Mchawi kazi yake ni kuroga urudi nyuma, jilinde

Mchawi kazi yake ni kuroga urudi nyuma, jilinde

Mungu alimuumba mwanadamu akiwa kakamilika kwa kumpatia akili Ili avitawale vyote vilivyomo.
Shetani kupitia majini ndio waliomfunza mwanadamu uchawi kwa lengo kuu moja ni kuupunguza uwezo wa kufikiri wa mwanadamu aache kutumia akili zake alizopewa na Mwenyezi Mungu bali ategemee ushirikina ktk kutatua changamoto zake.Washirikina na wachawi wameharibu mindset za waafrika wengi kwa kuwaamisha huwezi fanya jambo iwe biashara,kilimo, elimu, mahusiano, kuchimba madini nk bila ndumba huu ni uwongo mkubwa kabisa lengo lake ni kufifisha uwezo wa kufikiri, wenzetu wazungu baada ya kuijua Siri hii ya kwamba ushirikina unapunguza uwezo wa kufikiri kwa kuleta utegemezi wa fikra wakaamua kuachana na fikra za kuamini ushirikina ikiwemo hata kuwaua na kuharibu kabisa Kazi za wachawi lengo kuu lilikuwa ni kupata Jamii inayotumia akili ilizopewa na Mwenyezi Mungu Ili kutatua changamoto mbalimbali.
Unapokuja mtazamo wa maendeleo waliotumia akili zao wenyewe Wana maendeleo makubwa Sana sababu wanatumia akili zao wenyewe tofauti na sisi waafrika tunaotumia akili na mawazo ya kishirikina.
Mtu yeyeto au Jamii yeyeto inayohusudu ushirikina uwezo wake wa kufikiri upo chini sana.
Endelea kuamini hivyohivyo lakini tu nikuambie uchawi upo...
 
watu wanaojifanya wakali pale unapogusia ukweli kuhusu kuwa uchawi hupo na kujifanya kama hawafahamu wakati wapo nyuma ya pazia!.

*sokoni
*mitaani
*kazini
*kwenye biashara zetu.
*biashara zinazo fanana
*ndugu,jirani,jamaa na marafiki.

uchawi hupo ndugu.kama una muamini mungu alafu utaki kumjua shetani !.si ujinga hapo

Dunia hii ni mbaya sana tena kwa nchi zetu hizi tulizopo.

ukiona watu wanamafanikio hata siku moja uwezi sikia anakwambia jikinge wala nenda kwa mtu fulani bali yeye atakwambia fanya kazi kwa bidii !?
 
walishavuka hiyo primitive stage, japo kuna karne zamani huko waliua sana wachawi..

sisi bado tuko primitive stage, tunapaswa kuanza kuwau wachawi, wajue jamii haiwapendi ili nao wapotee kabisa na jamii ipone..
True wachawi waganga na washirikina wote inatakiwa waondolewe kwenye Jamii kwani kundi hili ndilo liletalo mafarakano na migogoro yote kwenye Jamii.
Mganga ndie uwapa dawa vibaka,wezi majambazi Ili waisumbue jamii, mganga ndie ufarakanisha ndugu,Jamii, familia zisielewani, mchawi uharibu jamii kwa kuijengea hofu isifanye maendeleo,fikra za wengi zimeharibika,wameacha kuamini wanaweza fanya chochote bila kutegemea nguvu za giza.
 
Back
Top Bottom