Mchambuzi: Yanga inaishi Kijima kwenye nyakati za Kibepari

ndiye yule aliyekuwa anatangaza mwee mwee mweee! ?
Baada ya kipigo Cha 5G nilisikia ulilazwa mkuu .....but now naona umeludi

Pole sana mkuu.....huo ndo uanaume[emoji1]
 
Wanafanyeje hawa Bayern
Mwisho wa msimu au mwanzo huwa na sherehe ambapo wachezaji na mashabiki huungana katika mitaa ya club hiyo lucerebrate huku pombe kikiwa ndio chakula kikuu. Pombe hutolewa na mdhamini fulani wa hiyo team
 
Ahaa kumbe....
 
wanaitwa the bavarian hio bavaria yenyewe nipombe
 
Na Ile tuzo ya Jana ya Simba ingekuwa ni Yañga ...looh,Mwenyekiti angeenda kupokelewa Terminal One!
Hakuna tunzo ndogo, ila imepatikana wakati mbaya, kama Simba angemfunga mtani basi na hiyo tunzo wanasimba wangeitandikia khanga kutoka airport mpaka Msimbazi, ila mshahara umeingia wakati wa mdeni anataka chake.
 
kiukwel mm ni shabiki wa simba ila yanga nakiri kusema wametuzid kila kitu hasa kinachonivutia ni mashabik wao ni wavumilivu sana hata wakifungwa wataendelea kuwa na moral tofaut na sisi simba at tunataka raha tu hakuna mpira wa hvyo

ni vile tu mm dam dam simba ila club ya yanga na mashabik wake wananikosha sana hilo halina ubish inatupasa tujifunze kutoka kwao
 
Baada ya kipigo Cha 5G nilisikia ulilazwa mkuu .....but now naona umeludi

Pole sana mkuu.....huo ndo uanaume[emoji1]
Hata mimi huyu ndugu nilitamani nipate maoni yake baada ya kile kipigo cha 5G walichotoa Wananchi. Huwa ni jamaa fulani inajibu hoja vizuri. In short hakubali kushindwa!
 
Hakuna tunzo ndogo, ila imepatikana wakati mbaya, kama Simba angemfunga mtani basi na hiyo tunzo wanasimba wangeitandikia khanga kutoka airport mpaka Msimbazi, ila mshahara umeingia wakati wa mdeni anataka chake.
Yaaah fact kabisa mkuu
 
Kabisa mkuu.....mpira Kuna muda unadrop sio Kila siku wewe
 
Hata mimi huyu ndugu nilitamani nipate maoni yake baada ya kile kipigo cha 5G walichotoa Wananchi. Huwa ni jamaa fulani inajibu hoja vizuri. In short hakubali kushindwa!
Ndio hivyo mkuu.....jamaa alizidiwa ghafla pale Banda umiza[emoji23]
 
Yanga wana mwenyekiti?
 
Baada ya kipigo Cha 5G nilisikia ulilazwa mkuu .....but now naona umeludi
Huwa sina ushabiki wa kijinga, ndio maana ni mara chache sana utaona naanzisha uzi humu. Lakini kuna watu kila baada ya saa moja unakuta ameanzisha uzi. Hao ndio wanaweza wakalazwa
 
[emoji23][emoji23]

Pole sana mkuu ...hata uandishi wako unaonekana bado hauja recover
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…