Mchango wa mawazo kutoka kwa wadau nataka kufunga ndoa

Kapetibovu

Member
Joined
May 2, 2020
Posts
60
Reaction score
58
Wakuu,

Nimekamilisha hatua zote za kufunga ndoa na mke wangu mtarajiwa na tarehe imeshapangwa ni suala la mda tu.

Katika mwingiliano wa maisha nimempata binti wa kipogoro (Mpogoro).

Nasaha, uzoefu na ushauli wenu wana JF ni muhimu sana katika kuelekea jambo hili:-
Shukrani.
 
Dah, kumbe unaingia gizani. Subiri mabaharia wakuingize kitaani. Mtoto mmoja kati ya wanne (1/4) ndio atakuwa wa kwako. Utajua hili miaka 8 ijayo ukipima DNA.
 
Oa Haraka Sana, Wakati Wote Kwenye Ndoa Yako Epuka Motivation Speaker.
Achana Na Masuala Ya Kuiga Maisha Ya Fulani
Usijione Umechelewa Ila Hakikisha Unasimama Imara Ndoa Itadumu.
 
Hongera Sana. Wapogoro wapo vizuri hawana presha na maisha la muhimu yeye apate chakula tu nyumban. Mambo ya maendeleo Kama wachaga sahau. Inshort wanaridhika mno. Pia, jiandae kulea ndugu wa ukoo mzima.
**Uswahili mwingi
 
Hongera Sana. Wapogoro wapo vizuri hawana presha na maisha la muhimu yeye apate chakula tu nyumban. Mambo ya maendeleo Kama wachaga sahau. Inshort wanaridhika mno. Pia, jiandae kulea ndugu wa ukoo mzima
Asante sana connections πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ukipenda boga penda na ua lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…