Mcharo kawa mtamuuu

Mimi huwa ni mfatiliaji sana wa matangazo ya redioni na yale yanayorushwa kupitia runinga (Television) yawe ya kimataifa na hapa nyumbani Tanzania. Lakini kinachonishangazaga sana ni haya matangazo mengi ya nyumbani hasa ya redioni mara nyingi yamebuniwa kuhamasisha au kuamsha hisia fulani za kimapenzi mapenzi hasa kwa wasikilizaji. Sasa sijajua sababu iliyofichika nyuma yake kupelekea waandaaji wa matangazo hayo kutumia ubunifu huo. Ni nini hasa lengo la waandaaji kwa wasikilizaji? Naombeni wadau mnisaidie kwa hili.
 
Hiyo ni lugha ya kawaida sana mtaani pale mtu anapokuwa anapendeza kwa kupiga pamba kali (hii nayo unaweza usielewe).
 
Katika matangazo yalonifanya nisipende baadhi ya vituo hilo mojawapo.
 
akh mambo ya kula nyama kilasiku kwa mkopo wa simu,analipaje sasa..ndo mana akawa mtamu
 
Hiyo ni lugha ya kawaida sana mtaani pale mtu anapokuwa anapendeza kwa kupiga pamba kali (hii nayo unaweza usielewe).

kwa hiyo na wewe mtamu?
au hupendezagi

maana
vitamu hua vitamu zaidi nikiviingia
 
Ila tangazo la kif.ala kuliko yooote ni lile la ' Ngosha niazime bodaboda yako nipige raundi,,,
Bodaboda yako iko wapi? '
 
Kuna tangazo moja jamaa wanaimba "Tigo imekua....tigo imepanuka....."
 
hiyo ndio chafu kabisa!!!!
 
Aaaaargh! Hii sasa sifa, nyama tena! jamani tunaumizana puaaaaa! ANGALIZO: usile nyama kila siku kwa hela ya mkopo wa kampuni ya simu tena nyumba ya kupanga- mnufaika angekuwa kwenye nyumba yake yule mama asingekwazwa!
 
Mie nampenda yule dada white akiwa kamkumbatia jamaa huku akiangalia jicho utafikiri linataka kutoka.
 
Aaaaargh! Hii sasa sifa, nyama tena! jamani tunaumizana puaaaaa! ANGALIZO: usile nyama kila siku kwa hela ya mkopo wa kampuni ya simu tena nyumba ya kupanga- mnufaika angekuwa kwenye nyumba yake yule mama asingekwazwa!

Matangazo mengi hasa ya mitandao ya simu badala ya kujenga yana mislead
 
:banghead::banghead::banghead:
 
Attachments

  • 1417805480992.jpg
    10.8 KB · Views: 158
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…