Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,653
- 4,744
Kiuhalisia hakuna mwanaume aneweza kumtosheleza mwanamke kwa kila kitu, mwanamke ni kiumbe kinachoendeshwa na hisia.Sasa kama Mkeo Mimi ndiyo Boss wake hapa Ofisini Kwetu na Namkaza Kutwa ili apate Safari zenye Allowances Kubwa kwanini nisiamini?
Halafu anajua kweli kweli Kunikatia Kiuno chake Fally Ipupa anasubiri. Ulimuokota wap? Na kwanini huwezi Kumtosheleza?
Usjisifu kula wake za watu ipo siku utapoteza marinda.