Ty_Vigilante
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 2,890
- 2,455
Hongera sana
Tunakutakia maisha yenye Amani na Furaha, mkawe mfano bora kwa jamii.
Tunakutakia maisha yenye Amani na Furaha, mkawe mfano bora kwa jamii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ahsante sana.Hongera sana
Tunakutakia maisha yenye Amani na Furaha, mkawe mfano bora kwa jamii.
Mwambie unayo ruhusa ya kuoa hadi wanne,lakini umeanza na moja itategemea na atakavyojiweka na kuitunza nafasi yake pweke.Wakuu,
Nimekamilisha hatua zote za kufunga ndoa na mke wangu mtarajiwa na tarehe imeshapangwa ni suala la mda tu.
Katika mwingiliano wa maisha nimempata binti wa kipogoro (Mpogoro).
View attachment 1497093
Nasaha, uzoefu na ushauli wenu wana JF ni muhimu sana katika kuelekea jambo hili:-
Shukrani.
Asanteeeee kwa ujumbe mzuri.Mwambie unayo ruhusa ya kuoa hadi wanne,lakini umeanza na moja itategemea na atakavyojiweka na kuitunza nafasi yake pweke.
Mwambie, kitaani kuna wazuri wengi wananyemelea kuichukua nafasi yake ,asijibwagaze na kuibeza nafasi hiyo.
Mwambie Ndoa sio ndoano bali ni maelewano na MARIDHIANO.
Mwambie lengo la ndoa si kupata Mali za Urithi wala Ngono, bali kupata waoto na kujenga Familia itakayomridhisha Muumba na kuleta tija kwa jamii na Taifa kwa Ujumla.
Umasikini na Utajirini Majaaliwa yake Mungu, hoja tujitahidi kushirikiana kujenga maisha
Mwambie Ushirikina ni Adui wa Kwanza kuliko yote katika Ndoa,Ukimbaini anakupa Liimbwata au Mizizi ndio mwisho wa Ndoa yenu bila msamaha.
Mkuu Diana Spencer ushirikina ni tabia ya mtu na si kabila kwa hiyo siwezi kupiga chini kwa ushauri kama huo, kasumba na dhana ni kitu kimoja hutofauti wake ni ukubwa.
Mfano wa kasumba ni kuambiwa wanyakyusa wanakula nyama ya watu na ukaamini bila kuthibitisha.
Dhana ni ndogo mf. Ukimpigia mpenzi wako asipokea simu rafiki yako akikuambia yupo na mchepuko basi iyo ni dhana yake.
Basi hiyo ni kasumba yako umejengewa na unadhani ni kweli wapogoro wote ni wachawi.
Ahsante.
kwahiyo kiongozi unamshauri jamaa kabla ya kuweka ndani mzigo ufanyiwe overhaul kwanza sio⚙🛠🔨🔧Ushauri wangu, oa. Ikiwezekana hata jana. La msingi mkeo asiwe spana mkononi, asiwe mtu ambaye kupitisha wiki mbili bila kuumwa serious kwake ni ajabu. Hilo ni la msingi kuliko yote, niamini mimi
Ndo hivyo. Kama kuna mtu mkewe ni spana mkononi atakua shuhuda. Mimi nitaambiwa navutia upande wangukwahiyo kiongozi unamshauri jamaa kabla ya kuweka ndani mzigo ufanyiwe overhaul kwanza sio⚙🛠🔨🔧
Asante mkuu.Bwana harusi una busara/akili sana....hope hii busara utaitumia katika kupambana na matatizo/migogoro yako katika ndoa
Bibi harusi ana bahati sana kupata mtu kama wewe....kila la heri
Amiin Mwenyezimungu atatuongoza.Mshirikiane katika mambo yenu yote kusiwe na usiri baina yenu
Upendo wa kweli ikiwemo kumwmbia kuwa unampenda
Kuvumilia mapungufu yanayovumilika
Kusamehe pindi anapokukosea na wewe kuomba msamaha pindi unapokosa
Kumjali na kuhudumia familia yako mtakapopata watoto. Jua kuwa wewe ndio kila kitu katika familia ndio mtoaji na mwangalizi mkuu
Usifuatilie au kukipigia hesabu kipato cha mkeo
Msali au kuswali na kumtumikia Mungu kama familia
Inshallah [emoji120]Amiin Mwenyezimungu atatuongoza.
Wakuu,
Nimekamilisha hatua zote za kufunga ndoa na mke wangu mtarajiwa na tarehe imeshapangwa ni suala la mda tu.
Katika mwingiliano wa maisha nimempata binti wa kipogoro (Mpogoro).
View attachment 1497093
Nasaha, uzoefu na ushauli wenu wana JF ni muhimu sana katika kuelekea jambo hili:-
Shukrani.
Ameeeeen,Dua makbur Mashallah....Hongera sana Jah awe mlinzi, faraja, na mpatanishi wa ndoa yenu, muishi kwa amani na mfurahie muungano wenu, mjaliwe watoto wazuriiiii na mzeeke pamoja. Ameeeeeeen
😊Akizingua kwa uhuni kiburi na kukupanda kichwani na kukosa kukusikiliza mpe za UCHEBE atanyooka.