Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Ruvuma aseehNamtumbo ipo wapi mkuu Daby?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ruvuma aseehNamtumbo ipo wapi mkuu Daby?
One day yes tutakutana asante sanaKapeace (Kampisi) na Miss natafuta.
Natamani ipatikane cku nikutane nao live.
Tamaa ya kutaka kuwaona ni aina yao ya comments wanazochangia humu.
Kwa ufahamu wangu, watu huletwa pamoja hadi kuwa marafiki ni kwa njia ya maongezi pekee.
Maongezi ndiyo husababisha kutambua kuwa huyu mtu ni wa level gani.
karibu Sana huku tunalima tumbaku ukihitaji nitakufungashia.Ahaa!!
Nitakuja mkuu
Haaa mie sina humu humu mtu nisije kutana na watu wasiojulikana maana wasije rudi humu jamani Ulweso ni mhengaUsishangae siku unakutana na mtu anakuja kukutangaza unamanynyo kama matikiti ya morogoro.... JF wanajijua wenyewe.
Hahaha.. [emoji377]karibu Sana huku tunalima tumbaku ukihitaji nitakufungashia.
TehHaaa mie sina humu humu mtu nisije kutana na watu wasiojulikana maana wasije rudi humu jamani Ulweso ni mhenga
Panapo majaliwa mkuu tutaonana [emoji144]♂️Shinie
Mis chaga
Mis natafuta
Hawachelewi mara yule mama kanitokea nimemkataa nikupambana na hali zetu basiTeh
Vijana kaa nao mbali.. Hawacheleweshi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]asilimia 99 humu ni majini ya baharini, kila mmoja abaki huko huko aliko tusionane, tukutane tu humuhumu. kuchati na jini sio tatizo, tatizo ni kukutana nalo
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]Mimi jini la kurarua Malinda
sitamani kumuona mtu yeyote hataMimi natamani saana nikutane na huyu kaka anajiita Nokia83,nanyi tiririkine tuone..
[emoji120] [emoji120] [emoji120] kwa niabaNitakua mchoyo wa fadhira nisipo washukuru vichwa vya maana
vinavyotoa nondo kule Jf Intelligence na ndio watu nataman niwaone nizidi kupata nondoz..
Hawa ni baadhi tu..
Eiyer
SALA NA KAZI
juve2012
Malcom Lumumba
izzo
@PNC1
Che mittoga
jiwe la majiwe
mshana jr
Pascal Mayalla
MSEZA MKULU
The bold
Kifyatu
Otorong'ong'o
CHIEF MKWAWA
EMPTY
Kaveli
Deception
Nitarudi kuongeza listi..
Nyinyi watu hapo juu nawaheshimu na kuwapenda sana MUNGU awabariki
Mi nakuogopa maana mara ya mwisho tumekaa pamoja ulitaka kuniua kwa bia na nyama choma kwa Mromboo pale. Unafikiri nimesahau?
Mimi usiponiona nikiwa hai usiache kuniona nikiwa kwenye jeneza nikielekea nyumba yangu ya milele.Kwa jinsi tunavyoishi humu huwa inatokea tu kutokana na michango yetu na kuzoweana inafikia hatua kila uliyezoweana naye unataka itokee siku muonane ili kupiga story pamoja.
Mie nina wengi sana jamaani. Ipo siku ambao hatujaonana tutaonana na kuchekana kwa sababu wengine sie ni vibibi. [emoji85] [emoji85] [emoji85] Hahahaaaa.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Fanyeni haraka sana....Sawa babu tutajitahidi, hatutakuangusha