Mchawi kazi yake ni kuroga urudi nyuma, jilinde

Mwanamke Ni mtu hatari sana, Mimi ni mfano Hai wa Matendo ya ukatili wa Mwanamke:

Hii naongea kutoka Moyoni mwangu wanao Bisha tabia za wanawake hawazijui.

Sikia hii story ya kweli katika Familia yangu,

Mama mkubwa mke wa Baba yangu walio oana na Baba yangu bonge la Harusi ujanani wali Dumu katika ndoa yao kwa miaka 5tu na wakazaa watoto wa3. Ila ugomvi ulikuwa daily tatizo mwanamke Alikuwa hafanyi majukumu yake ya nyumbani bali alipenda sana starehe na waganga kumchezea mume, Mume akapewa taarifa na majirani akafuatilia aka kuta kweli mkewe na vitu vya ajabu kwenye kabati la nguo na kitandani kwenye mto wa Baba na uvunguni kaweka dawa za mitishamba..

Mume kufuatilia vizuri aka gundua Mwanamke pia alikuwa anaiba hela ndani na kujenge kwao.. Wakaachana ndai ya miaka mi5 ya ndoa.

Mzee akachiwa watoto wa3 wadogo sana, akaishi bila mke kwa miaka4 , wazazi wake wakamshauri Aowe mke mwingine baada ya taarifa za yule mke wake kusambaa kuwa anaishi na mawanaume Mwingine Arusha na nimja mzito, wakati kamuachia watoto tena kwenye Nyumba ya kupanga uja nani akiwa na hali ya kawaida sana kimaisha kwa maana ya kipato cha kawaida.

Mzee kweli akajiongeza aka chukua mke mwingin ambaye ndio mama Yangu, tukazaliwa sisi, baada ya miaka kama 25 kupita tukiwa tusha zaliwa watoto6, Baba alisha pandishwa cheo na kusoma zaidi maisha yakawa makubwa na akawa msaidizi wa mkurugenzi wa Bank kuu ya tanzania na baadaye mkuu wa Azina, akawa kesha wekeza sana kila kona ya jiji la Dar na kwao Mkoani..

Ghafl mauza uza ya ugomvi ndani yakaibuka mzee kawa kama anachanganyikiwa haishi kumpiga mama kila mara yaani akawa kama siyo yeye tena.. Mara afukuze watoto mara hili mara lile, Baadaye Mama yangu akaugua ugonjwa wa ajabu sana akabaki mifupa tupu mm nikiwa ndio nimezaliwa nina mwaka 1 , mzee akawa hajali huduma wala hataki kuangali watoto,

Mama akaja kuchukuliwa apelekwe matibabuni, walizunguka mahospitali yote tanzania na ukumbuke hadi kenya na South africa alipelekwa lakini haponi wala ugonjwa hauonekani, Mwishoe akawa anakaribia kukata roho kabaki mifupa tu waka mrudisha Kijijini kwao asubirie kufa tu. Lakini kule kijijini wazee wa upande wa Mama wakajiongeza wakampeleka kwa mtaalamu wa Jadi aka aguliwa na ukweli ukajulikana alitupiwa jini na mke mkubwa na mambo mengine mengi tu.. bahati nzuri akatibiwa akapona akarudi kwenye hali yake baadaye Wakati anarudishwa nyumbani kwa wazazi wake maana alitokea kwa Matibabu ya jadi.. aka kuta watoto wote wame teletwa na kutelekezwa kwa wazazi wote. . wamekonda nusu ya kufa yule mkubwa kuliko wote aliye kuwa ana mika15 ndio kachangnyikiwa wengine wote wameacha shule na hawataki kabisa kusikia shule wala hawajielewi. Wazee wakoo waka jiongeza kuwapokea na kuwalea.

