Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Kapeace (Kampisi) na Miss natafuta.
Natamani ipatikane cku nikutane nao live.
Tamaa ya kutaka kuwaona ni aina yao ya comments wanazochangia humu.
Kwa ufahamu wangu, watu huletwa pamoja hadi kuwa marafiki ni kwa njia ya maongezi pekee.
Maongezi ndiyo husababisha kutambua kuwa huyu mtu ni wa level gani.
One day yes tutakutana asante sana
 
Usishangae siku unakutana na mtu anakuja kukutangaza unamanynyo kama matikiti ya morogoro.... JF wanajijua wenyewe.
Haaa mie sina humu humu mtu nisije kutana na watu wasiojulikana maana wasije rudi humu jamani Ulweso ni mhenga
 
asilimia 99 humu ni majini ya baharini, kila mmoja abaki huko huko aliko tusionane, tukutane tu humuhumu. kuchati na jini sio tatizo, tatizo ni kukutana nalo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nitakua mchoyo wa fadhira nisipo washukuru vichwa vya maana
vinavyotoa nondo kule Jf Intelligence na ndio watu nataman niwaone nizidi kupata nondoz..
Hawa ni baadhi tu..
Eiyer
SALA NA KAZI
juve2012
Malcom Lumumba
izzo
@PNC1
Che mittoga
jiwe la majiwe
mshana jr
Pascal Mayalla
MSEZA MKULU
The bold
Kifyatu
Otorong'ong'o
CHIEF MKWAWA
EMPTY
Kaveli
Deception

Nitarudi kuongeza listi..
Nyinyi watu hapo juu nawaheshimu na kuwapenda sana MUNGU awabariki
[emoji120] [emoji120] [emoji120] kwa niaba
 
Kwa jinsi tunavyoishi humu huwa inatokea tu kutokana na michango yetu na kuzoweana inafikia hatua kila uliyezoweana naye unataka itokee siku muonane ili kupiga story pamoja.

Mie nina wengi sana jamaani. Ipo siku ambao hatujaonana tutaonana na kuchekana kwa sababu wengine sie ni vibibi. [emoji85] [emoji85] [emoji85] Hahahaaaa.

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mimi usiponiona nikiwa hai usiache kuniona nikiwa kwenye jeneza nikielekea nyumba yangu ya milele.

Hakikisha unaambatana na kapeace
 
Back
Top Bottom