Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Kila siku nyama tu aargghh tunaumizana pua
Utakuwa unasikiliza radio Abood FM wewe!! Au na kwenye redio zingine hili tangazo lipo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila siku nyama tu aargghh tunaumizana pua
Matangazo ya kibongo shida tupu, inakuwaje mwanaume asifiwe kawa mtamu?
Mtamu anajulikana ni mtu wa namna gani! Kwa kawaida chakula na wanawake ndio husifiwa kwa utamu, haya ni mazoea ya kiasili sasa inakuwaje leo mwanaume asifiwe kawa mtamu??
Kwa wenye tangazo wanaona kama wamefanikiwa sana lakini kiuhalisia ni matusi kwa jinsia ya kiumeni! Na matangazo ya namna hii yapo mengi sana bongo
walishamuonja wasiseme
Hiyo ni lugha ya kawaida sana mtaani pale mtu anapokuwa anapendeza kwa kupiga pamba kali (hii nayo unaweza usielewe).
Utakuwa unasikiliza radio Abood FM wewe!! Au na kwenye redio zingine hili tangazo lipo?
Mkuu wala siyo wewe tu! Hata mimi huwa linaniudhi sana, henu fikria mko sebuleni na watoto wamewazunguka halafu ndo linatoka tangazo kama hilo inakuwaje mkuu? Yaani hii nchi sisi kila kitu ni mazuzu tu, yule mama si anataka kupigwa kitu yule? Maana hata wanavyozungumza kwa kupepesa midomo yaani ni full maloviiiiii. Hivi hayana mtu ya kudhibiti hii kitu? Eti mwisho mama anamalizia "naona baby hiki chumba uje uhame bodaboda zinakuchanganya mpaka kondom unaita helmet?" Ukiwa na hivi vitoto vya dotcom havijakupiga swali tu? Jamani hebu hizi aibu watuondolee aiseee!! Mpaka tunashindwa kukaa kwa uhuru na watoto wetu maana hapo ni full remote mkononi, maana yake nini?
Aaaaargh! Hii sasa sifa, nyama tena! jamani tunaumizana puaaaaa! ANGALIZO: usile nyama kila siku kwa hela ya mkopo wa kampuni ya simu tena nyumba ya kupanga- mnufaika angekuwa kwenye nyumba yake yule mama asingekwazwa!