Mama alipo fuatilia aka ambiwa alivyo ondoka tu kwenda matibabuni, Week ile ile Mke mkubwa aliyekuwa ame achana na baba kwa miaka 25 alirudi na kugina ndani kwenye nyumba aliyejenga Mama yetu na Baba, na wakati huo Mzee hajitambui tena kawa kama mjinga wala hakumbuki watoto ana itwa ustawi wa jamii anaulizwa matumizi ya watoto ana sema mbona yeye hana watoto zaidi ya watatu aliyo nao nyumbani,?? watu wakadhani ni utani, kuja kumbana sana wakaagundua kweli hana kumbukumbu .. ila kesi ikaenda mahakamani ika amuliwa ahudumie watoto na aangaliwe kama akili ziko sawa. baadaye Ikaisha kienyeji Majaji wakapewa hongo na yule mke kubwa maana sasa yeye ndio alishikilia account zote za baba na mzee alifukuzwa kazi maana alikuwa haeleweki tena..

Baada ya Muda Baba kaja kufa kiajabu ajabu tu.. tuka mzika, mama mkubwa kaendelea kuishi ndani na wanawe, Ukoo ukasema kuwa kila kitu kwenye nyumba aliyokimbilia kuishi Mke mkubwa nicha watoto wa mke mdogo kwa kuwa Marehemu alisha Andika na kuwambia Wazazi wake kuwa Nyumba ya ujanani aliyo jenga kabla ya mama yangu kuishi naye na kuzaa naye ni ya watoto wake watatu aliye zaa n mke wake wandoa, ila hii mpya aliyojenga akiwa na mke mdogo yaan maa yang ni ya watoto 6 aliyo zaa na mama yangu.. Una ambiwa kile kikao cha ukoo kilivurugika kwa ugomvi mke mkubwa akawa moto na yule aliye kuwa kiongozi wa ukoo alikufa ndani ya week iliyofuata, Kukawa na viongozi wengine wanao chaguliwa Kushika nafasi ya Ukoo ila wakigusia haki za watoto wa mama yangu tu wanakufa, mpaka sasa Ninavyo ongea Baba wakubwa wa5 wote wamekufa kimaajabu. . na haki yetu hatuja ipata .. ndugu zangu karibia wote ni vichaa . nime baki mm tu ndio angalao nina jitambua..ingawa vita ya maisha yangu ni kubwa kama siyo kujificha katika maombi wangesha ni maliza..

Lakin kikubwa kinacho ni shangaza ni kuwa Baba anaonekana kule kijijin watu kazaa wana muona akiwa mchafu na manywele ila waki msogelea anapotea, mwanzoni tulidhani ni utani tukasema labda watu wanongea tu kwa kuwa yaliyotokea kweye familia yangu yameumiza watu wengi hadi majirani wa kule kijiji hivyo wanazusha tu kwa hasira walizo nazo juu ya mateso wanayo yaona kwa ndugu zangu.. Lakin sasa Hivi ni navyo ongea juzi tu mwezi wa kumi na moja mwaka huu uliyoisha. Kaka yangu mkubwa akiwa ndani kwake Katokewa na baba, kaamka zake aka kojoe ghafla akamuona mzee kakaa kwenye kochi ila haongei kitu alipo piga kelele mzee kapotea.

Jamani Uchawi Upo.. Ila naku hakikishia siku nikiingia kwenye Uchawi.. Nita angamizaa kizazi cha huyu Mwanamke mpaka kitukuu cha mwisho.. Naupima tu Uvumilivu wangu katika maombi.. Mungu aniongoze maana naijua nafsi yangu ilivyochoka na siku nikihamia kwa Shetani nitakuwa Shetani Halisi wala sita Igiza kabisa.
 
Pole Sana Ndugu yangu!
Kulipa kisasi Ni haki yako... Dunia haina fair
 
Kaka kwanza pole sana, mimi nakuhusia dumu kwenye maombi, na zaidi wasamehe.
 
Sipo hapa kumshawishi mtu aingie kwenye ushirikina, sipo hapa kudharau Imani ya dini ya mtu yoyote... Ila Nipo hapa kusema ukweli...

Watu wanatupa moyo kuhusu mafanikio, wengi wao husema kufanya kazi kwa bidii ndio njia ya mafanikio! Wao huita hiyo ndio Siri!

Lakini Ndugu zangu nipo hapa kuwapa Siri ingine ya mafanikio! Sio kuua mzazi wa kutoa kafara Ila Ni kukulinda...Katina mafanikio au katika biashara yoyote.

