Mchango wa mawazo kutoka kwa wadau nataka kufunga ndoa

Mchango wa mawazo kutoka kwa wadau nataka kufunga ndoa

Kapetibovu

Member
Joined
May 2, 2020
Posts
60
Reaction score
58
Wakuu,

Nimekamilisha hatua zote za kufunga ndoa na mke wangu mtarajiwa na tarehe imeshapangwa ni suala la mda tu.

Katika mwingiliano wa maisha nimempata binti wa kipogoro (Mpogoro).
images-4.jpeg

Nasaha, uzoefu na ushauli wenu wana JF ni muhimu sana katika kuelekea jambo hili:-
Shukrani.
 
Hongera Sana. Wapogoro wapo vizuri hawana presha na maisha la muhimu yeye apate chakula tu nyumban. Mambo ya maendeleo Kama wachaga sahau. Inshort wanaridhika mno. Pia, jiandae kulea ndugu wa ukoo mzima.
**Uswahili mwingi
 
Hongera Sana. Wapogoro wapo vizuri hawana presha na maisha la muhimu yeye apate chakula tu nyumban. Mambo ya maendeleo Kama wachaga sahau. Inshort wanaridhika mno. Pia, jiandae kulea ndugu wa ukoo mzima
Asante sana connections 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ukipenda boga penda na ua lake.
 
Back
Top Bottom