figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
ngoja nikacheki numbers nije kujibu kwa uhakika. Ila hawa wabeba maboxi wanatusaidia kuliko aid. Remittances ndio 2nd after FDI. Shukurani zangu za dhati ziwaendee kina Nyani Ngabu et al kwa kutusaidia kwa zaidi ya 3B$/annum
mimi nipo simiyu hapa ...hapa ni UK ama USA? nijibuni kwanza
je kuna mchango wowote wanao utoa kwa Tanzania? je watanzania wananufaika na uwepo wao majuu?. Je maisha wanayo tuonesha huku ndo hali halisi ilivyo huko?. je madada hawawezi kufanikiwa wakiwa wakiwa hapa bongo? Tofauti gani iliyopo kati ya wale wa majuu na hawa wa bongo?.
cc. Passion Lady, Karucee, Mwali, Madame B, gfsonwin, Remmy, mange kimambi. mia
ngoja nikacheki numbers nije kujibu kwa uhakika. Ila hawa wabeba maboxi wanatusaidia kuliko aid. Remittances ndio 2nd after FDI. Shukurani zangu za dhati ziwaendee kina Nyani Ngabu et al kwa kutusaidia kwa zaidi ya 3B$/annum
Source yangu ni the little book of financial numbers publicized by the world bank. but as I said nitacheki tena and revert.hii kubwa sana ati..3billions $? nyingi sana..are they going direct to our community? au ndiyo ki individual zaidi? then ukitoa source itabamba sana..btw! hoja ya mjadala unazungumzia kina diaspora wakike..
kule maisha mteremko kwa sababu vile vizee ukivikubalia mnakula pension wote na hicho ndo kinawapa jeuri,ila hawana tija kwa taifa letu zaidi sana ni mafanikio binafsi ingawa sio wote wanaofanikiwa.
hii kubwa sana ati..3billions $? nyingi sana..are they going direct to our community? au ndiyo ki individual zaidi? then ukitoa source itabamba sana..btw! hoja ya mjadala unazungumzia kina diaspora wakike..
teseme kule wanakaa sababu ya starehe siyo kuwasaidia ndugu zao na jamii kwa ujumla? kuna haja ya madada zetu kuumiza kichwa ni vipi waende ulaya kwa hofu kwamba hapa bongo hamna mafanikio?. mia
je kuna mchango wowote wanao utoa kwa Tanzania? je watanzania wananufaika na uwepo wao majuu?.cc. Passion Lady, Karucee, Mwali, Madame B, gfsonwin, Remmy, mange kimambi. mia
Source yangu ni the little book of financial numbers publicized by the world bank. but as I said nitacheki tena and revert.
Najua Mh. Zitto Kabwe nae aliandika on it. Leo jioni nikiwa home nacheki na naleta data. It could be more...
The money goes directly to individuals and most of them use it for education and health.
baadhi wakienda wanazisaidia familia zao,lakini wengine wakienda familia inapata sifa tu tuna mtoto wetu ulaya basi,ninachoamini mimi maisha ni popote mtu akiona kule panamfaa hakuna neno........ila taifa kama taifa kutegemea maendeleo kutoka kwa hao ndugu zetu bado sana.mia