Mtu asikuambie mtaji wa laki Tano ndio ulionifanya niwe na nyumba na magari! Tena wanasema nilifanya kazi Sana kwa bidii, na siri ya mafanikio yangu Ni kufanya kazi kwa bidiii! Huo Ni uongo mtupu...

Siri za mafanikio zipo kwenye Siri ya ushirikina moja, Ni wewe kujikinga kupitia ushirikina! Au kukinga biashara yako kwa ushirikina, usipozingatia Ayo maisha yako yatakuwa chini miaka nenda miaka rudi huku ukiona wengine wanashaini

Mchawi kazi yake sio kuroga tu kazi yake ingine Ni kurudisha nyuma maisha yako....

Karibuni 2022.
Kuna fantasy witchcraft hauko kwa ajili ya kuumiza wengine bali kujifunza na kufurahisha nafsi
 
Sawa usijari!
Unaweza kuwa na biashara Fulani sawa sawa na mtu X...

Wewe ukawa mchapakazi Sana Tena mwenye Hofu ya Mungu ..

Lakini mfanyabiashara X akawa na mtaji wa kawaida Sana Tena Sana.. rakini baada ya muda unashangaa anakupiga gape. Hapo huwa Kuna Siri! Ila Wengi hawataki kusema na wanaficha, Hakuna motivation speaker anaezungumzia kuhusu chuma ulete wao wanaamini katika pay yourself first ya the richest man in the Babylon....

Usione utajiri wa Mo ukajua Ni kurithi tu, ukiacha Mali Kuna vitu vingi sana amerithi...

So wewe Kama mfanyabiashara au mfanyakazi lazima uwe na akili ya kuchangamka...

Nina ndugu yangu Ana hardware zaidi za 10 dar es salaam.
Na migodi shinyanga, Ana mashamba mengi sana...

Ila kila mwaka lazima aende kwa wataalamu kujitapishwa dawa za limbwata anazopewa na wake zake guess what???

Wewe na ukapuku wako bado unamwamini mwanamke!!!!

Uchawi upo hasa wa kurudishana nyuma...

Nakupa my experience!
Nilikuwa na tabia ya kutumi fedha hovyo na pesa yangu huwa inapotea bila kuacha impact yoyote...

Nilijitahidi kusoma Sana vitabu na kubadilisha tabia lakini wapi kitabu Kama... The richest man in the Babylon... Poor Dad rich dad... The mirrioner in the next door na The money formula!!!

Bila manufaaa... Ila baada ya kwenda kwa mtaalamu kujisafisha nilibaini kuwa... Kuna ndugu zangu wanaamini Mimi nitakuja kuwa faraja kwa mzazi wangu

Kwaiyo wkaamua kuweka mazingira kuwa hela yangu isiwe na mchango wowote kwangu na kwa mama Yangu....

Nilikuwa sivai vizuri, sinywi pombe Sina makundi na makundi na hela sina...

Nakupa Siri, huwa Kuna mashetani wao kuja wakati una pesa kukushawishi kwa matumizi yasio na mbele Wala nyuma...

Hii Siri huwezi kusikika kwa mfanyabiashara Au motivation speaker yoyote..

Mwisho#
Miti imeubwa na Mungu Kama Tiba... Tumieni mitishamba...

Mfano baada ya kuweka au kulaza gari lako car parking kwa Malipo Kuna dawa ya mti Shamba unaweka kwenye gari. Au pikipiki

Mwizi akija wewe una amua afe baada ya siku moja .. au akute jiwe kubwa.....

Huoni Nina reduce cost ya kulaza gari kwa kununua mti Shamba????

Mwisho [emoji2]
Wachawi wengi hii bongo aisee Sasa hao wake wapumbavu Wana mloga mume Ili iweje sasa, ujue Tanzania hii uchawi umeshamiri huwa naenda saloon hyo saloon Kuna frame nyingi asubuhi huwa wanakuta madawa Hadi vinyesi vya watu nikashangaa hivi mtu ana mloga mwenzake Ili iweje sasa
 
Mwanamke Ni mtu hatari sana, Mimi ni mfano Hai wa Matendo ya ukatili wa Mwanamke:

Hii naongea kutoka Moyoni mwangu wanao Bisha tabia za wanawake hawazijui.

