figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Wadau nawaalika katika mjadala, washiriki wakuu naomba wawe Smile, Mayasa Heaven on earth, Natalia na Mrembo by Nature! Bila kujaliwanapoishi..nadhani kila mtuanajua juu ya kufanikiwa kwawadada wakitz wanaoishi nje ya nchi hususani wale wa u.k na u.s.a!Hebu tucheki nini kikubwa, kuishi nje (U.S and U.K)tu! ni kufanikiwa? Kuna sababu yoyote yakufil superior just because mtu yupo nje? na hapigwi na vumbi la bongo? haya ni machache yatakayojadiliwa katika mjadala huu pia mifano hai inaweza kutumika.mia
Last edited by a moderator: