Mdau kabanga samahani hatugombani, ila atleast tofali 2000 mpaka kwenye rinta,chini kunakula tofati maana zinalazwa,Mkoroshokigoli kwani tunagombana....! wewe na grafani nipe makisio yenu....
Hapo mkuu inategemea na ukubwa wa vyumba na urefu wa msingi, mathalani kiwanja ni tambarare na nyumba ya ukubwa wa 11m *12m, si chini ya tofali 2500.
mkuu kuelimishana muhimu, kwa kila mtu na fani yake, huwezi kujua fani zote.Baadhi ya watu humu huwa wanaomba ushauri hata wa namna ya kunya
ramani nyumba ya vyumba vitatu. chumba-sebure-chumba au chumba-chumba-chumba kuna ramani zaidi ya hizi?
Ni kweli lengo ni kusaidiana. Mtu anauliza swali liko nusunusu atasaidiwaje. Hiyo inaonyesha kuwa muuliza swali hayuko serious au anajifurahisha tumkuu kuelimishana muhimu, kwa kila mtu na fani yake, huwezi kujua fani zote.
Mkuu amesema ana vibanda vitano kwa idadi hiyo ya matofali. Angesema nyumba ningemuuliza maswali zaidi...naungana na grafani hii idadi ya tofali 1600 sio kweli kabisaaaaaa,,,,,
Kaka huyo anayesema tofali 1600 anadanganya umma, mimi mwenyewe nyumba yangu ya kwanza yenye vyumba 2 na master bedroom 1, jiko, bafu choo, sebule na dinning msingi peke yake ulitumia tofali sio chini ya 800, sasa kweli tofali nyingine 800 zinaweza kusimamisha nyumba au kibanda!Ukitaka kujua idadi ya tofari lazima ujue ramani yako ikoje! Nyumba ya vyumba vitatu self container sio ndogo hizo tofari 1600 zitaishia msingi tu!
Umeulizwa na nani humu Jf mpaka utuambie unavibanda vitano acha kierehere wewe...!!hapana nina kauzoefu kidogo kwenye hayo mambo...
kiongozi hiyo nyumba inasimama kwa tofari hizo, vyumba 3, kimoja wapo kikiwa self, jiko, sebule kubwa kukidhi pia meza ya chakula na choo, ninavyo vibanda kama hivyo vitano hapa mjini
Wana JF, natumai mko vizuri.
Naomba mwenye uzoefu na ujenzi anisaidie. Nitahitaji matofali mangapi ya sementi (BLOCK) ili kujenga nyumba hii hadi boma kuisha. Naomba kuwasilisha, KARIBU.
Nimeilike hiyo ramanisample house.
1. image kama inavyoonekana
2. PDF ni ramani ya hiyo image
3. Excel file ni estimate cost ya hiyo ramani
NB; assume project ipo dsm au maeneo ya jirani yanayozunguka dsm. also assume plot ni flat or ina gentle slope.
NOTE; nimeweka Excel kwa makusudi kwamba unaweza ku'edit kulingana na bei halisi za building materials na labour charge kulingana na eneo unalokusudia kujenga.
kwa mimi hizo ndo bei zangu za labour charge and supervision.
Pigia hesabu hapo kwa nyumba hii, kwa mfano.
????!!!!!.......Mijitu mingine hata kujielezea unashindwa.. Hebu kuwa na akili na uelezeee vizuri.. Utasaidiwaje iwapp hujiewi wewe mwenyewe... Mfyuuuuuuuu
hii ramani kali sana nimeipenda,je hauna ramani ya vyumba viwili m/bedroom na kimoja cha watoto?sample house.
1. image kama inavyoonekana
2. PDF ni ramani ya hiyo image
3. Excel file ni estimate cost ya hiyo ramani
NB; assume project ipo dsm au maeneo ya jirani yanayozunguka dsm. also assume plot ni flat or ina gentle slope.
NOTE; nimeweka Excel kwa makusudi kwamba unaweza ku'edit kulingana na bei halisi za building materials na labour charge kulingana na eneo unalokusudia kujenga.
kwa mimi hizo ndo bei zangu za labour charge and supervision.
Hahahahaaaaaaaaaaaa.....Umeulizwa na nani humu Jf mpaka utuambie unavibanda vitano acha kierehere wewe...!!
Umeulizwa na nani humu Jf mpaka utuambie unavibanda vitano acha kierehere wewe...!!