Mchanganyiko bora wa juisi ya matunda ni upi?

Nisaidie, kama tense sina naweza tumia nini?
 
Embe + passion
Ok, kwanza osha matunda yako vizuri na maji safi
1. Baada ya kumaliza kumenya embe zako, kata vipande vipande kwa kadri ambavyo utaona vinaweza kusagika kwa urahisi kwa kutumia blender
2. Saga embe kwa blender kisha chuja
3. Kata passion zako kisha toa ule mchanganyiko wa ndani weka kwenye blender
4. Saga passion zako kwa blender
5. Chuja passion zako kwa kuchanganyia kwenye ule mchujo wa embe, huku ukikadiria uzito, kulingana na vile unapenda {nzito au nyepesi}
5. Ongezea sukari, na aina nyingine ya flavour utakazopenda.
Hapo juice ipo tayari, hifadhi kwenye jokofu ili kuweza kupata baridi.
 
Shukrani sana mkuu
 
Tumia kistaharabu, wanaume tu.
 
karibuni akina kaka na akina dada.
kila mtu anaweza kushare uzoefu wake.
ni mchanganyiko gani wa matunda huleta juice yenye ladha nzuri.kila mtu anaweza kuikubali.sio kwa matumizi ya familia tu..hata for commercial purpose.
karibuni!
Wakina baba haturuhusiwi kuchangia humu..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…