Mchanganuo tozo za LUKU kuanzia August 20-2021

Hiyo elfu 1-5 inalipwa kwa kukatwa kidogo kidogo ama vp
Ndiyo. Kwa mujibu wa TRA ni kwamba mtu mwenye jengo la kawaida anapaswa lipa kodi ya jengo ya shilingi 12,000/= kwa mwaka, na wale wenye maghorofa watalipa 60,000/= kwa mwaka bila kujali idadi ya sakafu/floors iwapo jengo litakuwa kwenye miji midogo.

Sasa hii 1000/= kwa kila mwezi ndiyo italeta 12,000/= kwa mwaka na hii 5,000/= kwa mwezi ndiyo italeta 60,000/= kwa mwaka.
 
Kuna majengo yana mita za luku zaidi ya tatu hapo inakuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…