Mchangiaji Malumbano ya Hoja ITV na Radio One: Wanawake wengi Walioajiriwa Maofisini walitoa na wanatoa bado Rushwa ya Ngono

Mchangiaji Malumbano ya Hoja ITV na Radio One: Wanawake wengi Walioajiriwa Maofisini walitoa na wanatoa bado Rushwa ya Ngono

Yaani hawa viumbe hawajawahi kuwa na userious wowote kwenye kila wanachokifanya

Unaweza kumwacha home kwa kufikiria akienda kudinywa na mabosi zake lakini bodaboda au mbeba taka tu mtaani kwako hapo akajilia tunda uzuri kabisa.

Lakini uzuri wao wakifikaga age flani huwa wanatulia kutokana na maumbile yao,so cha kuomba Mungu ni kuomba uzee uwakute mkiwa hamna mtoto wa nje au magonjwa ya kuambukiza.
 
KUna jamaa yangu mmoja mkewe alikuwa anafanya kazi tasisi binafsi so kila siku mkewe anakuja na elfu hamsini some times laki jamaa akaanza shemeji yenu ofisi yao ipo vizuri sana kila siku anatoka na elfu hamsini some times laki moja, wazee wa Cuba tunaguna mmh ofisi ile kwa kipi cha ziada kufuatilia sana kumbe shemeji yatu kila siku anatoa papuchi kwa boss yani boss akanunua mpaka
Kitanda akaweka ofisini kwake eti akichoka apumzike
Kumbe ilikuwa machinjio
 
"Wanaume mlioko hapa katika hiki Kipindi cha Malumbano ya Hoja naomba niwaambieni Ukweli kama una Mke au Mpenzi wako anafanya Kazi Ofisi yoyote ile jua ya kwamba kapata hiyo Kazi na Cheo kama anacho kwa kutoa Rushwa ya Ngono na bado anaendelea kuitoa mpaka sasa ili Kulinda hiyo Ajira yake na hicho Cheo chake" amesema Dada Mchangiaji wa Kipindi cha Malumbano ya Hoja cha ITV na Radio One ambacho kwa Siku ya Leo kilijikita zaidi katika Suala zima la Rushwa na Udhibiti wake.

Sasa kama Mwanamke Mwenyewe ameshakiri kuwa Wake za Watu na Mademu zao Walioko Maofisini wamepata Kazi (Ajira) hizo na Vyeo walivyonavyo kwa Kubanduliwa na Wakubwa ( Mabosi ) na kwamba mpaka leo bado (Wanabanduliwa) bila Huruma Mimi GENTAMIYCINE ni nani nibishe au nimpinge?

Mlio na Wake na Mademu zenu huko Maofisini huku Wengine wakiwa ni Mabosi nawapeni Pole nyingi kwani huenda Usiku mkiwa nao Majumbani mwenu huwa mnakula Makombo tu kwani tayari naniliu zao zinakuwa zimechakazwa na kutifuliwa mno na Mabosi zao huko Maofisini.

Ndiyo maana wenye Akili hatutaki Wake na Mademu zetu wakafanye Kazi Maofisini ila tutajichanga na Kuwafungulia Miradi Majumbani au Kushirikiana nao Ng'adu kwa Ng'adu katika Shughuli zetu huku tukiwa tunawaona na Kuwadhibiti kiurahisi.

Yaani kabisa GENTAMIYCINE niwe na Mke / Demu mkali kama Shunie na cocastic ambaye Boss adriz anawatamani katika Kampuni / Ofisi yake halafu nimruhusu akatafute Ajira (Kazi) kule?

Hivi siionei Huruma kweli hiyo ( Naniliu ) yake kwa jinsi itakavyochakatwa bila Huruma kisha Jioni ikirejea Kwangu nakuta Makombo tu ya Mabosi / Wakubwa wa Maofisini?

