Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

One day yes tutakutana asante sana
 
Usishangae siku unakutana na mtu anakuja kukutangaza unamanynyo kama matikiti ya morogoro.... JF wanajijua wenyewe.
Haaa mie sina humu humu mtu nisije kutana na watu wasiojulikana maana wasije rudi humu jamani Ulweso ni mhenga
 
asilimia 99 humu ni majini ya baharini, kila mmoja abaki huko huko aliko tusionane, tukutane tu humuhumu. kuchati na jini sio tatizo, tatizo ni kukutana nalo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120] kwa niaba
 
Mimi usiponiona nikiwa hai usiache kuniona nikiwa kwenye jeneza nikielekea nyumba yangu ya milele.

Hakikisha unaambatana na kapeace
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…