hivi kukaa nje ni kufanikiwa kweli,
sijawahi kuona aliyetoka nje na mafanikio
nimepata hasira kidogo niwataje kwa majina aliobobea nje lakini wako vile vile.
Kuna swali nilikuuliza jana..hujanijibu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi kukaa nje ni kufanikiwa kweli,
sijawahi kuona aliyetoka nje na mafanikio
nimepata hasira kidogo niwataje kwa majina aliobobea nje lakini wako vile vile.
Hivi watu wa Moshi mnalisemeaje hili? najua familia nyingi za huko kwenu zina watoto au ndugu wanaoishi nje, je maendeleo ya mkoa wenu yanachangiwaje na hawa diaspora?
Mamndenyi, Arushaone na wadae wengine mnaotoka huko, vipi nyie mnasemaje kwenye hili?
Naamini mkoa wa kilimanjaro umetoa diaspora wengi kuliko mkoa wa Kagera..
Ndiyo maana k'njaro wamefanikiwa zaidi..
copy kwa,
Ruttashobolwa na Bishanga..
Kuna swali nilikuuliza jana..hujanijibu!!
NI kweli kabisa. the money flowing out is soooo much more than the money flowing in.Hiyo figure ina ukweli?
Mbona Western Union wanasema outbound zipo nyingi kuliko inbound lol
Walioko ulaya kufanya mwembwe wakija nyumbani haina tafauti na mbwembwe za wachaga wakienda Mamndenyi wakati wa sikukuu. Hata walioko daslaamu nao wanashindwa kusaidia ndugu zao. Weeh huwezi kuzaa watoto tisa ukitegemea tukulipie ada zao afu tushindwe kupanga nyumba zenye ac lol. Mtu amejinyima mwaka mzima, akanunua na viwalo vya holiday. Na hata akicheck in sea cliff for breakfast, yuko holiday na sio mikogo.
Wakati mwingine watu wanajinyanyapaa. Mtu amechoka anataka kukaa mahali apumzike ukimchangamkia anakupa cold shoulder ili tu usivute kiti. Manake waswahili na sie, unakuta mtu anaibia kukaa na ex wake wapeane updates wewe unajikaribisha.
ha haaaaa, umenikumbusha kitu......
kuna siku moja nikiwa kijijini kukawa na msiba, basi tukaenda makaburini kuzika. tulipomaliza mazishi, nikamwomba mama anionyeshe kaburi la rafiki yangu alifariki sikuwepo, alifariki zamani saaana, na yaani alikuwa rafiki wa primary, na hapo ilikuwa imepita miaka mingi. basi tukiwa kwenye kaburi, niliona tu machozi yananitoka saaaana nikaanza kulia. ghafla akatokea mama wa huyo rafiki yangu, kumbe naye alikuja kwenye mazishi yale tuliyohudhuria, ila sikumwona. yule mama alilia sana, siyo sababu ya uchungu wa mwanaye, bali kwa jinis nilivyojali na kwenda kumlilia mwanaye, aliniambia hakutegemea kunikuta pale na tena nalia....
ndo hayo unayosema, wewe unaweza ukajiona ni wa kawaida, kumbe wenzio wameshakuweka kwenye level nyingine
ngoja kwanza.
hivi ni kwa nini tunaujadili mchango wa diaspora wa kike? ina maana mchango wa diaspora wa kiume unajulikana?
enhee..there a big point, nilikuwa najiuliza hivi watu wa kule wanafanikiwa kwanza ndiyo wanaenda nje, au wanaenda kwanza nje ndiyo wanafanikiwa..nini kinaanza hapa?
nadhani diaspora wakiume na wenyewe watajadiliwa kwa sehemu tofauti..
pia kama sijakosea mleta mjadala hapa alikuwa na makusudio kadhaa, moja likiwepo hili la wadada wakitz wanaoishi nje wanavyojiweka kwenye mitandao ya kijamii, with full of superiority..hasaa hapa jf na kule facebuk! kuna sehemu unakuta mdada anawadharau wenzie kisa tu anaishi U.S.A, U.K au nchi nyingine za ulaya na marekani!
wanaume ni wachache sana wanaoji expose..
huko Mamndenyi wanafuata tu mbuzi za wazee walizofuga mwaka mzima
wanachinja eti wanafanya tambiko, wananunua na bia kutoka ken
wanasema ni bei rahisi wanakula na kunywa siku ya tatu hao wanatimua
kwanza wanakuwa na nauli tu hata hela yenyewe kwani wanakuwa nayo basi.
ahaaa. manake nna hamu ya kumnanga Nyani Ngabu. anajidai sana aisee, na nimemuomba anitaftie makaratasi ama walau anioe ndoa ya magumashi na mie nikabebe boksi anandengulia.
ila kama kujiweka fesibuku mbona hata sie tunajiweka tu tukiwa kwenye mabanda ya kuku?
wanasomeshwa kwanza,
ndo wanaenda nje
na wakipata wanaenda kujenga arusha au dsm
wengi hawarudi kule moshi,
pale pameendelezwa sana na wazee wa pale pale vijana zao ni nje tu.
ile mijumba mikubwa mikubwa kule vijijini..hao wazee wameijenga kwa pesa zipi?
kuna wengine hujitolea wenyewe kwa mapenzi yao wenyewe kuwasadia wazazi wao ili na wao wawe kwenye level flani, kunawengine hawana muda huo....
Sasa kwa wale walioenda kuuza sura ulaya wakarudi kapa hao ndio huwa na mbwembwe na vichenchi vyao vilivyobaki kwenye nauli na maranyingine hadi rafudhi hubadilisha,, bora hata mbwembwe za wachaga mara mia
NI kweli kabisa. the money flowing out is soooo much more than the money flowing in.
Soma hii peech, hasa the paragraph just on top of the second picture:
Speech by Zittokabwe at the launch of the book Why Africa Fails by Elly Twineyo-Kamugisha #WhyAfricaFails | Zitto na Demokrasia
then soma hii hapa:
PRESS RELEASE: Ndugu Zitto ziarani Ulaya | Zitto na Demokrasia