Mchawi wa CHADEMA ni Kukosekama mfumo wa kitaasisi na ugatuzi wa madaraka

ukweli hupuuzwa mwanzoni na una tabia ya ''kupanda ngazi taratibu''..wananchi wamechoka drama za vyama vya upinzani.
Yaani tumechoka na drama zenu za nyonga. Lakini bora hivyo tusichangamane hata kama ni nyumba moja.
 
Chadema in genge LA wahuni tu. In wezi na wachumia tumbo wasiojua lolote kuhusu maendeleo ya nchi.
 
Ndugu zangu,

Nimefanya utafiti nikagundua CHADEMA wako vema kwenye eneo la propaganda mitandaoni na kulimbikiza madaraka makao makuu ya ufipa.

Mchawi Mkuu wa Chadema ni Kukosekana kwa taasisi, oganaizesheni na ugatuzi wa madaraka Mikoani na Wilayani. Basil Lema ambaye ni katibu wa CHADEMA Kilimanjaro alisikika akisema "tumeshindwa kuweka mawakala vituoni kusimamia zoezi la uandikishaji wapiga kura kwa ukosefu wa pesa" ni dhahiri kuwa hawapati msaada wa rasilimali pesa kutoka makao makuu.Kama leo CHADEMA mkoa wa Kilimanjaro unakosa hamasa ambapo ndio ngome unategemea nini kwa mikoa ya Mtwara,Lindi,Tabora,Mwanza nk? Hapa ndipo atakumbukwa Chacha Wangwe (RIP) kwani alikuwa na ndoto ya kuipeleka CHADEMA kila kona ya nchi.

Zaidi ya hili,baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ofisi nyingi za mikoa,wilaya,vijiji zilitelekezwa hivyo kwa miaka zaidi ya mitatu hivyo kwa sasa hakuna oganaizesheni ambayo kimsingi ingesimamia nidhamu,usahihi ujazaji wa fomu na uratibu wa mambo mbalimbali.Hapa ndipo Dr.Slaa alifanikiwa kwani aliweza kupata taarifa ya kila eneo kwa urahisi.

Ukweli hupanda ngapi.

Nawasilisha.
Kwahiyo wangefanya unavyofikiri wewe Magufuli angeruhusu siasa kama katiba inavyosema?

Magufuli asingewaelekeza watendaji kufuta wagombea wa upinzani?

Maagufuli asingezima bunge, asingetengenezea wapinzani kesi za jinai?

Magufuli na seriakli yake wange heshimu bunge kwa kupitishia manunuzi bungeni?

ukijibu hayo nami nahamia CCM
 
Unadhani ukileta hii propaganda mfu ndio itawasaidia kwenye hii aibu ya kubaka demokrasia? Yale majigambo kwamba CCM inakubalika, kwenye uchaguzi huu imedhihirika kuwa mlikuwa mnajidanganya wenyewe. Sana sana mjiandae kuwaambia waisilamu ni kwanini utawala huu wa awamu ya tano unawatenga waisilamu kwenye madaraka.

Waislamu huko mtaani wanashangaa inakuwaje muislamu muadilifu kama Assad, anafukuzwa kazi huku uadilifu wake ukiwa juu kama sio dini yake? Kibaya zaidi anatolewa muisilamu muadilifu, kisha anapewa kazi mkristo aliyeondolewa kazini kwa uzembe, au awamu hii ya tano inataka kuleta mfumo kristo?
Tindo mpaka unatia huruma. Yaani baada ya propaganda zote kushindwa mmeamua kutumia ya udini? Ngoja nione kama itawasaidia.
 
Reflection.....
Mtanzania wa sasa utamtambua uwezo wake Wa kujenga hoja kwa maeneo matatu ambayo ni
1. Siasa ya mrengo Wa CCM au CHADEMA ( vyama vingine havina impact kubwa) hapa wachache sana wako independent hawabebwi na hizo hisia za kiitikadi hawa mimi nawaita watanzania kweli kweli nikiwatofautisha na hao wanaohemkwa na vyama, wengi huungana mkono na kutoa hoja kwa muktadha Wa hoja inakilenga namna gani chama chake hata kama ni upumbavu lazima asifu na kuabudu tena atasujudia.kamwe huwezi ona tofauti ya chama tawala na chama pinzani inapokuja suala la mahaba ya chama, ukweli hukaa mbali na wafia vyama husika daima ni kutetea na kupinga, utambuzi juu ya siasa halisi na uzalendo Wa nchi haupo kabisa kwa wafia vyama Wa nchi hii, wako tayari kupindisha ukweli watetea vyama na agenda zao bila kujali utaifa wao.
2. Dini, siasa za dini huwakutanisha wenye imani za kidini walio upande mmoja hapa wataungana hata kama kisiasa wako vyama tofauti ila wakikutana kwenye dini watakuwa na mtizamo mmoja Wa kusifu na kuabudu wakitetea dini zao na si imani za kweli za nafsi zao huku wakiiacha kweli yoyote. Utambuzi juu ya safari ya imani unatafsiriwa nje badala ya ndani nako nje
kwa muktadha Wa dhehebu husika....
Hapa ccm, cuf, chadema, NRA and the like lazima waungane ikiwa watafanana dini tofauti ya kichama husahaulika kabisa lao moja huwa ni utetezi Wa dini yao .

