Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
- Thread starter
-
- #21
πππ Jf watu akili zao hazipo flexible.. kutaka kujua experience ya waliotumia au wanajuaje.. kuhusu gari husika.. usije nunua ndoa isiyovunjikaMjomba atakua Yuko njema,nilishamuona wakili Kibatala akiwa na discovery 4 na V8(200 series) enzi zile za kesi ya Lulu.
Nataka kujua experience walizokutana nazo, kuna wana wangu nawafahamu wamezinunua wamepaki na wengine waziuza faster.. hapa nachukua addition kabla ya kuamua la kuamua. Disco 4 bei za kawaida sana ina cha level gani asee?Hivi kweli mtu anaefikia level ya kutaka kununua Duscovery 4 bado anaomba ushauri..gari unanunua tu na kuitumia na kuifanyia service ili isikusumbue...πππ
Hio Prado ina raha kinyama ikiwa na Air suspensionπ
Watu wa coaster inakuwaje kwao?Kwa comfort nothing beats air suspension, shida inakuja zinapokua sio reliable ,
Ila basic mechanisms nzima ya pneumatic suspension ni simple sana , matatizo yanaanza zinapokuwa integrated na abs , kama unaweza compromise abs , kurudisha mfumo wa air ni simple tu , kama wanavyofanya watu wa coaster kwa sasa.
Ohoo.. kuna mwana wangu mmoja kaipaki miezi miwili.. ndio maana na collect data hata mikoani sasa hivi anaenda na bus zamani ilikuwa ni chuma tu.. ππUngemwambia kabisa na gharama ya air suspensions ya hio kitu na reliability yake,asije akapiga ukunga mzee πππ
ππππ mneso kama wakati unapuliza nini..Mimi air suspension nilianzaga kuzipenda kwny Pajero intercooler 2800 miaka hio.Yaani dude linanesa sijui Kama Nini na bado Nina memory Sana na Ile Gari sababu ya mneso wake.
Nafikiri gari za kisasa nyingi itakuwa matatizo kwa wanao ishi nje ya Dar na mikoa mikubwa.. sio European tu.. nimeona hata hizi toyota za kisasa za full umeme zainawatesa sana mafundi.. kuna moja nilikuta garage inawatos jasho karibia siku tatu hadi natoa gari yangu ila wao bado kimewanga'ang'ania nafikiri sasa hivi hakuna mjapan wala mjerumani.. kama gari ni latest maumivu ni sawa kwa woteNinachokiona hata akiwa na mawe vipi, atapata shida kwenye maintenance kutokana na huko mahali anapoishi...
ππ wese haina haja kuogopa.. sema kachuma barabarani utawala.. kuna jamaa yangu anayo kama hii kanishawishi sana isije ikawa yake mpya mpya akaona ziko powa kabla haijakiwakisha.. kuna mdau mwingine lake kalipaki na hataki kusema tatizo sasa hivi naona safari za mikoani anatumia bus au ndege.. akiwa dar anatumia mjapan. na sijataka kujua nini kimemsibu..Mkuu hii mashine we vuta tu haina kipengeleπ kabisa naona HP zipo za kutosha sana! Maswala ya spea dunia kijiji tutaagiza tu jiandae na hela ya break-down tu ukiwa huko katavi ndani ndani.
Kuhusu wese umeme mwingi haili sana.
vitu vya kawaida sana hivi kwa wapambanaji.. maana hata ushuru wa disco 4 umepoa.. sio mkali sana.. na hata bezi zake hazina maajabu.. Wakili msomi naona leo anaendelea kumwaga moto kwa Urio hadi anatia huruma..Mjomba atakua Yuko njema,nilishamuona wakili Kibatala akiwa na discovery 4 na V8(200 series) enzi zile za kesi ya Lulu.
Siku hizi wanafunga air bellows za trela za magari makubwa ,ambazo ni cheap na very reliable, zamani ilikuwa hadi ubadilishe original partsWatu wa coaster inakuwaje kwao?
