Mchango wa diaspora wa kike katika jamii ya kitanzania...

naomba tuanzie hapa..umejaribu sana kutoa tofauti iliyopo kati ya ulaya na tanzania..so wewe unawaunga mkono watanzania walioacha uzalendo kwa sababu ya umaskini wa tz?

oh mkuu Sandeni.. Uzalendo unaozungumzia hapa ni upi hasa?
Na huo uzalendo umeshindwa kutunzwa mpaka watu ambao wangeonesha mifano hai wanaenda kuhifadhi majasho ya wazalendo Uswis na kwingineko..wanasomesha watoto wao na kuwasaidia ndugu zao Ulaya kwa kodi zenu wazalendo...!!!
Na kutoka nje ya Tz kutafuta best life n money for ur future generation indirect way ni uzalendo maana kusaidia tu familia yako umepunguzia mzigo taifa na asasi mbalimbali katika kusaidia maskini na pia asante unazopata unajipatia baraka kwa Mungu. .kuliko kung'ang'ania uzalendo ambao unakufanya uishi kila siku unalalamika na mwisho wasiku kama huna maarifa unaishia below half of malengo uliyopanga kuyatimiza.
Na maisha ya sasa hivi ni so selfish believe it or not...kila mtu anavutia kwake..anastrugle kivyake,atoke kimpango wake,na watu wake. Thats the truth we all dwell in it,chunguza nyanja zote ule ujamaa wa kale hata bibi zetu wanakufa wanatuambia soma uje uishi vizuri,ama wengine soma uje uende ulaya na sio soma uje usaidie taifa.. Marachache sana maana wanaona the imposibility future ya ujamaa!!
 
Last edited by a moderator:
kuisahau nchi in all aspects, kuwa mmarekani! In black skin... Kutosimama kwa ajili ya tanzania na mambo yake..

kuisahau nchi kivipi mani?mtu unajua na unauwezo wa kujua kwenu na mtu hasahau kwao bana. System ya maisha tu inakutwist watu wanakuona umesahau lakini ndani yako unajua asili yako labda ulete mashauzi ya nje tuu ula ukweli unaujua na unajulikana hadi ukoo mzima..na utapata tu mtu wa kukwambia na ipo siku utachange,thats the truth.
 
mkuu i think unajua maana uliniuliza mimi apo juu, ama?

nimekusoma vyema mkuu Swts.. kwa mawazo zako makubwa uliyoyatoa hapo juu, unaamanisha diaspora hawana mchango wa direct kuendeleza taifa letu.. is that so?
 
Last edited by a moderator:
nimekusoma vyema mkuu Swts.. kwa mawazo zako makubwa uliyoyatoa hapo juu, unaamanisha diaspora hawana mchango wa direct kuendeleza taifa letu.. is that so?

indirect way wano na kwa direct i guess sina uhakika maana kama mimi sijajua nasaidiaje taifa ila ndugu na familia yangu YES.
Ilz pia may be kwa Tax, kutangaza taifa kutalii.. Ila may be inategemea na mtu kazi anaayofanya..!!!
 
Last edited by a moderator:
indirect way wano na kwa direct i guess sina uhakika maana kama mimi sijajua nasaidiaje taifa ila ndugu na familia yangu YES.
Ilz pia may be kwa Tax, kutangaza taifa kutalii.. Ila may be inategemea na mtu kazi anaayofanya..!!!

we nawe ni diaspora?
 
kuisahau nchi in all aspects, kuwa mmarekani! In black skin... Kutosimama kwa ajili ya tanzania na mambo yake..
Kama Lipumba anapigania kila kukicha maslahi ya Taifa hili na anapuuzwa then why should I give a da.mn about Tanzania?????
 
I will always fight for USA first then Tanzania
US=the country that accepted me without any condion of knowing someone or any other shit
To me USA comes first then tanzagiza
 
thats some kind of shiit...
 
oh mkuu Sandeni.. Uzalendo unaozungumzia hapa ni upi hasa?
Na huo uzalendo umeshindwa kutunzwa mpaka watu ambao wangeonesha mifano hai wanaenda kuhifadhi majasho ya wazalendo Uswis na kwingineko..wanasomesha watoto wao na kuwasaidia ndugu zao Ulaya kwa kodi zenu wazalendo...!!!
Na kutoka nje ya Tz kutafuta best life n money for ur future generation indirect way ni uzalendo maana kusaidia tu familia yako umepunguzia mzigo taifa na asasi mbalimbali katika kusaidia maskini na pia asante unazopata unajipatia baraka kwa Mungu. .kuliko kung'ang'ania uzalendo ambao unakufanya uishi kila siku unalalamika na mwisho wasiku kama huna maarifa unaishia below half of malengo uliyopanga kuyatimiza.
Na maisha ya sasa hivi ni so selfish believe it or not...kila mtu anavutia kwake..anastrugle kivyake,atoke kimpango wake,na watu wake. Thats the truth we all dwell in it,chunguza nyanja zote ule ujamaa wa kale hata bibi zetu wanakufa wanatuambia soma uje uishi vizuri,ama wengine soma uje uende ulaya na sio soma uje usaidie taifa.. Marachache sana maana wanaona the imposibility future ya ujamaa!!
Huu ni ukweli usiopingika pokea like 2tb
 
kuisahau nchi in all aspects, kuwa mmarekani! In black skin... Kutosimama kwa ajili ya tanzania na mambo yake..
Yap kuwa mmarekani in black skin sio hoja . Black or white zote rangi rafiki. Kuna weusi wengi tu born in america na wamekulia america na sasa ni wazee je tuwaite watz tu eti sababu ni black. Kuisimamia TZ ktk lipi au kwa namna gani. Hii tz viongozi tunaowachagua wanashindwa kuisimamia leo hii wewe ndio ujikakamue kuisimamia utaweza .
 
dalili za udhaifu!!
 
Back
Top Bottom