Sawa usijari!
Unaweza kuwa na biashara Fulani sawa sawa na mtu X...
Wewe ukawa mchapakazi Sana Tena mwenye Hofu ya Mungu ..
Lakini mfanyabiashara X akawa na mtaji wa kawaida Sana Tena Sana.. rakini baada ya muda unashangaa anakupiga gape. Hapo huwa Kuna Siri! Ila Wengi hawataki kusema na wanaficha, Hakuna motivation speaker anaezungumzia kuhusu chuma ulete wao wanaamini katika pay yourself first ya the richest man in the Babylon....
Usione utajiri wa Mo ukajua Ni kurithi tu, ukiacha Mali Kuna vitu vingi sana amerithi...
So wewe Kama mfanyabiashara au mfanyakazi lazima uwe na akili ya kuchangamka...
Nina ndugu yangu Ana hardware zaidi za 10 dar es salaam.
Na migodi shinyanga, Ana mashamba mengi sana...
Ila kila mwaka lazima aende kwa wataalamu kujitapishwa dawa za limbwata anazopewa na wake zake guess what???
Wewe na ukapuku wako bado unamwamini mwanamke!!!!
Uchawi upo hasa wa kurudishana nyuma...
Nakupa my experience!
Nilikuwa na tabia ya kutumi fedha hovyo na pesa yangu huwa inapotea bila kuacha impact yoyote...
Nilijitahidi kusoma Sana vitabu na kubadilisha tabia lakini wapi kitabu Kama... The richest man in the Babylon... Poor Dad rich dad... The mirrioner in the next door na The money formula!!!
Bila manufaaa... Ila baada ya kwenda kwa mtaalamu kujisafisha nilibaini kuwa... Kuna ndugu zangu wanaamini Mimi nitakuja kuwa faraja kwa mzazi wangu
Kwaiyo wkaamua kuweka mazingira kuwa hela yangu isiwe na mchango wowote kwangu na kwa mama Yangu....
Nilikuwa sivai vizuri, sinywi pombe Sina makundi na makundi na hela sina...
Nakupa Siri, huwa Kuna mashetani wao kuja wakati una pesa kukushawishi kwa matumizi yasio na mbele Wala nyuma...
Hii Siri huwezi kusikika kwa mfanyabiashara Au motivation speaker yoyote..
Mwisho#
Miti imeubwa na Mungu Kama Tiba... Tumieni mitishamba...
Mfano baada ya kuweka au kulaza gari lako car parking kwa Malipo Kuna dawa ya mti Shamba unaweka kwenye gari. Au pikipiki
Mwizi akija wewe una amua afe baada ya siku moja .. au akute jiwe kubwa.....
Huoni Nina reduce cost ya kulaza gari kwa kununua mti Shamba????
Mwisho [emoji2]