Mchango wa diaspora wa kike katika jamii ya kitanzania...

Mchango wa diaspora wa kike katika jamii ya kitanzania...

hahahaha, umenichekesha sana unajua? afu tukishalipa kodi? mafisadi wanakula maisha tunakuja kutoa povu jf? hahahaha
ha haaaa, umeona eeh!
lakini ndo kimtindo hivyo hivyo tunaing'ang'ania bongo yetu....
you never know, kutesa kwa zamu..... inawezekana na sisi twaweza kufikiwa zamu yetu tukala bata
 
ha haaaa, umeona eeh!
lakini ndo kimtindo hivyo hivyo tunaing'ang'ania bongo yetu....
you never know, kutesa kwa zamu..... inawezekana na sisi twaweza kufikiwa zamu yetu tukala bata

subiria ufike 30's uanze kula bata..according to Kaizer! au uanze kutoka na hao mafisadi uwe party ya kufisadi nchi..kama anavyofanya Zahra White! hahaha just kid'n...
 
Last edited by a moderator:
hujanitaja front page lakin ume ni tag kwa kuwa naishi singinda poa tu
sina maelezo mengi ila mzarau kwao mtumwa
 
kama nipo dar es salaam, masaki na nikpadharau hapo ilongero kwetu mi ni mtumwa?
jibu: ni kweli mtumwa ata Jk anawaambia wa ulaya akiendaga kajengeni kwenu

btw..we talking about diaspora's tuwaite watumwa kwa ambao hawajali uzalendo wao?

jibu:ndio kwa kuwa chako ni chako japo tambara na kimfaacho mtu chake,tujengeni singida iwe kama dar ili na wa dar waje singida na vile vile tujengeni tanzania iwe kama ulaya............kwa pamoja tunaweza!
 
tanzania ya kama ulaya..inaweza kujengwa na waliopo ndani yake au na watz walioko huko ulaya wanaoifahamu ulaya ilivyo?
 
napenda kusikia mengi kutoka kwa kyanaKyoMuhaya pia. mia

ahaaaa! Nakuja!
image.jpg
 
hujanitaja front page lakin ume ni tag kwa kuwa naishi singinda poa tu
sina maelezo mengi ila mzarau kwao mtumwa

samahani sana dada yangu. nyote nawathamini hasa wewe. wapo watu wengi kiasi kwamba siwezi maliza kuwataja. i'm so sorry. funguka kidogo basi!. mia
 
Back
Top Bottom