Mchango wa diaspora wa kike katika jamii ya kitanzania...

Sandeni unataka kusema moshi imejengwa na watu wanaoishi nje ya nchi?
hapa nakataa maendeleo ya kule yamechangiwa sana na elimu.
baada ya mtu kuelimika lazima ajenge kwake, pia mashirika ya kidini nayo yamechangia sana kuleta maendeleo kule moshi, kama nimekosea Arushaone atanisahihisha.

 
Last edited by a moderator:
sijui kama niko sawa ila ulisema niwataje,
ngoja kwanza wengine watoto wao au familia zao
ziko humu humu jf
so haitakuwa sawa sana.

Kuna swali nilikuuliza jana..hujanijibu!!
 
Hiyo figure ina ukweli?

Mbona Western Union wanasema outbound zipo nyingi kuliko inbound lol
NI kweli kabisa. the money flowing out is soooo much more than the money flowing in.
Soma hii peech, hasa the paragraph just on top of the second picture:
Speech by Zittokabwe at the launch of the book ‘Why Africa Fails' by Elly Twineyo-Kamugisha #WhyAfricaFails | Zitto na Demokrasia

then soma hii hapa:
PRESS RELEASE: Ndugu Zitto ziarani Ulaya | Zitto na Demokrasia
 
Last edited by a moderator:

enhee..there a big point, nilikuwa najiuliza hivi watu wa kule wanafanikiwa kwanza ndiyo wanaenda nje, au wanaenda kwanza nje ndiyo wanafanikiwa..nini kinaanza hapa?
 
Last edited by a moderator:

kuna wengine hujitolea wenyewe kwa mapenzi yao wenyewe kuwasadia wazazi wao ili na wao wawe kwenye level flani, kunawengine hawana muda huo....

Sasa kwa wale walioenda kuuza sura ulaya wakarudi kapa hao ndio huwa na mbwembwe na vichenchi vyao vilivyobaki kwenye nauli na maranyingine hadi rafudhi hubadilisha,, bora hata mbwembwe za wachaga mara mia
 
Last edited by a moderator:
ofcoz huwa inatokeag na inaudhi haswa. unafika kwa mtu kijijini anakuambia sikutegemea kama ungeweza kuja kunisalimia mtu kama mimi!. lakini huyu wa jeiefu alienishangaa nahisi alijisikia kuwa siko kwenye level ya kuwa busy lol. ngoja niache kabla hajakuja hapa tukalianzisha upya lol
 
ngoja kwanza.
hivi ni kwa nini tunaujadili mchango wa diaspora wa kike? ina maana mchango wa diaspora wa kiume unajulikana?
 
ngoja kwanza.
hivi ni kwa nini tunaujadili mchango wa diaspora wa kike? ina maana mchango wa diaspora wa kiume unajulikana?

nadhani diaspora wakiume na wenyewe watajadiliwa kwa sehemu tofauti..
pia kama sijakosea mleta mjadala hapa alikuwa na makusudio kadhaa, moja likiwepo hili la wadada wakitz wanaoishi nje wanavyojiweka kwenye mitandao ya kijamii, with full of superiority..hasaa hapa jf na kule facebuk! kuna sehemu unakuta mdada anawadharau wenzie kisa tu anaishi U.S.A, U.K au nchi nyingine za ulaya na marekani!

wanaume ni wachache sana wanaoji expose..
 
wanasomeshwa kwanza,
ndo wanaenda nje
na wakipata wanaenda kujenga arusha au dsm
wengi hawarudi kule moshi,
pale pameendelezwa sana na wazee wa pale pale vijana zao ni nje tu.

enhee..there a big point, nilikuwa najiuliza hivi watu wa kule wanafanikiwa kwanza ndiyo wanaenda nje, au wanaenda kwanza nje ndiyo wanafanikiwa..nini kinaanza hapa?
 
Reactions: LD
ahaaa. manake nna hamu ya kumnanga Nyani Ngabu. anajidai sana aisee, na nimemuomba anitaftie makaratasi ama walau anioe ndoa ya magumashi na mie nikabebe boksi anandengulia.

ila kama kujiweka fesibuku mbona hata sie tunajiweka tu tukiwa kwenye mabanda ya kuku?
 
Last edited by a moderator:
Reactions: LD

wanafuata na kisusio pia! hahaaa...!!!. mia
 
Last edited by a moderator:
Najiuliza mtu unajiona superior sababu unaishi nje ya nchi au sababu unategemewa?
labda sijaelewa hapa u-superior unaozungumziwa ni kwa sababu gani kati ya hizo 2....
labda King'asti, Mamndenyi na Ablessed mnisaidie kwanza

eti kwa sababu anaishi nje ya nchi. hahaaaa...!!. wanadhani wametungia ndani kumbe sisi ndo tumewafungia nje. mia
 
Last edited by a moderator:
FP kivyangu siuoni pengine mzee wa mia anauona
au mke ya mzungu akija hapa atasema neno.

nimejaribu kumuita mke ya Mzungu na mtoto ya fisadi yenye madollar mengi Natalia lakini naona kama amegoma kuja kutupa nondo hapa. mia
 
Last edited by a moderator:

Kujiweka tu haina shida..kuna kujiweka nakujinanga sana..
 
Last edited by a moderator:
wanasomeshwa kwanza,
ndo wanaenda nje
na wakipata wanaenda kujenga arusha au dsm
wengi hawarudi kule moshi,
pale pameendelezwa sana na wazee wa pale pale vijana zao ni nje tu.

ile mijumba mikubwa mikubwa kule vijijini..hao wazee wameijenga kwa pesa zipi?
 
nimejaribu kumuita mke ya Mzungu na mtoto ya fisadi yenye madollar mengi Natalia lakini naona kama amegoma kuja kutupa nondo hapa. mia

muke ya muzungu Natalia siku kizi hahudhurii mijadala ya aina yoyote ile.......
na akihudhuria ni pale mwanzoni mjadala ukichanganya hutokaa umuone
 
Last edited by a moderator:
Sandeni kweli kuna mijumba iliyojengwa na wazee hasa enzi zile za kahawa,
pia kuna mijumba iliyojengwa na akina mama walioweza kufanya ujasiriamali hasa wale wauza ndizi
pia kuna mijumba hasa hii mipya mipya imejengwa na vijana lakini ukifuatilia wengi waliojenga ni wale ambao wapo hapa hapa tanzania na wanafanya kazi au biashara zao hapa nyumbani au kenya. hawa unaojitahidi kuwaelezea sijaona kwamba kwa mzee fulani imejengwa nyumba na kijana wake aliyeko nje ya nchi.

wengine wanatuma magari, wengine wanatuma zawadi mbalimbali kama pesa na kadhalika.

sijui Arushaone yuko wapi angenisaidia sana hapa.

ile mijumba mikubwa mikubwa kule vijijini..hao wazee wameijenga kwa pesa zipi?
 
Last edited by a moderator:

nimekusoma vizuri dada yangu. asante sana kwa mchango wako. mia
 

vipi kuhusu ma diaspora wanaorudi nchini kwa lengo lakugombea nafasi mbalimbali za ubunge, udiwani n.k?
do u think hawa watakua na uwezo zaidi(due to the exprience they got outside) katika kuwatetea wananchi ambao ninaamini kwa kiasi kikubwa matatizo yao wanakuwa hawayajui..
mf. juma nkamia!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…