Barnabas Mashamba
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 797
- 2,233
Nakazia maarifa.Sio lipo tu! Uchawi upo, kurudishana nyuma kupo hasa kwa Nguvu za Giza! Kuwa makini na ndugu jamaa na marafiki Mana mchawi hawezi kukudhuru Kama ajui Siri na background yako...
Alafu Tiba ya laki moja kigoma vijijini Ni Tiba ya 1m dar es salaam!Sikupi connection Ila nakupa Siri ....
Dar es salaam Hakuna mganga kuna Wafanyabiashara..
Dar es salaam Hakuna miti...
Utajiri nenda iringa
mapeNzi nenda mbeya/Tabora
Kinga ya mwili kigoma/ sumbawanga...
Iyo ndio connection yangu kwako.
Fact kiongozi [emoji120]Uchawi ni imani na nguvu inayo fanya kazi kwa siri kubwa miongon mwa jamii nyingi za kiafrika na kwengineko Ulimwenguni ,matumizi yake halisi yapo kwa muhusika mwenyewe yaliyo mengi ni simulizi za kusadikika ,Unayo nafasi ya kuuishi Uchawi ikiwa utaona yafaa zaidi kwa mambo yako(Mafanikio) ,Yote katika yote maamuzi ni ya kila mtu
(MWENYEZI MUNGU YUPO) (UCHAWI UPO)
MT 10Nakazia maarifa.
Hata Bwana Yesu alipata kusema maneno yafuatayo, (nanukuu)
"Adui wa mtu ni wale wa nyumbani mwake".
Kule waliwaua wote na kuharibu Kazi zaoHao wachawi wapo huku tu, ulaya hawapo? Mambo ya kudingizia uchawi ulaya waliacha zamani sana.
Mzungu siku hizi harogi kukurudisha nyuma anatumia tu policies na sheria alizoweka. Na wewe kumshinda tumia hizo hizo sheriaNimeishi ulaya na bado nakwenda ulaya, uchawi upo ulaya tena mkubwa sana ila matumizi ndio tofauti.
Hawatumii uchawi kumtia mtu nuksi.
Mfano leo ni mwaka mpya sehemu nyingi ulaya usiku watawasha moto mkubwa sana wa kuni ikiwa ni matambiko ya imani zao lakini ni za kishirikina pia.
Hirizi ni gps ya kuzimuHayo mambo yapo ukitaka mambo yako yaende, kuna mawili kama wewe ni mtu wa dini toa zaka, kama sio mtu wa dini nenda kwa waganga ukawekewe hirizi. Kupanga ni kuchagua.