Mchanganuo wa kujenga nyumba ya vyumba vitatu na sebule

ikiwa eneo tambarare hakikisha una tofali zisizopungua 1,600
 
kwa nini usijenge kwa kwenda chini kama wananchi wa mtera?
 
we ni QS sio..?
hapana nina kauzoefu kidogo kwenye hayo mambo...
Hujaweka bafu, choo, jiko. Kwa ramani ya mleta uzi hiyo idadi itatosha msingi na kozi kadhaa tu....
kiongozi hiyo nyumba inasimama kwa tofari hizo, vyumba 3, kimoja wapo kikiwa self, jiko, sebule kubwa kukidhi pia meza ya chakula na choo, ninavyo vibanda kama hivyo vitano hapa mjini
 
hapana nina kauzoefu kidogo kwenye hayo mambo...

kiongozi hiyo nyumba inasimama kwa tofari hizo, vyumba 3, kimoja wapo kikiwa self, jiko, sebule kubwa kukidhi pia meza ya chakula na choo, ninavyo vibanda kama hivyo vitano hapa mjini

Hapo mkuu inategemea na ukubwa wa vyumba na urefu wa msingi, mathalani kiwanja ni tambarare na nyumba ya ukubwa wa 11m *12m, si chini ya tofali 2500.
 
Mijitu mingine hata kujielezea unashindwa.. Hebu kuwa na akili na uelezeee vizuri.. Utasaidiwaje iwapp hujiewi wewe mwenyewe... Mfyuuuuuuuu
 
Wana JF, natumai mko vizuri.

Naomba mwenye uzoefu na ujenzi anisaidie. Nitahitaji matofali mangapi ya sementi (BLOCK) ili kujenga nyumba hii hadi boma kuisha. Naomba kuwasilisha, KARIBU.

ramani muhimu,
 
Wana JF, natumai mko vizuri.

Naomba mwenye uzoefu na ujenzi anisaidie. Nitahitaji matofali mangapi ya sementi (BLOCK) ili kujenga nyumba hii hadi boma kuisha. Naomba kuwasilisha, KARIBU.

Una ramani? Okay, fanya hivi.
Standard wise, square metre moja ya ukuta hujengwa kwa tofari 9 zikisimama, au 12 zikilazwa. (450*230*150mm block)
Chukua length*height of your wall, for all the walls of your house to get the total square metres of the walls. Then deduct the total square metres of openings. ie windows and doors.
Then multiply the remaining square metres of walls by the number of blocks per square metre, to get the total number of blocks for your house.
If that doesnt help, mtafute Qs.
 
Jerhy iyo ni picha.. Hakuna any numbers apo.. Ni sawa na kuleta picha ya msitu afu utuombe tukuhesabie miti.
Plans with dimensions, sections and other drawings can help better estimate quantities.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…