Wanasema maisha ni popote kama wewe ni mpambanaji na hutachagua aina ya kazi. Kwa ulaya na nchi zingine za mbele wanasema ni rahisi zaidi kwani hela yao ina thamani so ukijilipua na mabox sana na kazi zingine kama kuchambisha vizee unatoka mapemaaaaaa.
Tukirudi kwangu, hakuna maisha mimi napenda kama kuishi sehemu ambayo mtu yuko secured from atleast all sources of threats.....walioko mbele wanajivunia sana hili, kwmba vibaka wa ovyo ovyo ni almost hakuna, huwezi panda kwenye usafiri wa umma ukatukanwa from no where kama ilivyo tanzania, services like maji, umeme na mengineyo vipo viko available 24/7 unlike tz ambako hata maji ni ishu, ile ya watu atleast kuheshimiana na si kuvunjiana heshima from nowhere, rushwa ndogo ndogo hazip[o kwa sana kama ilivyo tz......n.k n.k Haya ni baadhi ya mambo yanayoweza kumfanya mtu aanayeishi nje kiasi ajione yeye yuko sehemu nzuri kuliko sie
ouw! kumbe kuishi nje ni big deal regardles umefanikiwa au lah..kuna wanaojisikia hao...