Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
mfano wa nini ndugu mtaalamu????Wewe Ndio Utakuwa mfano. [emoji41]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mfano wa nini ndugu mtaalamu????Wewe Ndio Utakuwa mfano. [emoji41]
Sijui kwa kweli nambie lengo ni nini?Unajua lengo la uchawi kushushwa duniani?
Imeandikwa hakuna uchawi wala uganga juu ya Yakobo, hili andiko unalielewa vipi?Sipo hapa kumshawishi mtu aingie kwenye ushirikina, sipo hapa kudharau Imani ya dini ya mtu yoyote... Ila Nipo hapa kusema ukweli...
Watu wanatupa moyo kuhusu mafanikio, wengi wao husema kufanya kazi kwa bidii ndio njia ya mafanikio! Wao huita hiyo ndio Siri!
Lakini Ndugu zangu nipo hapa kuwapa Siri ingine ya mafanikio! Sio kuua mzazi wa kutoa kafara Ila Ni kukulinda...Katina mafanikio au katika biashara yoyote.
Mtu asikuambie mtaji wa laki Tano ndio ulionifanya niwe na nyumba na magari! Tena wanasema nilifanya kazi Sana kwa bidii, na siri ya mafanikio yangu Ni kufanya kazi kwa bidiii! Huo Ni uongo mtupu...
Siri za mafanikio zipo kwenye Siri ya ushirikina moja, Ni wewe kujikinga kupitia ushirikina! Au kukinga biashara yako kwa ushirikina, usipozingatia Ayo maisha yako yatakuwa chini miaka nenda miaka rudi huku ukiona wengine wanashaini
Mchawi kazi yake sio kuroga tu kazi yake ingine Ni kurudisha nyuma maisha yako....
Karibuni 2022.
Kuwaua wachawi sindio haki za binadamu zitaingilia kati, kwamba mnaua watu bila sababuwalishavuka hiyo primitive stage, japo kuna karne zamani huko waliua sana wachawi..
sisi bado tuko primitive stage, tunapaswa kuanza kuwau wachawi, wajue jamii haiwapendi ili nao wapotee kabisa na jamii ipone..
Ukweli ndoo huo japo kina mtu atapinga watu wa karibu ndo wanao tuumiza sanaSio lipo tu! Uchawi upo, kurudishana nyuma kupo hasa kwa Nguvu za Giza! Kuwa makini na ndugu jamaa na marafiki Mana mchawi hawezi kukudhuru Kama ajui Siri na background yako...
Sawa Yakobo, ipo siku yakikukuta utajua hujui!Imeandikwa hakuna uchawi wala uganga juu ya Yakobo, hili andiko unalielewa vipi?
Hapa ni kumtanguliza Mungu tu kwa bidii,hiyo ya kutembea kwa waganga unaweza kukuta unazidi kujifunga...Sio Elimu tu, mpaka uhusiano na ndugu jamaa na marafiki zako!
Mchawi mtu mbaya Sana!
Unaweza kuwa umesoma sana, au unasoma Sana but you haverst Nothing jua tayari Kuna mkono wa mtu...
Wanajua kabisa ukifanikiwa wewe Basi ukoo wako umefanikiwa...
Yani mtangulize Mungu pia usishau kutembea Mana hata waganga wa jadi hutumia miti ambayo imeubwa na Mungu .
Output wanayopata kwa kukuumiza wewe ni nini hasa? nilitarajia wakuone wewe ni asset kwao na hivyo wawe na shauku ya kuona umefanikiwa ili nao wafaidike.Ukweli ndoo huo japo kina mtu atapinga watu wa karibu ndo wanao tuumiza sana
Hilo andiko linaonyesha uchawi is not an ultimate power, ni takataka ambazo zina limitations......ndo maana kuna watu ambao wanamtegemea Mungu pekee na bado wana survive pamoja na attack ya hizo evil spirits, do you know why?Sawa Yakobo, ipo siku yakikukuta utajua hujui!
Kimsingi unajiingiza kwenye maagano ya nguvu za giza, yaani unaweka tumaini lako kwenye ulinzi wa ibilisi....Hapa ni kumtanguliza Mungu tu kwa bidii,hiyo ya kutembea kwa waganga unaweza kukuta unazidi kujifunga...
I know mkuu ila ukumbuke kutegemea Mungu ili ufanikiwe unatakiwa uwe clean 100% ufate amri zote kikamilifu! Kwenye maisha ya mapambano vipengele ni vingi ntataka nitmbe, ntakunywa pombe, ntatukana hayo ya kufata amri zote ntayawezea wapi!Hilo andiko linaonyesha uchawi is not an ultimate power, ni takataka ambazo zina limitations......ndo maana kuna watu ambao wanamtegemea Mungu pekee na bado wana survive pamoja na attack ya hizo evil spirits, do you know why?
