Kapetibovu
Member
- May 2, 2020
- 60
- 58
- Thread starter
- #61
nimecheka kwa kweli daah.... Mkuu sina video,Ahsante.Uko na video tuone?
Hongera Sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimecheka kwa kweli daah.... Mkuu sina video,Ahsante.Uko na video tuone?
Hongera Sana mkuu
Asante sana.sala na dua iwe nguzo kwenye maisha yenu ya ndoa, kila la kheri
Ahsante sana mkuu Nimekuelewa.Siku akikunyima mchezo usijisikie vibaya. Na kuwa makini endapo uvumilivu ukikushinda kama umenyimwa, usimuadhibu kwa kugonga nje. Huko nje unaweza gonga na kubambikwa mtoto au maradhi.
Na ukibambikwa mtoto hakikisha ni wako na kama ni wako jiandae kisaikolojia na matunzo ya mwanao. Ila cha msingi mvimiliane hakuna mkamilifu yaani nasisitiza hakuna mkamilifu, mkamilifu ni uvumilivu pekee. Ahsante
Ha ha ha asante sana Mkuu.Wewe usitutafute lawama na shemeji bhana, yani unakuja kuomba mawazo wakati tayari mnaelekea kufunga ndoa, tukishauri ikaonekana tumeshauri vibaya shemeji atuone wanafiki!!!
Oa tu mkuu kila mtu ana mapungufu.
Nitavaa suti nyeusi tu. Upige kigauni kizuri chekundu.tutavaaje niaanze kujiandaa
sawa bebe🥰Nitavaa suti nyeusi tu. Upige kigauni kizuri chekundu.
Wewe endelea kumtii yule wa JF!Kila rakheri mkuu,mpende mkeo naye akutii hivo yani.
[emoji16][emoji16][emoji16]Hongera Sana. Wapogoro wapo vizuri hawana presha na maisha la muhimu yeye apate chakula tu nyumban. Mambo ya maendeleo Kama wachaga sahau. Inshort wanaridhika mno. Pia, jiandae kulea ndugu wa ukoo mzima.
**Uswahili mwingi
[emoji3][emoji3], kakorofi wewe ,haya!Wewe endelea kumtii yule wa JF!
Mkuu Diana Spencer ushirikina ni tabia ya mtu na si kabila kwa hiyo siwezi kupiga chini kwa ushauri kama huo, kasumba na dhana ni kitu kimoja hutofauti wake ni ukubwa.Yaan unataka kuoa unaomba ushauri, kwahiyo tukikwambia ' kama ni mpogoro piga chini, ni washirikina, wanapenda sana kutoa kafara, je utampiga chini? Eti mleta uzi?
Sijui ni wivu!!Yaan unataka kuoa unaomba ushauri, kwahiyo tukikwambia ' kama ni mpogoro piga chini, ni washirikina, wanapenda sana kutoa kafara, je utampiga chini? Eti mleta uzi?
Jibu safi kabisaaaa✔Mkuu Diana Spencer ushirikina ni tabia ya mtu na si kabila kwa hiyo siwezi kupiga chini kwa ushauri kama huo, kasumba na dhana ni kitu kimoja hutofauti wake ni ukubwa.
Mfano wa kasumba ni kuambiwa wanyakyusa wanakula nyama ya watu na ukaamini bila kuthibitisha.
Dhana ni ndogo mf. Ukimpigia mpenzi wako asipokea simu rafiki yako akikuambia yupo na mchepuko basi iyo ni dhana yake.
Basi hiyo ni kasumba yako umejengewa na unadhani ni kweli wapogoro wote ni wachawi.
Ahsante.