Kuna jamaa yangu tulikuwa tuagize nae gari pamoja ila mie sikuwa nimefikia kiwango cha pesa.. yeye yake imekuja na alichukua disco 4.. anajua nipo kwenye hatua za mwisho na mie kuagiza kajaribu kunishawishi kwa kila namna, nikaona isiwe case acha nije nipate na huku uzoefu.. kwanza mie sio mpenzi wa SUV kidogo mdau hapo kaniambii hii inapanda na kushuka... toka mwanzo target yangu ilikuwa ni E350 japo nayo itanipa shida mahala ambapo naenda kuishi kwa sasa hivi nahisi ndani ya mda mfupi haitotamanika hata kidogo..Atleast ungekuwa hata na options 5 za SUVs unazotaka kununua.
Land Rover zina reliability issues, kuishi nayo mkoa itakukwaza sana. Ingekuwa unakaa nayo mjini hapa sawa.
Atleast weka options nyingine kama 4 uanze research upya.
Ingekuwa mimi ni wewe, discovery nisingeiweka kwenye options zangu.
Hujawahi kuwaza 2017Audi SQ7, ni 4l diesel, inakupa 429hp na 664lbft torque.
Kwa porini achana na Benz daka SUVKuna jamaa yangu tulikuwa tuagize nae gari pamoja ila mie sikuwa nimefikia kiwango cha pesa.. yeye yake imekuja na alichukua disco 4.. anajua nipo kwenye hatua za mwisho na mie kuagiza kajaribu kunishawishi kwa kila namna, nikaona isiwe case acha nije nipate na huku uzoefu.. kwanza mie sio mpenzi wa SUV kidogo mdau hapo kaniambii hii inapanda na kushuka... toka mwanzo target yangu ilikuwa ni E350 japo nayo itanipa shida mahala ambapo naenda kuishi kwa sasa hivi nahisi ndani ya mda mfupi haitotamanika hata kidogo..
Hahahahah mzee baba mie kama mjumbe wa Nakamoto na Nagoya π nakushauri tu aheri ujiue ila sio kuishi na huyo mtoto wa malkia π atakukera!ππ wese haina haja kuogopa.. sema kachuma barabarani utawala.. kuna jamaa yangu anayo kama hii kanishawishi sana isije ikawa yake mpya mpya akaona ziko powa kabla haijakiwakisha.. kuna mdau mwingine lake kalipaki na hataki kusema tatizo sasa hivi naona safari za mikoani anatumia bus au ndege.. akiwa dar anatumia mjapan. na sijataka kujua nini kimemsibu..
SQ5 kidogo ndio hela yangu inaweza ku fit kuna moja nimeona ya 2013.. SQ7 tena ya 2017 parefuAtleast ungekuwa hata na options 5 za SUVs unazotaka kununua.
Land Rover zina reliability issues, kuishi nayo mkoa itakukwaza sana. Ingekuwa unakaa nayo mjini hapa sawa.
Atleast weka options nyingine kama 4 uanze research upya.
Ingekuwa mimi ni wewe, discovery nisingeiweka kwenye options zangu.
Hujawahi kuwaza 2017Audi SQ7, ni 4l diesel, inakupa 429hp na 664lbft torque.
Hahahahah kama tulivyowaelekeza ni masika moja tu inatosha kufanya maajabu! Bora ununue volvo xc90 tuOhoo.. kuna mwana wangu mmoja kaipaki miezi miwili.. ndio maana na collect data hata mikoani sasa hivi anaenda na bus zamani ilikuwa ni chuma tu.. ππ
sema SUV za benz bezi zimesimama ππππ.. hakuna unyonge kabisa hiyo GLE hazicheki na nyani..Kwa porini achana na Benz daka SUV
ila kuna watu wanazo tena namba A zinadunda au hao ndio walio nunua dukani mpya kabisa.. acha tuendlee kufanya tafuti hela zenyewe tunazipata kwa bahati.. lazima uhakikishe unanunua kitu cha ukweli.. usije nunu ndoa korofiππHahahahah kama tulivyowaelekeza ni masika moja tu inatosha kufanya maajabu! Bora ununue volvo xc90 tu