Aliyekwambia kuna binadamu mkamilifu ni nani? binadamu toka anazaliwa siyo mkamilifu lakini ukijibidiisha kuishi makusudi ya Mungu unapata ulinzi kutoka kwake......mfalme Daudi alikuwa na mapungufu yake hadi anakiri hatia mbele za Mungu lakini Mungu alikuwa anamlinda na kumwezesha kushinda vita dhidi ya maadui zake, do you know why? ni kwa sababu aliweka tumaini lake kwa bwana. Ndo maana kwenye baadhi ya maneno kwenye zaburi zake anasema "Bwana alikuwa tegemeo langu, akanitoa akaniweka panapo nafasi, aliniponya kwa kuwa alipendezwa nami"I know mkuu ila ukumbuke kutegemea Mungu ili ufanikiwe unatakiwa uwe clean 100% ufate amri zote kikamilifu! Kwenye maisha ya mapambano vipengele ni vingi ntataka nitmbe, ntakunywa pombe, ntatukana hayo ya kufata amri zote ntayawezea wapi! Roho mtakarifu unatakiwa uwe naye ili kujikinga na mabalaa na huyu hakai kwako kama hufuati misingi ya kuishi kwa amri za mungu so utaatakiwa tu.
Mwisho wa siku kila mtu anapambana na njia ambayo anaona itamletea matokeo. Kama mitishamba ni dawa pia basi wapo wanaotumia inawafaa waachwe.
Ndio maana nikasema if it works for you komaa nayo! Nachoamini watu wengi wanaomba Mungu na kuna wanaoona matokeo wengine hawaoni ila kimsingi wapo wanaotumia na njia za asili wanafanikwa vizuri tu.Aliyekwambia kuna binadamu mkamilifu ni nani? binadamu toka anazaliwa siyo mkamilifu lakini ukijibidiisha kuishi makusudi ya Mungu unapata ulinzi kutoka kwake......mfalme Daudi alikuwa na mapungufu yake hadi anakiri hatia mbele za Mungu lakini Mungu alikuwa anamlinda na kumwezesha kushinda vita dhidi ya maadui zake, do you know why? ni kwa sababu aliweka tumaini lake kwa bwana. Ndo maana kwenye baadhi ya maneno kwenye zaburi zake anasema "Bwana alikuwa tegemeo langu, akanitoa akaniweka panapo nafasi, aliniponya kwa kuwa alipendezwa nami"
Ndio maana nikasema if it works for you komaa nayo! Nachoamini watu wengi wanaomba Mungu na kuna wanaoona matokeo wengine hawaoni ila kimsingi wapo wanaotumia na njia za asili wanafanikwa vizuri tu.
Mkuu hujanielewa!Si kweli kusema kwamba ukimtegemea Mungu huwezi kufanikiwa, hakuna binadamu yoyote katika historia aliyeishi kikamilifu na Mungu akakosa kufanikiwa. Kama vitu vyote ni vya kwake atashindwa vipi kukufanikisha. Ikiwa nguvu za giza ndo zimekupa mafanikio, basi wewe ni mfuasi wa hizo nguvu za giza na huna sehemu katika Mungu Mwenyezi, kimsingi unakuwa umepotea gizani ingawaje wewe utaona umefanikiwa........kuna habari za kufanikiwa kwa kuku kudonoa punje za mahindi kwa mganga kule Iringa nafikiri, ambapo unaweza kuwa tajiri wa kutisha ukaishi miaka idadi ya punje alizodonoa kuku, nafikiri ndo mafanikio ya aina hii unayoongelea hapa......
Umemaliza kila kitu[emoji91]Mkuu hujanielewa!
Mie sijazungumzia mafanikio ya kuloga au kutumia majini. Kuna mabalaa na mikosi ambayo tunategewa na ndugu jamaa au marafiki tunaoishi nao.
Kuna madawa ya asili ambayo kazi yake ni kuondosha hizo negative energies yapo madukani. Sio lazima uende kwa Mganga. So unaweza ukawa unaomba Mungu kwa imani yako kisha unatumia dawa za kusafisha nuksi na mikosi na mambo yakaenda vyema tu.
Ukifungwa kichawi hata ukeshe madhabauni utateseka. Wapo watu ni wagonjwa wamemaliza makanisa kwa mahospitali ila wamepona kwa tiba za asili.
Unamaanisha nguvu za Mungu ni limited hadi uzi boost na dawa za kienyeji za kuondoa mikosi na nuksi........kwamba nguvu za Mungu zinakuwa limited na vifungo vya kichawi!? mkuu unahitaji kujielimisha zaidi kwenye kujua nguvu na mamlaka ya Mungu Mwenyezi.........Mkuu hujanielewa!
Mie sijazungumzia mafanikio ya kuloga au kutumia majini. Kuna mabalaa na mikosi ambayo tunategewa na ndugu jamaa au marafiki tunaoishi nao.
Kuna madawa ya asili ambayo kazi yake ni kuondosha hizo negative energies yapo madukani. Sio lazima uende kwa Mganga. So unaweza ukawa unaomba Mungu kwa imani yako kisha unatumia dawa za kusafisha nuksi na mikosi na mambo yakaenda vyema tu.
Ukifungwa kichawi hata ukeshe madhabauni utateseka. Wapo watu ni wagonjwa wamemaliza makanisa kwa mahospitali ila wamepona kwa tiba za asili.