Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Aliyekugongea like eeh?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Aliyekugongea like eeh?
Mie huyu jamaa mshana natamani sana nimuone,kuna kipindi tungekutana kampala but ilishindikana!!!
HaahhahaahHakuna anayetaka kukutana na Raimundo mzee wa Assist?
ikiwezekana hata leo yaniMkuu we shida yako si umuone?
kapeace natamani kuonana na wewe mkuuKwa jinsi tunavyoishi humu huwa inatokea tu kutokana na michango yetu na kuzoweana inafikia hatua kila uliyezoweana naye unataka itokee siku muonane ili kupiga story pamoja.
Mie nina wengi sana jamaani. Ipo siku ambao hatujaonana tutaonana na kuchekana kwa sababu wengine sie ni vibibi. [emoji85] [emoji85] [emoji85] Hahahaaaa.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Nimekugongea like...Aliyekugongea like eeh?
Rekebisha sasaikiwezekana hata leo yani
Asante...unataka kuonana na mimi? Uko wapi? Nitumie nauli nijeNimekugongea like...
Ebu nitaje nikutumie picha yangu kapeace [emoji85]Ukitajwa unatutumia walau kapicha tukuone
Mimi napenda nikutane na member yoyote anaenikubali
hahaha [emoji28][emoji23]Kuna member wa hiyo id kumbe
Mimi wa afyaPoa kabisa my dear. Mzima?
Hahaha! Una akili nyingi mnooo...Asante...unataka kuonana na mimi? Uko wapi? Nitumie nauli nije
kwann..?Halafu hii thread imekaa kimtongozo flan hivi...
R.I.P-Regia Mtemamiaka ya 2010 mpaka 2014 wanajf tulikuwa tunakutana sana...tulichangiana michango ya harusi na tulihudhuria kwa wingi .... tulifanya tour sehem kama ngorongoro,iringa, tanga dsm nk kote huko tulikutana na kupiga story na kubadilishana mawazo..by then jf was jf.....
sitahau nilipokutana na regia mtema..kisha kesho yake akaaga dunia..
Okay. Siku njema mwaya.Mimi wa afya