kama hakuna lililowahi kutokea.
Jana wameita siku ya Supu sivyo!? Wamesajili wanachama na mashabiki wengine kuhuisha sajili zao! Wangeweza kuuza hao ng'ombe wa Supu ila wameamua kula na mashabiki wao.
Ni timu inayoishi kijima sana katikati ya nyakati za kibepari! Suala mnaloona ni dogo wao hulifanya kuwa kubwa na la tofauti.
Wakati fulani ni ngumu kuwaelewa ila amini umoja hujengwa na vitu viwili tu duniani! STAREHE na MATESO! Suala la bond hiyo kudumu ni kila mmoja anavyoupalilia upendo huo. Timu yao ina vinasaba vya uswahili/uafrika... Sigara 1 wanaweza kuvuta watu 6 alaf fresh tu!"
Hata mimi huyu ndugu nilitamani nipate maoni yake baada ya kile kipigo cha 5G walichotoa Wananchi. Huwa ni jamaa fulani inajibu hoja vizuri. In short hakubali kushindwa!Baada ya kipigo Cha 5G nilisikia ulilazwa mkuu .....but now naona umeludi
Pole sana mkuu.....huo ndo uanaume[emoji1]
Yaaah fact kabisa mkuuHakuna tunzo ndogo, ila imepatikana wakati mbaya, kama Simba angemfunga mtani basi na hiyo tunzo wanasimba wangeitandikia khanga kutoka airport mpaka Msimbazi, ila mshahara umeingia wakati wa mdeni anataka chake.
Kabisa mkuu.....mpira Kuna muda unadrop sio Kila siku wewekiukwel mm ni shabiki wa simba ila yanga nakiri kusema wametuzid kila kitu hasa kinachonivutia ni mashabik wao ni wavumilivu sana hata wakifungwa wataendelea kuwa na moral tofaut na sisi simba at tunataka raha tu hakuna mpira wa hvyo
ni vile tu mm dam dam simba ila club ya yanga na mashabik wake wananikosha sana hilo halina ubish inatupasa tujifunze kutoka kwao
Ndio hivyo mkuu.....jamaa alizidiwa ghafla pale Banda umiza[emoji23]Hata mimi huyu ndugu nilitamani nipate maoni yake baada ya kile kipigo cha 5G walichotoa Wananchi. Huwa ni jamaa fulani inajibu hoja vizuri. In short hakubali kushindwa!
Yanga wana mwenyekiti?Ni kweli .. na wamepata na mfadhili na Mwenyekiti Mswahili Ndio imezidisha ... wao Kila kitu ni tukio! Umeona picha za South Afrika ... Unaona kabisa mtu analazimisha apate picha!Ni ushamba lakini Ndio hivyo .. politics is about Who Get What, When and How!
Kuna watu niliwaambia miaka 2 iliyopita kuwa hii Yañga kama Simba hawata Reinvest ' tutapitwa ...na ziona dalili hizi! Kuna Wanasimba wanaweza kupinga hili lakini ni ukweli Mchungu!
Huwa sina ushabiki wa kijinga, ndio maana ni mara chache sana utaona naanzisha uzi humu. Lakini kuna watu kila baada ya saa moja unakuta ameanzisha uzi. Hao ndio wanaweza wakalazwaBaada ya kipigo Cha 5G nilisikia ulilazwa mkuu .....but now naona umeludi
[emoji23][emoji23]Huwa sina ushabiki wa kijinga, ndio maana ni mara chache sana utaona naanzisha uzi humu. Lakini kuna watu kila baada ya saa moja unakuta ameanzisha uzi. Hao ndio wanaweza wakalazwa