Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Hahaha! Naona japo nimekukataza ila bado umedhamiria amiria kutimiza nia ya kuonana tena kwa siri eeh? Kumbuka hamna siri ya watu wawili, nitajua tu...
Sasa je bora uniruhusu kiroho safi ili nikienda nijue kabisa kwamba najulikana nikienda kwa siri ntafanya yote ya siri
 
Sasa je bora uniruhusu kiroho safi ili nikienda nijue kabisa kwamba najulikana nikienda kwa siri ntafanya yote ya siri
Hii nia inakadhia. Mwisho wake si mzuri naona kuna kuonana na kuweka ya siri sirini. Sikubaliani na wazo lako. Sitaki.
 
Zamani ilikuwa raha sana.
Unakutana na member na unakunywa nae bila wasiwasi.
ila zama hizi sizo....lazima muishie gesti.
Watu wana hasira sana na anko
 
Napenda one day this year tu arrange plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…