Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
Basi nadhalia iende pote!Nadharia
Akija tena niambieBasi nadhalia iende pote!
Five things Tanzania's President 'Bulldozer' Magufuli has banned
The policies that have shaped the image of Tanzania's no-nonsense president.www.bbc.com
A Dictator on the Rise? How President Magufuli is Now Showing His True Colours | The African Exponent.
“We as Tanzanians are not accustomed to this ... Since independence, we have not seen the army on the streets like this,” said lawyer Fatma Karume.www.africanexponent.com
Tanzania yawa nchi ya pili Afrika ya mashariki kutawaliwa na dictator!
Tanzania politics dangerous because of 'dictator' Magufuli – shot opposition chief | Africanews
The trained lawyer and avowed critic of Magufuli was shot and wounded by unknown gunmen in the country's administrative capital, Dadoma.www.africanews.com
Chadema msingi imeishia wapi?Unadhani ukileta hii propaganda mfu ndio itawasaidia kwenye hii aibu ya kubaka demokrasia? Yale majigambo kwamba ccm inakubalika, kwenye uchaguzi huu imedhihirika kuwa mlikuwa mnajidanganya wenyewe. Sana sana mjiandae kuwaambia waisilamu ni kwanini utawala huu wa awamu ya tano unawatenga waisilamu kwenye madaraka. Waislamu huko mtaani wanashangaa inakuwaje muislamu muadilifu kama Assad, anafukuzwa kazi huku uadilifu wake ukiwa juu kama sio dini yake? Kibaya zaidi anatolewa muisilamu muadilifu, kisha anapewa kazi mkristo aliyeondolewa kazini kwa uzembe, au awamu hii ya tano inataka kuleta mfumo kristo?
Ukimaliza mafunzo ya mgambo niambie nikutafutie sehemu ya kufanya kibaruaNa wewe mwisho wako ushafika, wamekupa hiyo nafasi kwa muda tu.
Wewe piga kelele uonekana uko hai, mada yako na uchaguzi unaendelea ni mbingu na ardhi.
Chadema msingi imeishia wapi?
Imeondoka na WangweIpo sana, ulitaka ifanyeje ujue uwepo wake?
Imeondoka na Wangwe
Kijana wangu usijaliWw lazima utakuwa ni mzee ndio maana unakuja na propaganda old fashion.
Chadema kutokua na mfumo wa ugatuzi ndiyo justification ya watendaji wenu kukata majina ya wapinzani tz nzima na kubandika matokeo fake usiku saa tisa kama wachawi??Ndugu zangu,
Nimefanya utafiti nikagundua CHADEMA wako vema kwenye eneo la propaganda mitandaoni na kulimbikiza madaraka makao makuu ya ufipa.
Mchawi Mkuu wa Chadema ni Kukosekama kwa taasisi, oganaizesheni na ugatuzi wa madaraka mikoani na wilayani. Basil Lema ambaye ni katibu wa Chadema Kilimanjaro alisikika akisema "tumeshindwa kuweka mawakala vituoni kusimamia zoezi la uandikishaji wapiga kura kwa ukosefu wa pesa" ni dhahiri kuwa hawapati msaada wa rasilimali pesa kutoka makao makuu.Kama leo Chadema mkoa wa Kilimanjaro unakosa hamasa ambapo ndio ngome unategemea nini kwa mikoa ya Mtwara,Lindi,Tabora,Mwanza nk? Hapa ndipo atakumbukwa Chacha Wangwe (RIP) kwani alikuwa na ndoto ya kuipeleka Chadema kila kona ya nchi.
Zaidi ya hili,baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ofisi nyingi za mikoa,wilaya,vijiji zilitelekezwa hivyo kwa miaka zaidi ya mitatu hivyo kwa sasa hakuna oganaizesheni ambayo kimsingi ingesimamia nidhamu,usahihi ujazaji wa fomu na uratibu wa mambo mbalimbali.Hapa ndipo Dr.Slaa alifanikiwa kwani aliweza kupata taarifa ya kila eneo kwa urahisi.
Ukweli hupanda ngapi.
Nawasilisha.
Uwanaharakati. Piiiiipooooziiiiiiiiii ndio zaoNdugu zangu,

Achana na Chadema wewe endeleeni tu kubaka demokrasia lakini mjue mwisho wenu hauko mbali na mtaondoka kwa aibu.Ndugu zangu,
Nimefanya utafiti nikagundua CHADEMA wako vema kwenye eneo la propaganda mitandaoni na kulimbikiza madaraka makao makuu ya ufipa.
Mchawi Mkuu wa Chadema ni Kukosekama kwa taasisi, oganaizesheni na ugatuzi wa madaraka mikoani na wilayani. Basil Lema ambaye ni katibu wa Chadema Kilimanjaro alisikika akisema "tumeshindwa kuweka mawakala vituoni kusimamia zoezi la uandikishaji wapiga kura kwa ukosefu wa pesa" ni dhahiri kuwa hawapati msaada wa rasilimali pesa kutoka makao makuu.Kama leo Chadema mkoa wa Kilimanjaro unakosa hamasa ambapo ndio ngome unategemea nini kwa mikoa ya Mtwara,Lindi,Tabora,Mwanza nk? Hapa ndipo atakumbukwa Chacha Wangwe (RIP) kwani alikuwa na ndoto ya kuipeleka Chadema kila kona ya nchi.
Zaidi ya hili,baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ofisi nyingi za mikoa,wilaya,vijiji zilitelekezwa hivyo kwa miaka zaidi ya mitatu hivyo kwa sasa hakuna oganaizesheni ambayo kimsingi ingesimamia nidhamu,usahihi ujazaji wa fomu na uratibu wa mambo mbalimbali.Hapa ndipo Dr.Slaa alifanikiwa kwani aliweza kupata taarifa ya kila eneo kwa urahisi.
Ukweli hupanda ngapi.
Nawasilisha.
Na wewe tuondolee utaahira wako hapa.Tuondolee vijarida vinavyochapwa na vijana wa Chadema Online Red Brigade (ORB)!
Ipo sana na mabosi wako wanajua kinachoendelea ndiyo maana wameamua kuvuruga uchaguzi.Chadema msingi imeishia wapi?
Huijui Chadema wewe, wewe unafikiri mpaka CCM imeamua kutumia bunduki na mabomu ni mchezo? CCM sasa imekuwa genge la kigaidi linalotumia mabavu ya dola kutawala.Imeondoka na Wangwe