Mchambuzi: Yanga inaishi Kijima kwenye nyakati za Kibepari

Anaendelea......

"Yanga inayotembeza bakuli uwanjani kupata Bukubuku bado ilikuwa inapambana na kushika nafasi 2 za juu Ni spirit yao na maisha yao, Uliona walivyolihandle suala la Fei!? Ni kipenzi chao na alikuwa ndiye tegemeo la timu ila kilichofuata!? Wakaungana fasta kumgeuka!

Wana umoja kwenye nyakati nyingi mno! Kwao kumpoteza mchezaji wao kipenzi ni maisha... Watampiga nongwa weee kisha wataendelea na maisha yao! Si ajabu keshokutwa Fei akarudi pale na wakaishi naye kama hakuna lililowahi kutokea.

Jana wameita siku ya Supu sivyo!? Wamesajili wanachama na mashabiki wengine kuhuisha sajili zao! Wangeweza kuuza hao ng'ombe wa Supu ila wameamua kula na mashabiki wao.

Ni timu inayoishi kijima sana katikati ya nyakati za kibepari! Suala mnaloona ni dogo wao hulifanya kuwa kubwa na la tofauti.

Wakati fulani ni ngumu kuwaelewa ila amini umoja hujengwa na vitu viwili tu duniani! STAREHE na MATESO! Suala la bond hiyo kudumu ni kila mmoja anavyoupalilia upendo huo. Timu yao ina vinasaba vya uswahili/uafrika... Sigara 1 wanaweza kuvuta watu 6 alaf fresh tu!"
Timu ya Wananchi.
 
Two words: Superiority complex.
 
Mchambuzi uchwara unaona kuna bond kwa sababu wanashinda. Wakiwa wanapewa vipigo Gamond atageuka Luc eymel na majina kama utopolo uzaliwa.
Sema usemayo lakini Yañga ni wavumilivu wa mapito ..hebu Kumbuka 2012 kwenye Ile 5 ,au 2018/19 kwenye zile 4 !
Walilia yakapita sisi hizi 5 imekuwa kama Ndio mwisho wa Dunia!
 
[emoji23][emoji23]
 
Sema usemayo lakini Yañga ni wavumilivu wa mapito ..hebu Kumbuka 2012 kwenye Ile 5 ,au 2018/19 kwenye zile 4 !
Walilia yakapita sisi hizi 5 imekuwa kama Ndio mwisho wa Dunia!
Kumbe walilia yakapita kwani sisi tutalia milele?
 
man dunga umeongea uharo, umesahau kipindi cha bakuli.
(1) Metacha Mnata aliwahi watukana mashabiki wa yanga kwa kuwanyoshea kidole cha kati mlipokuwa mnamzomea baada ya matokeo mabaya. (2) Mzee Mpiri aliwahi utukana uongozi wa yanga mlipokuwa mnaambiwa mchangie bakuli. (3) Luc eymel aliwatukana mashabiki wa yanga mlipokuwa mnaponda Yikpe. Hakujawahi kuwa na bond kati ya mashabiki na timu/uongozi kama timu inafanya vibaya , ni kujidanganya tu.
 
Yaaah mkuu... haiwezekani makolo muanze kusema viongozi wajiuzulu...

Sasa Nan atawaongoza[emoji23][emoji23]
Mpiri mlimpa umaarufu baada ya kuwatukana viongozi wenu mlipokuwa mnaambiwa mchangie bakuli. Metacha mnata aliwanyoshea kidole cha kati mlipokuwa mnamzomea baada ya matokeo mabaya halafu uto mnajidanganya eti ni wavumilivu.
 
Lkn hatukuwahi watukana viongozi
 
Binadamu ni mwepesi Sana kusahau hawa Yanga si ndio walimfata nchunga nyumbani kwake wamchalaze bakola
 
Back
Top Bottom