Mchango wa diaspora wa kike katika jamii ya kitanzania...

hivi kukaa nje ni kufanikiwa kweli,
sijawahi kuona aliyetoka nje na mafanikio
nimepata hasira kidogo niwataje kwa majina aliobobea nje lakini wako vile vile.
 
Wanajenga, wanawasomesha madogo, wanavuta ndugu/jamaa zao etc.
 

na kweli ni dharau mbona tanzania waudumu wa afya tunazoa sana hayo mavi hamsemi,kwasababu yuko nje ya nchi akizoa mavi ndo si halali,kazi ni kazi ilimradi ukiuki maadili ya mwenyezi mungu
 
nilichomaanisha ni kuwa mkiendaga mandenyi mnafanya show ya bia kama kawa. nunulia kila mtu vitochi na nini. ila mkirudi daslamu mnaombwa ada na mliowapiga ofa. hawajui umesave na unaenda kula bataz na mzee wako awe proud, wanadhani unaishi maisha ya kula bataz kila siku. kumbe ukirudi daslamu ni bia za mawazo mtindo mmoja!:heh:
King'asti kwani kule Mamndenyi kuna kitu chochote basi
au ni mbwembwe zao tu.
 

hii ni kweli kabisa
 
huko Mamndenyi wanafuata tu mbuzi za wazee walizofuga mwaka mzima
wanachinja eti wanafanya tambiko, wananunua na bia kutoka ken
wanasema ni bei rahisi wanakula na kunywa siku ya tatu hao wanatimua
kwanza wanakuwa na nauli tu hata hela yenyewe kwani wanakuwa nayo basi.

 
Last edited by a moderator:
Reactions: LD

kama ulinisoma vizuri nimesema si kama ilivyo Tanzania.....hata kama watawepo at least security ni kubwa compared na tz.....
 
FP kivyangu siuoni pengine mzee wa mia anauona
au mke ya mzungu akija hapa atasema neno.

Najiuliza mtu unajiona superior sababu unaishi nje ya nchi au sababu unategemewa?
labda sijaelewa hapa u-superior unaozungumziwa ni kwa sababu gani kati ya hizo 2....
labda King'asti, Mamndenyi na Ablessed mnisaidie kwanza
 
Last edited by a moderator:
saa zingine mtu anakuona superior na kwa sababu anajisikia inferior mwenyewe. ni attitude tu bwana. mie hata niwe tandahimba, im just me. siko superior wala inferior, i am me and i am occupying my space!
kuna mtu humu nilimuambia niko busy kidogo nna kazi naiandaa before dashing off kwa holiday, akanijibu ati naact boss lady. i was like huhhhh:suspicious:

Najiuliza mtu unajiona superior sababu unaishi nje ya nchi au sababu unategemewa?
labda sijaelewa hapa u-superior unaozungumziwa ni kwa sababu gani kati ya hizo 2....
labda King'asti, Mamndenyi na Ablessed mnisaidie kwanza
 

Hiyo figure ina ukweli?

Mbona Western Union wanasema outbound zipo nyingi kuliko inbound lol
 
ha haaaaa, umenikumbusha kitu......
kuna siku moja nikiwa kijijini kukawa na msiba, basi tukaenda makaburini kuzika. tulipomaliza mazishi, nikamwomba mama anionyeshe kaburi la rafiki yangu alifariki sikuwepo, alifariki zamani saaana, na yaani alikuwa rafiki wa primary, na hapo ilikuwa imepita miaka mingi. basi tukiwa kwenye kaburi, niliona tu machozi yananitoka saaaana nikaanza kulia. ghafla akatokea mama wa huyo rafiki yangu, kumbe naye alikuja kwenye mazishi yale tuliyohudhuria, ila sikumwona. yule mama alilia sana, siyo sababu ya uchungu wa mwanaye, bali kwa jinis nilivyojali na kwenda kumlilia mwanaye, aliniambia hakutegemea kunikuta pale na tena nalia....
ndo hayo unayosema, wewe unaweza ukajiona ni wa kawaida, kumbe wenzio wameshakuweka kwenye level nyingine
 
na kweli ni dharau mbona tanzania waudumu wa afya tunazoa sana hayo mavi hamsemi,kwasababu yuko nje ya nchi akizoa mavi ndo si halali,kazi ni kazi ilimradi ukiuki maadili ya mwenyezi mungu

aisee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…