Mchawi kazi yake ni kuroga urudi nyuma, jilinde

Wewe jamaa ni mjinga sana. In short ni bogus sana. Hii thinking ni ya mtu medieval sana. Kama hujaiacha in 2021, utaendelea kuwalaumu watu kwa failures zako in so many years to come.
 
Asili yetu ipi? asili ya binadamu kama ilivyo kwa viumbe vingine ni moja tu.............ni uumbaji wa Mungu Mwenyezi.
Ila imani tofauti..halafu si nawewe uanzishe uzi wako wa masuala yako..sio kudakia nyuzi za watu..humu hakuna sadaka...acha watu wajadili imani za mababu zetu..wewe komaa na zakuletewa...nyie ndio makana asili yenu majina ya babu zako wakina mwakisulu unayakataa unataka uitwe joni..rubish kabisa hii.

Hata hao unao waamini hawakuacha tamaduni na mila za mababu zao..ndio mana hata kuzikwa lazima walikua wanazikwa na mababu zao..hata afie nchi ya mbali lazima mifupa irudishwe izikwe karibu na ukoo wake.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wewe jamaa ni mjinga sana. In short ni bogus sana. Hii thinking ni ya mtu medieval sana. Kama hujaiacha in 2021, utaendelea kuwalaumu watu kwa failures zako in so many years to come.
Bado mdogo sana haya mambo sio levo zako..endelea kula kwa shemeji...kwa ufadhili wa viuno vya dada.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hivi kumbe mitishamba ni ya shetani?
 
Imani ninayoongelea ni imani katika Mungu Mwenyezi muumba mbingu na nchi na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana.......hizo imani za mababu weusi, wazungu, wahindi, wachina ambayo mnaita mizimu ni roho za kimiungu ambazo zinatafuta kuabudiwa. Mimi naongelea Mungu Mkuu (Almighty God) ambaye pia anajulikana kama Mungu wa Israel, siongelei miungu au mizimu...
 
Brainwashed..unatusumbua tu humu..nenda kaanzishe uzi wako.

Just jaribu siku moja kua na akili think out of that rooster crook.

#MaendeleoHayanaChama
 
Unamlilia mungu yupi..wa wayahudi..wawazungu..wawaarabu..wawahindi..wawachina au wawaafrika?

Anyway kua na imani katika yote.

#MaendeleoHayanaChama
Alieniumba mm,akamuumba baba na mama yangu,akawaumba bibi na babu yangu.alieumba mbingu na ardhi,alieumba usiku na mchana.
Aliekuumba ww pia,na mama na baba yako.alieumba Tanzania na Afrika,Amerika Ulaya na dunia nzima.
Kama ni Mungu wa waafrika basi ni huyo huyo,kama atakuwa wa Waarabu basi ndie ninaemzungumzia.

Hata kama akiwa wa wazungu,wahindi or wayahudi its okay mm sina shida yeyote kati yake na mm ilimradi tu awe na sifa hizo nilizotaja hapo juu basi huyo ndie ninaemlilia hapa mkuu.
 
Kwa hiyo ukitumia mitishamba kufanya ulozi utakuwa unafanya kazi ya Mungu? acheni kupotosha watu uganga unatumia nguvu za giza....
Kumbe hata Nuhu alivyo tumia mitishamba kutengeneza safina alifanya ulozi pia?

Anyways Kuna mdau amesha kwambia Huu Uzi Ni maalumu Kwa watu wanao Amini katika uafrika wao, wewe ambae huamini katika asili ya mwafrika hata sijui unafanya Nini katika Uzi Huu usio kuhusu.

Please achana Na Huu Uzi Acha watu wafunguke ya moyoni
 
Kwa hiyo kuamini katika uafrika ni kuamini katika ushirikina? mkuu tafuta watu wa kupotosha nafikiri unajua wazi kuwa huna mamlaka hayo ya kunihukumu katika imani yangu kwa Mungu Mkuu na kuwaeleza wengine kuhusu hilo, ni matarajio yangu kwamba hutakuja tena kunijibu kwa maneno yenye hila yaliyo na upotoshaji wa kishetani ndani yake......vinginevyo nitamwachia Mungu Mwenyezi ajibu kwa kadri ya mapenzi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…