Kesho tarehe 7 July ni Public Holiday ( Sikukuu ya Saba Saba ) hivyo zinapumzishwa na Mabosi hawazipati hivyo GENTAMIYCINE nawasihi kuanzia Usiku huu zitumieni vizuri tu huko Majumbani / Maghettoni mwenu kwani kuanzia Jumatatu ijayo hadi Ijumaa ijayo itakuwa ni zamu za Mabosi / Wakubwa zao Maofisini na nyie Waume na Mabwana Kula tu Makombo na wakati mwingone hata ukipangiwa Idadi ya Mabao ya Kupiga kwakuwa anakuwa ameshachoshwa sana Kingono Ofisini na Mkubwa / Bosi.
Rushwa ni nyingi Sana na ccm ndio wapuuzi Sana na ni sugu kwa rushwa! Pumbavu zao!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
"

Ndiyo maana wenye Akili hatutaki Wake na Mademu zetu wakafanye Kazi Maofisini ila tutajichanga na Kuwafungulia Miradi Majumbani au Kushirikiana nao Ng'adu kwa Ng'adu katika Shughuli zetu huku tukiwa tunawaona na Kuwadhibiti kiurahisi.
Malays ni malaya hata awe mama wa nyumbani full time abatement hata na muuza genge akiaha kwenda kusuka nywelw.anamalizana huko.huko,akienda sokoni anamalizana huko huko,ukitoka kidogo tu hesabu maumivu

Kifupi vigumu kudhibiti mwanamke malaya
 
Mwanamke ni Victim katika kila upande. Binti kapiga zake msuli kapata division one kaenda zake Udsm kapata zake degree kapambana mtaani mungu sio Athumani kapata zake kazi kawa Strong, Smart and Independent Woman.

Ghafla anatokea mtu asiyejua hatma yake ya maisha anaenda kutafuta attention kwenye vituo vya kitaifa vya habari na kuongea Nonsense kuhusu Wanawake kwa sababu anawaonea wivu.

Mkuu akili yako usiifanye kama gari la taka kubeba kila unachosikia fanya tathmini ya kina kwanza.

[mention]BabaMorgan [/mention] mkuu kwenye hii hoja yako nitakupinga japo upo sahihi kwa upande m1.

Kuna watoto wakike walio soma na wakapata ajira bila rushwa ya ngono kabisa nakubali ila ni wachache sana. Hawa tuwaite familia bora na wanao jiweza ki masomo.

Ila nikuhakikishie kama binti yako ni mzuri kuanzia (kiasi>) kwenda mbele, alafu akawa kwenye haya makundi basi jua anachakatwa na atachakatwa vibaya mno mpaka aje kutoboa.

*Anauwezo darasani ila ana wazazi wenye kipato kidogo[emoji533][emoji3514]
*Hana uwezo darasani pia wazazi hawana kipato[emoji533][emoji3514]

Pia

*Ana uwezo darasani ila wazazi/sponsor wake kipato kipo[emoji533][emoji777]
*Hanauwezo darasani ila wazazi/sponsor wake kipato kipo [emoji533][emoji777]

Mkuu ukijiona unabinti hapo kwako na wewe mzazi ndo tegemezi lake ila hauko financially stable, hauna connections ambazo na wewe ni boss sio chawa, wala hauna sponsor kwenye familia yako kumsaidia binti yako kufikia zile ndoto anazo ziota bro her legs will be the only way to get there.

Na hii haishii kwa binti tuu pia ukiwa na mke mwenye ndoto kubwa na wewe mume hauna uwezo wa kuzitimiza ndoto zake on your own basi jua mkeo atachezea[emoji533] na ndo itakua gate pass yake mpaka afikie ndoto zake.

Haya yote nina mifano halisi na experience kwa kuona mwenyewe maana binafsi nimebahatika kua na marafiki wengi wanawake kwenye utumishi na private sector na wamenionesha wanavyopata shida kutaka kupita gate la mafanikio ambalo gatekeeper wake ni mwanaume.
 
Malays ni malaya hata awe mama wa nyumbani full time abatement hata na muuza genge akiaha kwenda kusuka nywelw.anamalizana huko.huko,akienda sokoni anamalizana huko huko,ukitoka kidogo tu hesabu maumivu

Kifupi vigumu kudhibiti mwanamke malaya

Ni kweli MALAYA ni MALAYA, ila ni bora kua malaya kwa fantasy zake mwenyewe, atoe bure, sio avulishwe chupi kwajili ya kujitoa kwenye ufukara na shida alizorithi kutoka kwenye familia yake ama kwa mumewe.
 