Sikia hii story ya kweli katika Familia yangu,

Mama mkubwa mke wa Baba yangu walio oana na Baba yangu bonge la Harusi ujanani wali Dumu katika ndoa yao kwa miaka 5tu na wakazaa watoto wa3. Ila ugomvi ulikuwa daily tatizo mwanamke Alikuwa hafanyi majukumu yake ya nyumbani bali alipenda sana starehe na waganga kumchezea mume, Mume akapewa taarifa na majirani akafuatilia aka kuta kweli mkewe na vitu vya ajabu kwenye kabati la nguo na kitandani kwenye mto wa Baba na uvunguni kaweka dawa za mitishamba..

Mume kufuatilia vizuri aka gundua Mwanamke pia alikuwa anaiba hela ndani na kujenge kwao.. Wakaachana ndai ya miaka mi5 ya ndoa.

Mzee akachiwa watoto wa3 wadogo sana, akaishi bila mke kwa miaka4 , wazazi wake wakamshauri Aowe mke mwingine baada ya taarifa za yule mke wake kusambaa kuwa anaishi na mawanaume Mwingine Arusha na nimja mzito, wakati kamuachia watoto tena kwenye Nyumba ya kupanga uja nani akiwa na hali ya kawaida sana kimaisha kwa maana ya kipato cha kawaida.

Mzee kweli akajiongeza aka chukua mke mwingin ambaye ndio mama Yangu, tukazaliwa sisi, baada ya miaka kama 25 kupita tukiwa tusha zaliwa watoto6, Baba alisha pandishwa cheo na kusoma zaidi maisha yakawa makubwa na akawa msaidizi wa mkurugenzi wa Bank kuu ya tanzania na baadaye mkuu wa Azina, akawa kesha wekeza sana kila kona ya jiji la Dar na kwao Mkoani..

Ghafl mauza uza ya ugomvi ndani yakaibuka mzee kawa kama anachanganyikiwa haishi kumpiga mama kila mara yaani akawa kama siyo yeye tena.. Mara afukuze watoto mara hili mara lile, Baadaye Mama yangu akaugua ugonjwa wa ajabu sana akabaki mifupa tupu mm nikiwa ndio nimezaliwa nina mwaka 1 , mzee akawa hajali huduma wala hataki kuangali watoto,

Mama akaja kuchukuliwa apelekwe matibabuni, walizunguka mahospitali yote tanzania na ukumbuke hadi kenya na South africa alipelekwa lakini haponi wala ugonjwa hauonekani, Mwishoe akawa anakaribia kukata roho kabaki mifupa tu waka mrudisha Kijijini kwao asubirie kufa tu. Lakini kule kijijini wazee wa upande wa Mama wakajiongeza wakampeleka kwa mtaalamu wa Jadi aka aguliwa na ukweli ukajulikana alitupiwa jini na mke mkubwa na mambo mengine mengi tu.. bahati nzuri akatibiwa akapona akarudi kwenye hali yake baadaye Wakati anarudishwa nyumbani kwa wazazi wake maana alitokea kwa Matibabu ya jadi.. aka kuta watoto wote wame teletwa na kutelekezwa kwa wazazi wote. . wamekonda nusu ya kufa yule mkubwa kuliko wote aliye kuwa ana mika15 ndio kachangnyikiwa wengine wote wameacha shule na hawataki kabisa kusikia shule wala hawajielewi. Wazee wakoo waka jiongeza kuwapokea na kuwalea.

Mama alipo fuatilia aka ambiwa alivyo ondoka tu kwenda matibabuni, Week ile ile Mke mkubwa aliyekuwa ame achana na baba kwa miaka 25 alirudi na kugina ndani kwenye nyumba aliyejenga Mama yetu na Baba, na wakati huo Mzee hajitambui tena kawa kama mjinga wala hakumbuki watoto ana itwa ustawi wa jamii anaulizwa matumizi ya watoto ana sema mbona yeye hana watoto zaidi ya watatu aliyo nao nyumbani,?? watu wakadhani ni utani, kuja kumbana sana wakaagundua kweli hana kumbukumbu .. ila kesi ikaenda mahakamani ika amuliwa ahudumie watoto na aangaliwe kama akili ziko sawa. baadaye Ikaisha kienyeji Majaji wakapewa hongo na yule mke kubwa maana sasa yeye ndio alishikilia account zote za baba na mzee alifukuzwa kazi maana alikuwa haeleweki tena..

