Mchango wa diaspora wa kike katika jamii ya kitanzania...

Nadhani mkuu kwenye mada hukusema kua waishio hapa bongo hawana mafanikio. Bali umegusia jinsi tu wanavyojifeel superior kama sikosei. Lbda niongezee hapo ulipozungumzia tofauti ya mafanikio kati ya aliyeko uk au usa na tz. Kwa mtazamo wangu mafanikio ni juhudi ya mtu binafsi haijalishi anaishi wapi.
ha haaaa, kuna siku na mimi zali huwa zinanitembelea......
siku moja nikakutwa na zali la kutembelea USA. Nikiwa huko siku moja nimechukua taxi kwenda sehemu, dereva alikuwa mweusi...
tumeenda kidogo simu yangu ikaita, nikaanza kuongea kiswahili.... yule dereva akaniangalia, nilipomaliza akaniuliza natokea wapi, nikasita, akaniambia najua unatoka East Africa maana umeongea Kiswahili. akaniambia yeye anatokea Sudan na ana PhD. nikamshangaa kwa nini yupo pale na anaendesha taxi. Akaniambia yaani Sudan ikiwa stable nitachukua next flight kurudi home...... nilimwelewa kuwa anakaa kule sababu tu home hakuko stable.....
tuliongea mambo mengi mno ambayo siwezi kuyaweka hapa sababu najua kuna wengine yanaweza yakawagusa......
hapa ninachotaka kusema, pengine sisi tunaweza kuwaona wenzetu kuwa wanajisikia, kumbe wenzetu wanatuonea wivu sana sisi ambao tunaishi na tunaweza kuishi nyumbani.....
(huu ni mtazamo wangu mimi jamani)
cc. figganigga
 
Last edited by a moderator:

Unachosema ni kweli dear. Pengine na wao wanatuonea wivu labd. Mimi bwana mpaka nifike nikajionee mwenyewe hapa jukwaani pengine nitapata mwaliko wa kwenda huko ili nami nikasafishe macho. Nikawaone wabongo walioko huko niongee nao na niwaulize maswali mengi yaliyoujaza moyo wangu. Tena itabidi wanivumilie maana bado nina ushamba wa kisukuma manake bado sijazoea maisha ya mujini, hata hapa dar bado nashangaa magorofa mwe.
 
yaani unataka niendelee kukuamkia tu ilhali ni mdogo wangu?
unafikiri na mimi sitamani vile wazee wa kingoni wanakuamkiaga unaporudigi toka ulaya?
acha hizo mdogo wangu
Kama snowhite ni mdogo wako basi mwambie nami anikumbuke hata kwa barua kwa kutumia ile anwani ya kanisani kwetu. Nitafurahi sana kua na mawasiliano na mtu aliyeko majuu hata kama hanijui nitfanya kila njia anizoee na nitawaambia watu mimi huyu namjua siku nyingi sana tena sintadisclose kuwa wewe ndie ulieniunganishia nae. Hta nikinunua handbag karume nitasema nimeletewa na ndugu yangu
 
ukipata mwaliko usinisahau na mimi rafiki.......
kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini?
hili ni dongo kwa mdogo wangu snowhite ambaye kagoma kunivuta huko
 
Last edited by a moderator:
Kama snowhite ni mdogo wako basi mwambie nami anikumbuke hata kwa barua kwa kutumia ile anwani ya kanisani kwetu. Nitafurahi sana kua na mawasiliano na mtu aliyeko majuu hata kama hanijui nitfanya kila njia anizoee na nitawaambia watu mimi huyu namjua siku nyingi sana tena sintadisclose kuwa wewe ndie ulieniunganishia nae. Hta nikinunua handbag karume nitasema nimeletewa na ndugu yangu
labda wewe mwenzangu atakuvuta, si umeona mimi alivyonikatalia........
anaona sifa sana tunavyomzungukaga akirudi home, hataki na wengine tutoke
 
Kuna mdau mmoja hapa MMU machachari kweli kweli, katika hoja na misimamo yake...nadhani anaishi hapa hapa tz, let me ask her, lara 1..do u think dar es salaam is where u deserve to be? is dar city enough for u? do u think life in dar is almost the same as life conducted in other cities like new york and london..kuna du wakibongo anaweza kuwa mjanja ndani london au newyork kama alivyo dar? hata kama kaishi huko miaka kibao?

Hahahaaaaaaaaaaa! HOME IS WHERE YOUR HEART IS!!!!!!!!!!! As for me my heart is where my family is, so hata niende wapi i wont be happy as i am now. There are little things in life that mean the world to someone which other people can never understand.
I got cousins in the U.s, some pals na maisha yao ni yao, as long as they are happy, i am happy for them.