Usiwe serious saaana kwenye issue hizo, Ile sio chaki kusema ikitumika itaisha. Mwanamke akiamua lake utapigwa tukio hata umgande vp.

Nilishatoa story humu kipopa mmoja mfanyabiashara kariakoo muda wote na mkewe wapo close na kwenye mishe zao wanakokotwa na vanguard lkn mwanangu siku kaenda kufunga mzigo town bimkubwa kamzimia na namba katoa.

Sasa hv bimkubwa safari za mikoani huku haziishi anakuja kupigwa pipe na na mwanangu huku dingi akijua bimkubwa an search for a new customers.

So mwanamke kama hajaliwa Kwa kutongozwa na mabosi au workmates zako atatowa mwenyewe Kwa kutafuta changamoto mpya huko nje kwakuwa sometimes yanakinaisha.

Stay cool nigger....
 
Ni Cheo kipi kinapatikana kwa Urahisi?? Rushwa ya ngono ipo na itaendelea kuwepo. Kuwahusisha wanawake wote wenye vyeo na rushwa ya ngono ni fikra zilizojaa chuki sio kila Boss wa kiume ni Bazazi anayetanguliza sex dhidi ya kazi kuna Maboss wengi wanaojitambua wanaangalia utendaji wa mtu.

Kusingiziwa skendo ni sehemu ya kazi kwa maana wanaume pia ni victim wa chuki makazini ambazo zinatokana na uswahili wetu.

Kwa dunia ya sasa ambayo wanawake wameelimika na wanajua haki zao ukitaka dunia uione chungu msumbue mwanamke anayejitambua kwa kumuomba ngono ili umpe favor brother utapoteza kila kitu tena kwa sasa palivyo na NGo nyingi zinazolinda maslahi ya kazi na wanawake.
Watu wenye mawazo haya ndio uwatamani kingono mpaka mabinti wa kazi wanaosaidia kazi Nyumbani ambao kimsingi ni sehemu ya Watoto wako.

Sasa usitegemee la maana kutoka kwa mtu anayeongozwa na kichwa cha chini badala ya ubongo.
 
Ni Cheo kipi kinapatikana kwa Urahisi?? Rushwa ya ngono ipo na itaendelea kuwepo. Kuwahusisha wanawake wote wenye vyeo na rushwa ya ngono ni fikra zilizojaa chuki sio kila Boss wa kiume ni Bazazi anayetanguliza sex dhidi ya kazi kuna Maboss wengi wanaojitambua wanaangalia utendaji wa mtu.

Kusingiziwa skendo ni sehemu ya kazi kwa maana wanaume pia ni victim wa chuki makazini ambazo zinatokana na uswahili wetu.

Kwa dunia ya sasa ambayo wanawake wameelimika na wanajua haki zao ukitaka dunia uione chungu msumbue mwanamke anayejitambua kwa kumuomba ngono ili umpe favor brother utapoteza kila kitu tena kwa sasa palivyo na NGo nyingi zinazolinda maslahi ya kazi na wanawake.
Huna unachokijua na acha Unafiki na Uwongo sawa? Unatumia nguvu Kubwa kutetea kuwa hakuna Rushwa ya Ngono wakati Binafsi nimeshafanya Kazi Ofisi kadhaa zinazojitambua na mpaka leo Wanawake wanalalwa na Mabosi / Wakubwa zao bila Huruma.
 
Ni bora hoja hiyo kaitoa mwanamke mwenzao, yani mwanaume ndio angesema hivyo mafeminist ya jf ndio yangelipuka utadhani kinu cha nuclear energy kimelipuliwa.
Tena baada ya Kusema hivyo Mtangazaji wa Zamu Jana Kapalatu akamwambia arekebishe aseme baadhi Yeye akakomaa pale pale kwa kusema ni Wanawake wote huku akijiamini kabisa hadi nami nikampenda kwani kasema Ukweli mtupu japo Wanafiki watampinga na hata Kumkosoa hapa.
 
Mbona povu hivyo, au na wewe ni mhusika? Nimesema wengi, si wote!
Kwa sample ya niliowafanyia usaili ni more than 60% Hatari na nusu, jaribu kufanya utafiti kama mimi utashika kichwa chako!
Mimi nakuelewa na nakuamini kabisa.
 