Baada ya Muda Baba kaja kufa kiajabu ajabu tu.. tuka mzika, mama mkubwa kaendelea kuishi ndani na wanawe, Ukoo ukasema kuwa kila kitu kwenye nyumba aliyokimbilia kuishi Mke mkubwa nicha watoto wa mke mdogo kwa kuwa Marehemu alisha Andika na kuwambia Wazazi wake kuwa Nyumba ya ujanani aliyo jenga kabla ya mama yangu kuishi naye na kuzaa naye ni ya watoto wake watatu aliye zaa n mke wake wandoa, ila hii mpya aliyojenga akiwa na mke mdogo yaan maa yang ni ya watoto 6 aliyo zaa na mama yangu.. Una ambiwa kile kikao cha ukoo kilivurugika kwa ugomvi mke mkubwa akawa moto na yule aliye kuwa kiongozi wa ukoo alikufa ndani ya week iliyofuata, Kukawa na viongozi wengine wanao chaguliwa Kushika nafasi ya Ukoo ila wakigusia haki za watoto wa mama yangu tu wanakufa, mpaka sasa Ninavyo ongea Baba wakubwa wa5 wote wamekufa kimaajabu. . na haki yetu hatuja ipata .. ndugu zangu karibia wote ni vichaa . nime baki mm tu ndio angalao nina jitambua..ingawa vita ya maisha yangu ni kubwa kama siyo kujificha katika maombi wangesha ni maliza..

Lakin kikubwa kinacho ni shangaza ni kuwa Baba anaonekana kule kijijin watu kazaa wana muona akiwa mchafu na manywele ila waki msogelea anapotea, mwanzoni tulidhani ni utani tukasema labda watu wanongea tu kwa kuwa yaliyotokea kweye familia yangu yameumiza watu wengi hadi majirani wa kule kijiji hivyo wanazusha tu kwa hasira walizo nazo juu ya mateso wanayo yaona kwa ndugu zangu.. Lakin sasa Hivi ni navyo ongea juzi tu mwezi wa kumi na moja mwaka huu uliyoisha. Kaka yangu mkubwa akiwa ndani kwake Katokewa na baba, kaamka zake aka kojoe ghafla akamuona mzee kakaa kwenye kochi ila haongei kitu alipo piga kelele mzee kapotea.

Jamani Uchawi Upo.. Ila naku hakikishia siku nikiingia kwenye Uchawi.. Nita angamizaa kizazi cha huyu Mwanamke mpaka kitukuu cha mwisho.. Naupima tu Uvumilivu wangu katika maombi.. Mungu aniongoze maana naijua nafsi yangu ilivyochoka na siku nikihamia kwa Shetani nitakuwa Shetani Halisi wala sita Igiza kabisa.
Mmmh mkuu nyie ni kabila gani?

Na huyo mama mkubwa ni kabila gani?[emoji848][emoji848]
 
Wachawi wengi hii bongo aisee Sasa hao wake wapumbavu Wana mloga mume Ili iweje sasa, ujue Tanzania hii uchawi umeshamiri huwa naenda saloon hyo saloon Kuna frame nyingi asubuhi huwa wanakuta madawa Hadi vinyesi vya watu nikashangaa hivi mtu ana mloga mwenzake Ili iweje sasa
Mwanaume masikini hawekewi limbwata
 
Pole sana Chief, Mungu ni mwema endelea kumuomba na kuombea familia yako.....Huyo mwanamke adhabu yake iko hapahapa na atakayemuadhibu ni mwenyezi Mungu mwenyewe...

Ni funzo pia kwetu tunapooa tuwe makini sana, sio wanawake wote au koo zote zipo hivyo....Zipo koo na jamii zina mambo ya ajabu tuwe nazo makini.. POLE SANA KAKA..
 
Watu wanashindwa elewa kitu kimoja uchawi upo sana na Mungu yupo sana tu, sasa apo ndo choice ilipo uchague Mungu au Uchawi..watu wanafail kufanikiwa na Mungu kwasababu Mungu apendi dhambi so unakuta mtu anamwamin Mungu lkn anasex ovyo ovyo, kunywa pombe, kuishi maisha ya hila..
Ok kwa Mungu ili ufanikiwe anataka kwanza moyo wako uwe kwake wote yaan umwamini Mungu kwa moyo wako wote bila doubt afu ndo anakupa mbinu za kufanikiwa
Note:Mungu apendi miujiza anapenda process yaan uachive step by step ili ukomae kifikra,uwe na hekima maan akikufanikisha haraka utapotea so apo ndo watu wanapo kwama coz watu wanataka mafanikio ya haraka..
Ili usipote kwenye biashara kama unamwamim Mungu fanya ivi
1: Kwa wakristo Tumia Damu y Yesu kilinda biashara/kazi yako yaan unanyunyizia Damu ya Yesu kwa Imani
2: Toa sadaka ya fungu la kumi kila week au mwezi..toa sadaka ya shukrani (apa unapata hekima kwenye biashara yako au kazi)
3: Saidia wenye uhitaji..

Ok twende kwa shetani..kuna mafanikio sana tu ni ww uamue unataka ufanikiwe kwa mda gani lkn kuna gharama yake kubwa sana..
Amn faida ya kufanikiwa via uchawi bali kuna hasara km izi..
1: unabanwa kutumia fikra zako kikamilifu maan ziko host na uchawi..
2: uwezi kuona future yako maan huna hekima
3: balaa kukuandama maan shetani akiona umefuraiha mafanikio yake apendi so anakupa sharti gumu zaidi..
4: unapandikiza mbegu mbaya kwenye ukoo yaan kizazi chako akiwezi fanikiwa bila uchawi
5: kubwa zaidi ya yote..UNAKOSA UFALME WA MUNGU.
 
Pole sana Chief, Mungu ni mwema endelea kumuomba na kuombea familia yako.....Huyo mwanamke adhabu yake iko hapahapa na atakayemuadhibu ni mwenyezi Mungu mwenyewe...

Ni funzo pia kwetu tunapooa tuwe makini sana, sio wanawake wote au koo zote zipo hivyo....Zipo koo na jamii zina mambo ya ajabu tuwe nazo makini.. POLE SANA KAKA..
Asante Bro.. kuna wanao pinga uchawi haupo ila ni kwa kuwa wamezaliwa familia zilizo kuwa na unyoofu flani.. ila usiombe Shetani akaingiza mtu katika ukoo wenu.. utajuta.. Nimeelezea story kwa ufupi ila nikiandika yanyotokea kwenye famili naweza andika kitabu kizima .. kuna nateso ya giza jaman.. kuna wakati unaweza hisi hakuna mungu ila unakiuliza mbona nikisali napona na mbona naonyeshwa kwenye ndoto mateno yanayo endelea na kweli yanatokea.. Hapo ndio ujue Mungu yupo
 
Mungu yupo, uzuri halazimishi na hana shobo, ukisema hayupo na yeye hata hajishughulishi kukujibu yupo. Huyo ndiye Mungu sasa.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Mungu alimuumba mwanadamu akiwa kakamilika kwa kumpatia akili Ili avitawale vyote vilivyomo.
Shetani kupitia majini ndio waliomfunza mwanadamu uchawi kwa lengo kuu moja ni kuupunguza uwezo wa kufikiri wa mwanadamu aache kutumia akili zake alizopewa na Mwenyezi Mungu bali ategemee ushirikina ktk kutatua changamoto zake.Washirikina na wachawi wameharibu mindset za waafrika wengi kwa kuwaamisha huwezi fanya jambo iwe biashara,kilimo, elimu, mahusiano, kuchimba madini nk bila ndumba huu ni uwongo mkubwa kabisa lengo lake ni kufifisha uwezo wa kufikiri, wenzetu wazungu baada ya kuijua Siri hii ya kwamba ushirikina unapunguza uwezo wa kufikiri kwa kuleta utegemezi wa fikra wakaamua kuachana na fikra za kuamini ushirikina ikiwemo hata kuwaua na kuharibu kabisa Kazi za wachawi lengo kuu lilikuwa ni kupata Jamii inayotumia akili ilizopewa na Mwenyezi Mungu Ili kutatua changamoto mbalimbali.
Unapokuja mtazamo wa maendeleo waliotumia akili zao wenyewe Wana maendeleo makubwa Sana sababu wanatumia akili zao wenyewe tofauti na sisi waafrika tunaotumia akili na mawazo ya kishirikina.
Mtu yeyeto au Jamii yeyeto inayohusudu ushirikina uwezo wake wa kufikiri upo chini sana.
Ndugu hayajakukuta wewe usingethubutu kuandika hivi.
 