Mi nachoelewa you can be anythin or anyone anywhere as long as you decide and are ready to pay the price. NOTHING IS IMPOSSIBLE (Could be hard but certainly not Impossible)
 
labda wewe mwenzangu atakuvuta, si umeona mimi alivyonikatalia........
anaona sifa sana tunavyomzungukaga akirudi home, hataki na wengine tutoke
Mimi naona nawewe kama unanitoa kiutu uzima hivi sasa mimi atanivutaje wakati nakutemea wewe umuabie kuhusu rafiki yako na unimwagie misifa kibao najua hawezi kuwakumbuka rafiki zako wote wewe mwambie tu yule rafiki yangu aliekua anakuja kucheza marede na mdako nyumbani mchanganyie habari. Naamini kupitia wewe atanisaidia kwani mimi nataka hata anifanyie mpango wa kwenda natafuta ujiko tu. Kama nitafanikiwa kupata barua yake moja naamin nitaitunza na kuwaonyesha kijijini kwetu na hivi kwenye ule ukoo mimi peke yangu ndio nimefika dar na hili la rafiki wa ulaya nikiwafikishia wataniheshimuje wengine watadhani nimeshakwenda nami nitajifunza neno moja la kiingilishi na nitalitumia hilo kila mara tuongeapo kule kwetu kijijini.
 
Hahahaaaaaaaaaaa! HOME IS WHERE YOUR HEART IS!!!!!!!!!!! As for me my heart is where my family is, so hata niende wapi i wont be happy as i am now. There are little things in life that mean the world to someone which other people can never understand.
I got cousins in the U.s, some pals na maisha yao ni yao, as long as they are happy, i am happy for them.

Mi nachoelewa you can be anythin or anyone anywhere as long as you decide and are ready to pay the price. NOTHING IS IMPOSSIBLE (Could be hard but certainly not Impossible)
Upo sahihi rafiki shida ni mtazamo tu . Lkn haya yote uliyoainisha ni ukweli nakubaliana na wewe. pokea like 10
 
Mimi naona nawewe kama unanitoa kiutu uzima hivi sasa mimi atanivutaje wakati nakutemea wewe umuabie kuhusu rafiki yako na unimwagie misifa kibao najua hawezi kuwakumbuka rafiki zako wote wewe mwambie tu yule rafiki yangu aliekua anakuja kucheza marede na mdako nyumbani mchanganyie habari. Naamini kupitia wewe atanisaidia kwani mimi nataka hata anifanyie mpango wa kwenda natafuta ujiko tu. Kama nitafanikiwa kupata barua yake moja naamin nitaitunza na kuwaonyesha kijijini kwetu na hivi kwenye ule ukoo mimi peke yangu ndio nimefika dar na hili la rafiki wa ulaya nikiwafikishia wataniheshimuje wengine watadhani nimeshakwenda nami nitajifunza neno moja la kiingilishi na nitalitumia hilo kila mara tuongeapo kule kwetu kijijini.
yaani mi nakuambia ukipitia kwangu umekwisha....
ninachomjua huwa ana roho nzuri sana na atakusaidia if you want but not through me......
all the best
 
yaani unataka niendelee kukuamkia tu ilhali ni mdogo wangu?
unafikiri na mimi sitamani vile wazee wa kingoni wanakuamkiaga unaporudigi toka ulaya?
acha hizo mdogo wangu

ahahahhahahahhahaha sipendi kunisemea mamneno yangu!
yani nilitaka kumalizia hiyo post na mameno hayo hayo!
SIKUPENDI! MIMI!AH!
 
Hahahaaaaaaaaaaa! HOME IS WHERE YOUR HEART IS!!!!!!!!!!! As for me my heart is where my family is, so hata niende wapi i wont be happy as i am now. There are little things in life that mean the world to someone which other people can never understand.
I got cousins in the U.s, some pals na maisha yao ni yao, as long as they are happy, i am happy for them.

Mi nachoelewa you can be anythin or anyone anywhere as long as you decide and are ready to pay the price. NOTHING IS IMPOSSIBLE (Could be hard but certainly not Impossible)

yes yes..i like this
 
Mkuu Ablessed..nilikuwa namaanisha how do they stand for their nations wakiwa huko? ujue kuna michango ya direct na indirect..hebu tujaribu kuwaangalia wao wakiwa kwetu huwa wanafanya nini kwa ajili ya nchi zao? they do alot..tujiulize kuhusu hawa diaspora wakikwetu, je, wanajaribu hata kuhamasisha utalii? au ndiyo vile wengine kuvunga hawatoki tz?
 
Last edited by a moderator:
suala la umeifanyia nini nchi yako is a bit tricky. kwani waliopo nchini wameifanyia nini nchi yao?

kuna mengi yakusema hapa mkuu..naona kimoja kakisema FP hapo juu..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom