Barnabas Mashamba
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 797
- 2,233
Nakazia maarifa.Sio lipo tu! Uchawi upo, kurudishana nyuma kupo hasa kwa Nguvu za Giza! Kuwa makini na ndugu jamaa na marafiki Mana mchawi hawezi kukudhuru Kama ajui Siri na background yako...
Hata Bwana Yesu alipata kusema maneno yafuatayo, (nanukuu)
"Adui wa mtu ni wale wa nyumbani mwake".