Serikali haina dini ila watu wake wana dini, Serikali haina uchawi ila watu wake wanaamini uchawi kuanzia viongozi wa dini wa serikali hadi wananchi wa kawaida.
 
Mwanamke Ni mtu hatari sana, Mimi ni mfano Hai wa Matendo ya ukatili wa Mwanamke:

Hii naongea kutoka Moyoni mwangu wanao Bisha tabia za wanawake hawazijui.

Sikia hii story ya kweli katika Familia yangu,

Mama mkubwa mke wa Baba yangu walio oana na Baba yangu bonge la Harusi ujanani wali Dumu katika ndoa yao kwa miaka 5tu na wakazaa watoto wa3. Ila ugomvi ulikuwa daily tatizo mwanamke Alikuwa hafanyi majukumu yake ya nyumbani bali alipenda sana starehe na waganga kumchezea mume, Mume akapewa taarifa na majirani akafuatilia aka kuta kweli mkewe na vitu vya ajabu kwenye kabati la nguo na kitandani kwenye mto wa Baba na uvunguni kaweka dawa za mitishamba..

Mume kufuatilia vizuri aka gundua Mwanamke pia alikuwa anaiba hela ndani na kujenge kwao.. Wakaachana ndai ya miaka mi5 ya ndoa.

Mzee akachiwa watoto wa3 wadogo sana, akaishi bila mke kwa miaka4 , wazazi wake wakamshauri Aowe mke mwingine baada ya taarifa za yule mke wake kusambaa kuwa anaishi na mawanaume Mwingine Arusha na nimja mzito, wakati kamuachia watoto tena kwenye Nyumba ya kupanga uja nani akiwa na hali ya kawaida sana kimaisha kwa maana ya kipato cha kawaida.

Mzee kweli akajiongeza aka chukua mke mwingin ambaye ndio mama Yangu, tukazaliwa sisi, baada ya miaka kama 25 kupita tukiwa tusha zaliwa watoto6, Baba alisha pandishwa cheo na kusoma zaidi maisha yakawa makubwa na akawa msaidizi wa mkurugenzi wa Bank kuu ya tanzania na baadaye mkuu wa Azina, akawa kesha wekeza sana kila kona ya jiji la Dar na kwao Mkoani..

Ghafl mauza uza ya ugomvi ndani yakaibuka mzee kawa kama anachanganyikiwa haishi kumpiga mama kila mara yaani akawa kama siyo yeye tena.. Mara afukuze watoto mara hili mara lile, Baadaye Mama yangu akaugua ugonjwa wa ajabu sana akabaki mifupa tupu mm nikiwa ndio nimezaliwa nina mwaka 1 , mzee akawa hajali huduma wala hataki kuangali watoto,

Mama akaja kuchukuliwa apelekwe matibabuni, walizunguka mahospitali yote tanzania na ukumbuke hadi kenya na South africa alipelekwa lakini haponi wala ugonjwa hauonekani, Mwishoe akawa anakaribia kukata roho kabaki mifupa tu waka mrudisha Kijijini kwao asubirie kufa tu. Lakini kule kijijini wazee wa upande wa Mama wakajiongeza wakampeleka kwa mtaalamu wa Jadi aka aguliwa na ukweli ukajulikana alitupiwa jini na mke mkubwa na mambo mengine mengi tu.. bahati nzuri akatibiwa akapona akarudi kwenye hali yake baadaye Wakati anarudishwa nyumbani kwa wazazi wake maana alitokea kwa Matibabu ya jadi.. aka kuta watoto wote wame teletwa na kutelekezwa kwa wazazi wote. . wamekonda nusu ya kufa yule mkubwa kuliko wote aliye kuwa ana mika15 ndio kachangnyikiwa wengine wote wameacha shule na hawataki kabisa kusikia shule wala hawajielewi. Wazee wakoo waka jiongeza kuwapokea na kuwalea.

