Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
ngoja nikacheki numbers nije kujibu kwa uhakika. Ila hawa wabeba maboxi wanatusaidia kuliko aid. Remittances ndio 2nd after FDI. Shukurani zangu za dhati ziwaendee kina Nyani Ngabu et al kwa kutusaidia kwa zaidi ya 3B$/annum
My friend, the pittance I earn working at a nursing home wiping asses is just a drop in the bucket!
Nevertheless, thanks for your gratitude.
sorry what does "wabeba box" mean?
It loosely means people who work blue-collar type of jobs.
Can u explain with few examples? Sorry mkuu
Blue-collar jobs = jobs making things in a factory, fixing machines, building things, etc
maendeleo ni juhudi binafsi za mtu
kukaa nje haimaanishi kwamba ndio mtu ana
maendeleo,unaweza kaa nje na bado ukawa
choka mbaya tu kuliko hata waliopo tz,so juhudi na malengo
ndio siri ya mafanikio,na si kuishi nje!!! figganigga umenisoma!!mia

got u! is it applicable for all gender? "wabeba box"..
​hajaichunia yupo busy banakuna copy ya mumeo hapa..naona kaichunia..mzee Ruttashobolwa
mafanikio yako popote...cha msingi ni kujituma na kutumia kila fursa inayopatikana.wale wa UK na USA..wanafanya kaz na wanalipwa kwa kazi zao...na hata bongo pia wanawake wana maendleo pia...ni kujituma ktk kazi...na kutumia kila nafas inayopatkana
maendeleo ni juhudi binafsi za mtu
kukaa nje haimaanishi kwamba ndio mtu ana
maendeleo,unaweza kaa nje na bado ukawa
choka mbaya tu kuliko hata waliopo tz,so juhudi na malengo
ndio siri ya mafanikio,na si kuishi nje!!! figganigga umenisoma!!mia
​hajaichunia yupo busy bana
nmekumsoma mkurugenzi. je kuishi kwao nje kunawaongezea thamani kuliko waliopo nchini? mia
kuna kesi usiku huu?
It damn sure is.
we Sandeni umeanza lini
kufukunyua ndoa za watu?mi
na huby wangu Ruttashobolwa tuko poa!!
so..we unawazungumziaje ma diaspora wa kike? kuna ambao wanataka kuja kugombea ubunge, je, exprience walio ipata kwa kuishi nje ya nchi itawachochea wao kuwapigania raia watakao wachagua?