Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Kuna jamaa alitoa uzi wa Hatasahau alivyoenda kujitambulisha Kugalo akatolewa nduki na Gobole baba mkwe mtarajiwa. Hadi leo nacheka nikikumbuka ile story
 
Ontario

The bold

Joseverest

Halafu kuna dada mmoja hivi sijui anaitwa adima ? Jina limenitoka kidogo.

The bold,monstgala,eiyer,mseza mkulu,mkwepa kod,mshana jr,joseverest...

Joseverest , huyu jamaa nitampa black battle 'belaire' moja kama zawadi kwa uchangiaji bora

Joseverest

Joseverest na mshana au lemutuz.walisema shati lake linafunika vitz

hahaha [emoji28][emoji23]

The bold
Maserati
Mshana
Sakayo
lin
Kichwa kichafu
Sky
Heaven sent
Evelyn salt
Joseverest
Behavorist
Sergio
Farmer poutry

wengine ID zao ngumu kuziandika sikumbuki spelling aisee..

Mi swahiba wangu joseverest

Mshana jr... Skyeclat coz huyu jina kama la mwanangu... The bold... joseverest

Aisee Mimi naweza weka makundi matatu
1.ninao wakubali kihisi Kali sio za nchi hii natamani hadi kuwatafuna wabichi ni
Kapeace
Joanah
Demiss

2.marafiki Wa kina
Sergio
Jose
Beira
Mwifwa
Behaviorist

3.ninao appreciate michango yao
Mshana Jr
BAK
Kikulachochako
The Bold
Pasco
Sakayo

Wengine miss natafuta mbitiyaza shunie emmyta carba youngblood linamo
Wapo wengi sana.....

Josevatest + mshana jr.

dj sepetu,sky eclat,miss natafuta,joseverest,
joanah,kapeace,mshana jr, n.k

ntakuja kuendelea

Natamani nikutane na wengi mno Joseverest,DJ,Mwifa,Nahuja,Emmyta,shunie,Linamo,Ukuthy,Bonny,Sky,Kichwa kichafu,Young blood,Carba,Eric Otieno na kuna mmoja special baby mama naomba nisikutaje unajijua
Aiseeh!!! Asanteni sana wakuu...Mungu akijaalia tutaonana... Pamoja sana
 
Mi natamani tukae sehemu na blaza Gudume aniambukize busara zake aiseee! Anabusara sana huyu jamaa!
 
Back
Top Bottom