Mama alipo fuatilia aka ambiwa alivyo ondoka tu kwenda matibabuni, Week ile ile Mke mkubwa aliyekuwa ame achana na baba kwa miaka 25 alirudi na kugina ndani kwenye nyumba aliyejenga Mama yetu na Baba, na wakati huo Mzee hajitambui tena kawa kama mjinga wala hakumbuki watoto ana itwa ustawi wa jamii anaulizwa matumizi ya watoto ana sema mbona yeye hana watoto zaidi ya watatu aliyo nao nyumbani,?? watu wakadhani ni utani, kuja kumbana sana wakaagundua kweli hana kumbukumbu .. ila kesi ikaenda mahakamani ika amuliwa ahudumie watoto na aangaliwe kama akili ziko sawa. baadaye Ikaisha kienyeji Majaji wakapewa hongo na yule mke kubwa maana sasa yeye ndio alishikilia account zote za baba na mzee alifukuzwa kazi maana alikuwa haeleweki tena..

Baada ya Muda Baba kaja kufa kiajabu ajabu tu.. tuka mzika, mama mkubwa kaendelea kuishi ndani na wanawe, Ukoo ukasema kuwa kila kitu kwenye nyumba aliyokimbilia kuishi Mke mkubwa nicha watoto wa mke mdogo kwa kuwa Marehemu alisha Andika na kuwambia Wazazi wake kuwa Nyumba ya ujanani aliyo jenga kabla ya mama yangu kuishi naye na kuzaa naye ni ya watoto wake watatu aliye zaa n mke wake wandoa, ila hii mpya aliyojenga akiwa na mke mdogo yaan maa yang ni ya watoto 6 aliyo zaa na mama yangu.. Una ambiwa kile kikao cha ukoo kilivurugika kwa ugomvi mke mkubwa akawa moto na yule aliye kuwa kiongozi wa ukoo alikufa ndani ya week iliyofuata, Kukawa na viongozi wengine wanao chaguliwa Kushika nafasi ya Ukoo ila wakigusia haki za watoto wa mama yangu tu wanakufa, mpaka sasa Ninavyo ongea Baba wakubwa wa5 wote wamekufa kimaajabu. . na haki yetu hatuja ipata .. ndugu zangu karibia wote ni vichaa . nime baki mm tu ndio angalao nina jitambua..ingawa vita ya maisha yangu ni kubwa kama siyo kujificha katika maombi wangesha ni maliza..

Lakin kikubwa kinacho ni shangaza ni kuwa Baba anaonekana kule kijijin watu kazaa wana muona akiwa mchafu na manywele ila waki msogelea anapotea, mwanzoni tulidhani ni utani tukasema labda watu wanongea tu kwa kuwa yaliyotokea kweye familia yangu yameumiza watu wengi hadi majirani wa kule kijiji hivyo wanazusha tu kwa hasira walizo nazo juu ya mateso wanayo yaona kwa ndugu zangu.. Lakin sasa Hivi ni navyo ongea juzi tu mwezi wa kumi na moja mwaka huu uliyoisha. Kaka yangu mkubwa akiwa ndani kwake Katokewa na baba, kaamka zake aka kojoe ghafla akamuona mzee kakaa kwenye kochi ila haongei kitu alipo piga kelele mzee kapotea.

Jamani Uchawi Upo.. Ila naku hakikishia siku nikiingia kwenye Uchawi.. Nita angamizaa kizazi cha huyu Mwanamke mpaka kitukuu cha mwisho.. Naupima tu Uvumilivu wangu katika maombi.. Mungu aniongoze maana naijua nafsi yangu ilivyochoka na siku nikihamia kwa Shetani nitakuwa Shetani Halisi wala sita Igiza kabisa.
Duuuh haya maisha ni hatari sana
 
Aiseee pole sana....
 
Back
Top Bottom