Ugwanzee
Senior Member
- Mar 7, 2024
- 137
- 225
we kama unayo mpe wewe ambae sio maskiniUlofa unakusumbua yaani mchango wa elfu 50 unaandika maneno yote hayo ungeambiwa mchango milioni si ungejinyonga
Kemea Pepo la umaskini likutoke kwa Jina la Yesu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we kama unayo mpe wewe ambae sio maskiniUlofa unakusumbua yaani mchango wa elfu 50 unaandika maneno yote hayo ungeambiwa mchango milioni si ungejinyonga
Kemea Pepo la umaskini likutoke kwa Jina la Yesu
Ukichangia huo ujinga utakuwa huna tofauti na Lucas MwashambwaJamani kuna jamaa kahitimu masters anataka kusherehekea kwa kuwakaribisha ndugu na jamaa. Hivyo nimeombwa kumchangia katika Sherehe yake hiyo ya kumaliza masters itakayofanyika Ukumbini.
Viwango :
Single Tsh. 30,000/=
Double Tsh.50,000/=
Nini maoni yako kuhusu uchangishaji wa sherehe za namna hii.
hamna hoja hapoMambo mengne ni rahisi tu na haina haja ya kuaibisha watu km unaweza kuchangia basi fanya ivyo na km unaona huwezi changia bas potezea haina haja ya kuzalilisha watu kwa maamuzi yao binafsi
Unaweza fanya huwezi acha basi kutafta maoni ya watu ili kumzalilisha mtu sio poa
Kumdhalilisha kivipi wakati hatumjui mleta mada kwa jina halisi wala huyo anayechangiwa? Stori kama hii inaweza kuwa kweli au isiwe kweli.Mambo mengne ni rahisi tu na haina haja ya kuaibisha watu km unaweza kuchangia basi fanya ivyo na km unaona huwezi changia bas potezea haina haja ya kuzalilisha watu kwa maamuzi yao binafsi
Unaweza fanya huwezi acha basi kutafta maoni ya watu ili kumzalilisha mtu sio poa
Na sisi tutakuchangia shida na matatizo raha utajichangia na kula mwenyewe.Huwa nachangia ishu za msingi zikiwemo shida na matatzo
Huna hela tafuta hela lofa wewe yaani kuchangia elfu 50 unaona utafilisikaUkichangia huo ujinga utakuwa huna tofauti na Lucas Mwashambwa
Sasa hapo mwenye sherehe anawaburudisha waalikwa au yeye?Sherehe yoyote inatakiwa ighalamiwe na mwenye sherehe. Mwenye shangwe awaalike rafiki zake wajumuike kwenye sherehe yake bila malipo. Wao waamue kuja na zawadi kulingana na uwezo.
Changa kuondoa ugomvi na mwamba maana anatafuta njia ya kukosana.
Shida yako ni kuzaliwa kwenye koo maskini na wasio na mshikamanoMsihalalishe upumbavu kisa et ujamaa!
Michango ya kipuuzi haina maana yoyote..
Tukianza na Birthday/Graduation/send off/kitchen party na Harusi zenyewe..
Yani sherehe yako unanipangia hela ya kukupa na nguo ya kuvaa....
Huu upuuzi tunaufanya basi tu ila unanikera sana hapa yenyewe nipo kwenye Graduation nmetolea mchango kisa sijui ujirani mwema! Inachosha hasa kwa sisi ambao hatuna mpango wa kufanya sherehe yoyote maishani!
Ulofa unakusumbua yaani mchango wa elfu 50 unaandika maneno yote hayo hadi sauti inakauka ungeambiwa mchango milioni si ungejinyonga
Kemea Pepo la umaskini likutoke kwa Jina la
Kama pesa sio shida wasingelialia kuchangiwa wangejipanga wao.Ulofa unakusumbua yaani mchango wa elfu 50 unaandika maneno yote hayo hadi sauti inakauka ungeambiwa mchango milioni si ungejinyonga
Kemea Pepo la umaskini likutoke kwa Jina la Yesu
Sherehe hushikwa na kamati kama hujui sio mhusikaKama pesa sio shida wasingelialia kuchangiwa wangejipanga wao.
Wasomi wetu vilaza hawajui matumizi sahihi ya akili
Kwenye taifa ambalo watu kupata milo mitatu ni Anasa, Taifa ambalo watu maiti zinawekwa rehani sababu marehemu hajamalizia Pesa ya Matibabu..., Taifa la hivyo hata nikiwa na pesa za kumwaga kushiriki kwenda kufuja / kutumbua Pesa kwa siku Moja sijui Bajeti ya Mamilioni ya Pesa wakati hata hao tunaowachangia Hata Nyumba hawana na wanakwenda kuanza maisha ya Kupanga, kwa kuwaongezea madeni ya kurudisha fadhila (walichangiwa lazima nao wachange) Nadhani ni kuwa na Vipaumbele vya Kilimbukeni....Michango sio kwenye shida tu na kwenye furaha pia wewe
Mbona wengine tunachangia vyote kwenye koo zetu ada tunachangia,misiba tunachangia ,matibabu tunachangia na sherehe tunachangia na tunafurahi tu kuchangia
Ukoo wenu huo ni wa malofa na hawana mshikamano . Ona sasa wamekuambukiza na wewe pepo la roho mbaya yao iliyomo ndani yao.Wangekuchangia safari yako ya nje wewe sasa hivi hata sherehe yeyote iwe ya graduation,au ya mtoto kutoka jando nk ungekuwa unachangia bila kinyongo.Wamekuharibu
Bado kidogo tutaanza kuchangiana za kulipa Gest House.! Sina maana hiyo unayofikiri wewe!Jamani kuna jamaa kahitimu masters anataka kusherehekea kwa kuwakaribisha ndugu na jamaa. Hivyo nimeombwa kumchangia katika Sherehe yake hiyo ya kumaliza masters itakayofanyika Ukumbini.
Viwango :
Single Tsh. 30,000/=
Double Tsh.50,000/=
Nini maoni yako kuhusu uchangishaji wa sherehe za namna hii.
Sasa nyinyi ndo mmezaliwa kwenye umasikiniShida yako ni kuzaliwa kwenye koo maskini na wasio na mshikamano
Matukio kama hayo ndio hukutanisha ndugu na marafiki kumpongeza mwanaukoo au rafiki au mtoto wa ndugu au rafiki kwa kwenda hatua nyingine ya maisha
Wana celebrate success
Ila kama umezaliwa familia au ukoo wa malofa wasio na mshikamano kama ndugu au ukoo hutaelewa hayo mambo utaona ni nonsense
Hujui kitu mabilionea wote duniani huwa na mifuko ya kuchangisha inaitwa Foundation kusaidia watuSasa nyinyi ndo mmezaliwa kwenye umasikini
Kuchangisha ni ishara kuu ya umasikini