Mchango na uzoefu wenu kwenye Discovery 4 5.0L V8 (Mawazo)

Sasa audi ndio ya kwenda nayo kuishi huko kisulu?! Embu kuwa serious basi
 
Nimeona Suzuki Jimmy hizi latest nazo Ni used? SA Used labda zile zilizopata ajali au za wizi ambako Interpol ipo siku watakuletea noma
Used naweza kununua leo kesho siitaki nawapelekea dealer wa hiyo gari wanauza sio mpya tena hiyo...huku hakuna unachojua Mkuu uliza utaelekezwa magari SA ni mengi kuliko unavyodhania na bei za kawaida tuu..
 
Used naweza kununua leo kesho siitaki nawapelekea dealer wa hiyo gari wanauza sio mpya tena hiyo...huku hakuna unachojua Mkuu uliza utaelekezwa magari SA ni mengi kuliko unavyodhania na bei za kawaida tuu..
Bei ya kawaida Ni ngapi Mkuu?
 
Rush link basi
Nisharusha humu ila ni kufungua na kuangalia tuu Matapeli yamevamia huko watu wengi wanalia huko ambao wanataka kununua kama Japan makampuni sahihi yapo ila mara ya kwanza ni bora uende harafu trip zinazofuata unamtuma dereva tuu akapakie..
 
Gari za South mnunuzi ndio anapata faida nyingi kama kununua na kupata gari Kwa muda mfupi, una save zaidi ya million 4 Kwenye pesa ya Freight on Board,Pre Purchase Inspection,Port Charge's.

Na gari kama mbovu ikija Kwa kutembea tatizo unajua Kabla haijafika, gari nyingi za Bondeni zimeingia Kwa road trip
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…