"Wanaume mlioko hapa katika hiki Kipindi cha Malumbano ya Hoja naomba niwaambieni Ukweli kama una Mke au Mpenzi wako anafanya Kazi Ofisi yoyote ile jua ya kwamba kapata hiyo Kazi na Cheo kama anacho kwa kutoa Rushwa ya Ngono na bado anaendelea kuitoa mpaka sasa ili Kulinda hiyo Ajira yake na hicho Cheo chake" amesema Dada Mchangiaji wa Kipindi cha Malumbano ya Hoja cha ITV na Radio One ambacho kwa Siku ya Leo kilijikita zaidi katika Suala zima la Rushwa na Udhibiti wake.

Sasa kama Mwanamke Mwenyewe ameshakiri kuwa Wake za Watu na Mademu zao Walioko Maofisini wamepata Kazi (Ajira) hizo na Vyeo walivyonavyo kwa Kubanduliwa na Wakubwa ( Mabosi ) na kwamba mpaka leo bado (Wanabanduliwa) bila Huruma Mimi GENTAMIYCINE ni nani nibishe au nimpinge?

Mlio na Wake na Mademu zenu huko Maofisini huku Wengine wakiwa ni Mabosi nawapeni Pole nyingi kwani huenda Usiku mkiwa nao Majumbani mwenu huwa mnakula Makombo tu kwani tayari naniliu zao zinakuwa zimechakazwa na kutifuliwa mno na Mabosi zao huko Maofisini.

Ndiyo maana wenye Akili hatutaki Wake na Mademu zetu wakafanye Kazi Maofisini ila tutajichanga na Kuwafungulia Miradi Majumbani au Kushirikiana nao Ng'adu kwa Ng'adu katika Shughuli zetu huku tukiwa tunawaona na Kuwadhibiti kiurahisi.

Yaani kabisa GENTAMIYCINE niwe na Mke / Demu mkali kama Shunie na cocastic ambaye Boss adriz anawatamani katika Kampuni / Ofisi yake halafu nimruhusu akatafute Ajira (Kazi) kule?

Hivi siionei Huruma kweli hiyo ( Naniliu ) yake kwa jinsi itakavyochakatwa bila Huruma kisha Jioni ikirejea Kwangu nakuta Makombo tu ya Mabosi / Wakubwa wa Maofisini?

Kesho tarehe 7 July ni Public Holiday ( Sikukuu ya Saba Saba ) hivyo zinapumzishwa na Mabosi hawazipati hivyo GENTAMIYCINE nawasihi kuanzia Usiku huu zitumieni vizuri tu huko Majumbani / Maghettoni mwenu kwani kuanzia Jumatatu ijayo hadi Ijumaa ijayo itakuwa ni zamu za Mabosi / Wakubwa zao Maofisini na nyie Waume na Mabwana Kula tu Makombo na wakati mwingone hata ukipangiwa Idadi ya Mabao ya Kupiga kwakuwa anakuwa ameshachoshwa sana Kingono Ofisini na Mkubwa / Bosi.
Weka kavideo kidogo ili kunogesha, master
 
Hata huyo mke wako uliyenayo ashakuwaga demu wa mtu.
Je ulipomuoa mke wako ulikuta na bikra??
Basi juu kashanduliwa toka alipovunja ungo mpaka sasa anabanduliwa
Sema wewe popoma huwezi kujua.

Huwezi kuwa na mwanamke wa kwako pekee yako labda kama upo mwenyewe duniani,akienda sokoni anatongozwa.
Akienda dukani anatongozwa
Akienda kusuka anatongozwa
Akienda kanisani anatongozwa
Sasa jiulize atawakwepa wangapi??

Kaa ukijua mke wako anabomolewa tena vinzuri tu,sema wanawake wasiri sana,mbunye zao zinabana chapu anaweza akagongwa kwa siku hata mara 3 lakini hakuna hata mwanaume mmoja atajua katoka kuliwa.

UNAJIONA UMEONGEA POINT KUCHANGAMSHA GENGE LA JF

NATAKA NKUAMBIE UMEONGEA PUMBA TENZA ZA MPUNGU TAKATAKA
 
Back
Top Bottom