JITU LA MIRABA MINNE
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 726
- 476
urithi tu wa mwiliHuo uzito bila Shaka unakula kula Sana,
Punguza kula mno na ufanye mazoezi.
Hayo makorokoro yatakuumiza mwili TU.
Mazoezi ni kipaji mkuuHuo uzito bila Shaka unakula kula Sana,
Punguza kula mno na ufanye mazoezi.
Hayo makorokoro yatakuumiza mwili TU.
Mkuu mimi ni muumini mkubwa wa OMAD (One Meal A day) na matokeo makubwa sana nimeyaona. Ndani ya miezi miwili nimepungua zaidi ya kilo kumi. Jana nimetoka kutoboa kishimo cha pili cha mkanda maana suruali zinashuka.Achana na hiyo,fanya hivi,funga tu Kama Muslims,usile chochote asubuhi mpaka saa kumi na mbili na ule wastani,kula Tena saa sita usiku kidogo na unyww maji mengi,ndani ya wiki mbili utakua umepunguua kwa kiasi kikubwa.
a gan upo fixed kwako kula sasaMkuu mimi ni muumini mkubwa wa OMAD (One Meal A day) na matokeo makubwa sana nimeyaona. Ndani ya miezi miwili nimepungua zaidi ya kilo kumi. Jana nimetoka kutoboa kishimo cha pili cha mkanda maana suruali zinashuka.
mda gani upo fixed kwako kulamd
a gan upo fixed kwako kula sasa
Muda wangu wa kula unaanzia kati ya saa kumi na moja jioni mpaka saa moja na nusu usiku.mda gani upo fixed kwako kula
Huo mchanganyiko si kitu kama huta Punguza kula. Pia nazoezi fanya ya kukimbia sio kunyanyua vyumaWazee ujumbe unajitosheleza nisiwakamue ubongo wenu.
Nimetengeneza huo mchanganyiko nataka nikate mafuta tumboni huku nafanya mazoezi ya viungo kwani uzito wangu ni kg 100, hadi visigino vinauma
Nimechanganya huo mchanyanyiko lita 1 na nusu natakiwa uji huo kijiko kimoja asubuhi, mchana na jioni
msaada kwenye tuta
Yanapatikana wapi ?Kama utaweka kwenye friji itachukuwa siku 3 hadi wiki 1. Ushauri:- kama unatoa kitambi nunua mafuta ya tangawizi halafu paka kwenye tumbo lako mara mbili kwa siku wiki tu utapata matokeo. Kama unapunguza mwili paka mwili mzima.
Asante mbabaHuo mchanganyiko si kitu kama huta Punguza kula. Pia nazoezi fanya ya kukimbia sio kunyanyua vyuma
Muda wangu wa kula unaanzia kati ya saa kumi na moja jioni mpaka saa moja na nusu usiku.
Najitahidi sana nisile baada ya saa mbili usiku.
Pia nimeacha matumizi ya sukari kabisa. Hapo nazungumzia soda, juice, beer, keki n.k.
Pia junk foods situmii kabisa. Vyakula vitokanavyo na ngano pia situmii.
Kwa weight yako usifanye mazoezi magumu utaumiza joints control chakula kwanza ukishakata weight ndio uanze mR
Roger sofer overMuda wangu wa kula unaanzia kati ya saa kumi na moja jioni mpaka saa moja na nusu usiku.
Najitahidi sana nisile baada ya saa mbili usiku.
Pia nimeacha matumizi ya sukari kabisa. Hapo nazungumzia soda, juice, beer, keki n.k.
Pia junk foods situmii kabisa. Vyakula vitokanavyo na ngano pia situmii.
Kwa weight yako usifanye mazoezi magumu utaumiza joints control chakula kwanza ukishakata weight ndio uanze mazoezi.