Mcharo kawa mtamuuu


Ni kutokana na uliyoyajaza mawazoni mwako ndio maana umetafsiri hivyo.Lakini kuwa mtamu ni neno la mtaani likiwa na maana ya kufanikiwa kimaisha
 
Ni kutokana na uliyoyajaza mawazoni mwako ndio maana umetafsiri hivyo.Lakini kuwa mtamu ni neno la mtaani likiwa na maana ya kufanikiwa kimaisha
musami usitetee ujinga hata mimi naishi mtaani na lugha zetu kama mtu kafanikiwa ni mambo safi, katoka, yuko njema, kibopa nk...! Neno utamu halipo labda kama ni msamiati mpya ambao hata hivyo hauashirii mema
 
Last edited by a moderator:
Kwa utukutu wng nikiwa O lvl, hili jn nilibatizwa, likawa maarufu sana kuliko majina yng halisi! Classmate wng, ss hv ni mmama, wa late 1990s kanipigia, akanisimulia khs hilo tangazo na jinsi anavolipenda! binafsi watu wa matangazo wamenipa tabu sn hapo!
 


Haha ha ha kiukweli imekua kioja ss
 
Last edited by a moderator:

Nimecheka mkuu hafu kula tano aseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…