Mchanganyiko uliosagwa wa Tangawizi, Kitunguu Saumu, Mdalasini, Limao na Asali vinaweza kutumika kwa muda gani bila kuharibika?

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2015
Posts
726
Reaction score
476
Wazee ujumbe unajitosheleza nisiwakamue ubongo wenu.

Nimetengeneza huo mchanganyiko nataka nikate mafuta tumboni huku nafanya mazoezi ya viungo kwani uzito wangu ni kg 100, hadi visigino vinauma

Nimechanganya huo mchanyanyiko lita 1 na nusu natakiwa uji huo kijiko kimoja asubuhi, mchana na jioni
msaada kwenye tuta
 
Huo uzito bila Shaka unakula kula Sana,
Punguza kula mno na ufanye mazoezi.
Hayo makorokoro yatakuumiza mwili TU.
 
Achana na hiyo,fanya hivi,funga tu Kama Muslims,usile chochote asubuhi mpaka saa kumi na mbili na ule wastani,kula Tena saa sita usiku kidogo na unyww maji mengi,ndani ya wiki mbili utakua umepunguua kwa kiasi kikubwa.
Mkuu mimi ni muumini mkubwa wa OMAD (One Meal A day) na matokeo makubwa sana nimeyaona. Ndani ya miezi miwili nimepungua zaidi ya kilo kumi. Jana nimetoka kutoboa kishimo cha pili cha mkanda maana suruali zinashuka.
 
md

a gan upo fixed kwako kula sasa
 
Mkuu, we fanya intermittent fasting pamoja na kupunguza wanga kwenye chakula chako na kuongeza proteins. Hakuna mwili wa kurithi.
Huo mchanganyiko ukiutwist kidogo tu utakusaidia kuongeza nguvu za kiume
 
Kama utaweka kwenye friji itachukuwa siku 3 hadi wiki 1. Ushauri:- kama unatoa kitambi nunua mafuta ya tangawizi halafu paka kwenye tumbo lako mara mbili kwa siku wiki tu utapata matokeo. Kama unapunguza mwili paka mwili mzima.
 
mda gani upo fixed kwako kula
Muda wangu wa kula unaanzia kati ya saa kumi na moja jioni mpaka saa moja na nusu usiku.
Najitahidi sana nisile baada ya saa mbili usiku.
Pia nimeacha matumizi ya sukari kabisa. Hapo nazungumzia soda, juice, beer, keki n.k.
Pia junk foods situmii kabisa. Vyakula vitokanavyo na ngano pia situmii.
Kwa weight yako usifanye mazoezi magumu utaumiza joints control chakula kwanza ukishakata weight ndio uanze mazoezi.
 
Wazee ujumbe unajitosheleza nisiwakamue ubongo wenu.

Nimetengeneza huo mchanganyiko nataka nikate mafuta tumboni huku nafanya mazoezi ya viungo kwani uzito wangu ni kg 100, hadi visigino vinauma

Nimechanganya huo mchanyanyiko lita 1 na nusu natakiwa uji huo kijiko kimoja asubuhi, mchana na jioni
msaada kwenye tuta
Huo mchanganyiko si kitu kama huta Punguza kula. Pia nazoezi fanya ya kukimbia sio kunyanyua vyuma
 
Kama utaweka kwenye friji itachukuwa siku 3 hadi wiki 1. Ushauri:- kama unatoa kitambi nunua mafuta ya tangawizi halafu paka kwenye tumbo lako mara mbili kwa siku wiki tu utapata matokeo. Kama unapunguza mwili paka mwili mzima.
Yanapatikana wapi ?
 
Muda wangu wa kula unaanzia kati ya saa kumi na moja jioni mpaka saa moja na nusu usiku.
Najitahidi sana nisile baada ya saa mbili usiku.
Pia nimeacha matumizi ya sukari kabisa. Hapo nazungumzia soda, juice, beer, keki n.k.
Pia junk foods situmii kabisa. Vyakula vitokanavyo na ngano pia situmii.
Kwa weight yako usifanye mazoezi magumu utaumiza joints control chakula kwanza ukishakata weight ndio uanze mR
Muda wangu wa kula unaanzia kati ya saa kumi na moja jioni mpaka saa moja na nusu usiku.
Najitahidi sana nisile baada ya saa mbili usiku.
Pia nimeacha matumizi ya sukari kabisa. Hapo nazungumzia soda, juice, beer, keki n.k.
Pia junk foods situmii kabisa. Vyakula vitokanavyo na ngano pia situmii.
Kwa weight yako usifanye mazoezi magumu utaumiza joints control chakula kwanza ukishakata weight ndio uanze mazoezi.
Roger sofer over
 
Penda kufanya zoez aina ya prank
Ni zoez zuri sana kwa watu ambao hawana muda mwingi wa kufanya mazoez ila wanahitaj kupunguza tumbo
Anza na dakika moja na baada ya kila siku tatu unaongeza nusu dakka
Mpaka utapo fika dakka 3
Nakuhakikishia kama utamaliza mwez unafanya hili zoez mafuta yote ya tumbo yatakuwa yameisha, yasipoisha niite Mbwa nipo nimekaa pale
Screenshot_20220808-230503.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20220808-230503.jpg
    Screenshot_20220808-230503.jpg
    36.4 KB · Views: 81
Back
Top Bottom