Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we ni QS sio..?ikiwa eneo tambarare hakikisha una tofali zisizopungua 1,600
tafuta qs akutayarishie boq hapa wajuaji wengi wasio na taaluma
tafuta qs akutayarishie boq hapa wajuaji wengi wasio na taaluma
BoQ bila ramani
Hujaweka bafu, choo, jiko. Kwa ramani ya mleta uzi hiyo idadi itatosha msingi na kozi kadhaa tu....ikiwa eneo tambarare hakikisha una tofali zisizopungua 1,600
hapana nina kauzoefu kidogo kwenye hayo mambo...we ni QS sio..?
kiongozi hiyo nyumba inasimama kwa tofari hizo, vyumba 3, kimoja wapo kikiwa self, jiko, sebule kubwa kukidhi pia meza ya chakula na choo, ninavyo vibanda kama hivyo vitano hapa mjiniHujaweka bafu, choo, jiko. Kwa ramani ya mleta uzi hiyo idadi itatosha msingi na kozi kadhaa tu....
hapana nina kauzoefu kidogo kwenye hayo mambo...
kiongozi hiyo nyumba inasimama kwa tofari hizo, vyumba 3, kimoja wapo kikiwa self, jiko, sebule kubwa kukidhi pia meza ya chakula na choo, ninavyo vibanda kama hivyo vitano hapa mjini
Wana JF, natumai mko vizuri.
Naomba mwenye uzoefu na ujenzi anisaidie. Nitahitaji matofali mangapi ya sementi (BLOCK) ili kujenga nyumba hii hadi boma kuisha. Naomba kuwasilisha, KARIBU.
Wana JF, natumai mko vizuri.
Naomba mwenye uzoefu na ujenzi anisaidie. Nitahitaji matofali mangapi ya sementi (BLOCK) ili kujenga nyumba hii hadi boma kuisha. Naomba kuwasilisha, KARIBU.
ikiwa eneo tambarare hakikisha una tofali zisizopungua 1,600
ikiwa eneo tambarare hakikisha una tofali zisizopungua 1,600
Mkoroshokigoli kwani tunagombana....! wewe na grafani nipe makisio yenu....naungana na grafani hii idadi ya tofali 1600 sio kweli kabisaaaaaa,,,,,