Mchambuzi: Yanga inaishi Kijima kwenye nyakati za Kibepari

Lkn hatukuwahi watukana viongozi
Hujui mambo uliza uambiwe kijana mdogo usidanganyike na wachambuzi uchwara. Enzi za mwenyekiti wenu Lyod Nchunga mashabiki walikusanyika ili kumpindua mwenyekiti wenu kutokana na matokeo Mabaya. Lyod Nchunga alitishiwa sana na mwisho wa siku alijiuzulu uenyekiti. Simba ni wavumilivu kuliko nyinyi, mfano ni huo hapo wa mwenyekiti wenu kujiuzulu, kama ulikuwa hujui Google hilo jina uone habari utakazoletewa.
 
Acha na iwe hivyo wamesota sana sasa wanalunyasi acheni kisirani watani hakikisheni mnamtoa Mangungu na try agin hilo ndio swala mezani kwenu , wanasema mjini connection huwezi pata connection mpaka ujulikane , kujulikana ndio huanzia hapo kwenye kujipendekeza
 
Ila mi naona slogan yao ya " timu ya wananchi " kama inafanya kazi, maana matukio wanayofanya niya kienyeji na siyo mara moja,kuita watu wanywe supu ni kama visherehe vya kijijini ndani ndani huko.

Ukija upande wa Simba ni kama timu ya wenye nazo hamna njaa
 
Simba ni wavumilivu mkuu,hata pamoja na matokeo mabovu hawajawahi kuacha kwenda uwanjani, yanga miaka 5 iliyopita watu walikuwa hawaendi uwanjani, timu ipate tu matokeo mabovu kama utawaona uwanjani
 
Pole na sonona
 
Mswahili hana jambo dogo
 
hahah hapo kwenye sigara sasa
 
Yanga hata uwanjani mashabiki wake wanauzuria kwa wingi zaid ya simba hata kipindi kile Yanga iko hoi bin taaban swala sio njaa ni mashabiki wa Yanga wanamuamko mkubwa na timu yao

Yaani kwenda supu tunaita uswahili mbona hiki ni kituko
 
Yanga hata uwanjani mashabiki wake wanauzuria kwa wingi zaid ya simba hata kipindi kile Yanga iko hoi bin taaban swala sio njaa ni mashabiki wa Yanga wanamuamko mkubwa na timu yao

Yaani kwenda supu tunaita uswahili mbona hiki ni kituko
Wasitupangie, sisi na mambo yetu kivyetuvyetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…