Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Hahahah hawezi kukuroga bana namfahamu huyu ndugu Yangu.. we leta zote tu nikutunzia mie ni zaidi ya bank[emoji5]
Hahaha jamaa mchawi hataree. Anaweza hata kukugeuza paka. Unaweza kutunza kweli? Fanyia kazi nihamishe muamala fastaaa
 
Put a cropped snap of em pretty lips of yours na uweke basi hapo....that would be a killer!!! [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Hehehe pretty lips my toe..[emoji23] [emoji23] we unajua kila mtu ana pretty lips eeh?
 
Ontario

The bold

Joseverest

Halafu kuna dada mmoja hivi sijui anaitwa adima ? Jina limenitoka kidogo.
 
Aiseeee nikianza kuwataja hapa nitajaza server ya jf[emoji4][emoji4][emoji4].
Ile team yangu kwanza wote natamani kuwaona japo wengine nishawaona.
My one and only Nyagei[emoji7] love you soo much Hubby[emoji131]
Sergio
Emmyta
Shunie
Sakayo
My Grandpa Asprin
BAK
Numbisa
Carba
Mwifwa
Dj Sepetu
Mzee mwenzangu Espy
Ni wengi mnooooo acha niishie hapo kwa muda
Much[emoji131] [emoji131]
 
Back
Top Bottom