3. Mashabiki Wa Mpira, hapa tegemea umoja Wa nguvu Wa kushabikia simba na yanga ( nasisitiza simba na yanga ) na sio uhalisia Wa mpira Wa miguu, hapa watasifu na kuabudu upande wao na watasahau tofauti zao za kidini na vyama kabisaaaa. Watanzania hawashabikii mpira bali timu mbili ndizo hutafsiri uelewa wao Wa mpira, hapa utawakuta Wa dini tofauti, vyama tofauti wakiongea lugha moja kwakuwa wamekutana kwenye simba au yanga ndio mpira /soka la Tanzania hilo.

Ni nadra kumuona mtoa povu asie na upande na hata akiwa hana upande, wale walio na upande watampa tafsiri na majina ya upande kulingana na alichotolea hoja siku hiyo au wakati huo.
Hivyo sijakushangaa ulipoleta suala la dini za wahusika kwa mtizamo wako coz ni ukweli usiopingika kuwa low thinking capacity ya wengi mnahusisha mambo ya msingi kwa kutafsiri watu na matendo yao kwa muktadha Wa hayo mambo matatu japo sikatai yana influence nje katika personality ya MTU yoyote asie na utambuzi kiwango kikubwa.

Wako wapi watanzania halisi?
Wapo kimya wakiyatafsiri mambo na kuyachukulia hatua bila kelele wakiamini wanaenda ikomboa nchi yao kutoka kwa wapiga porojo wa kisiasa na sio utaifa, wafia dini na sio wafia safari ya kiroho, washabiki wa simba na yanga na sio waahabiki wa soka.
Yapo maeneo mengi yanayowagawa na kuwaunganisha watanzania lakini yaliyowazi sana ni hayo matatu tajwa.
Maana kuna battle za kimikoa na kikanda nazo zinaleta impact kwenye maamuzi sana.
Sijakosea nilichoandika boss.
 
Nashukuru kwa maoni yako mareefu yenye wingi wa busara na kujisifia juu. Napenda nikuambie nilichokiandika na ambacho kimekuchochea ukaja na hili andiko refu sijakiandika kwa bahati mbaya, bali nimeandika nikiwa najua ninachosema na lengo la kukisema hivyo ninalijua.

Umejaribu kuonyesha mko ambao hamna upande na kwa mujibu wa maelezo yako nyie ndio watanzania wa kweli kweli! Napenda ujue sifa ya utanzania wa kweli kweli hailetwi na kutokua na mahaba ya hayo makundi uliyosema. Na pia ujue hilo kundi lenu halina faida yoyote ndani ya nchi hii maana limkaa likisubiri hisani ya hayo makundi mawili kwenye maamuzi ya nchi hii. Kwa maneno marahisi ni kama makondoo mnaoburuzwa tu, hamna impact yoyote. Hivyo ww hayo maoni yako ni mazuri kwako na hilo kundi lako, linalohifanya liko sahihi bila kufahamika uwepo wake.
 
Kuwa na mahaba au kutokuwa nayo hakimfanyi mwenye kujitambua kupoteza ufahamu wake kwa minajili ya itikadi ya mahaba yake bali kuisimamia kweli halisi ambayo haifungwi na mahaba yake.
Mmeharibiwa na mahaba ya itikadi zenu kiasi cha kupoteza fahamu na uhalisia wa utu wenu. Mko tayari kujifanya hamnazo kushabikia itikadi zenu, kiufupi hamna free mind.
Nashukuru kwa maoni yako mareefu yenye wingi wa busara na kujisifia juu. Napenda nikuambie nilichokiandika na ambacho kimekuchochea ukaja na hili andiko refu sijakiandika kwa bahati mbaya, bali nimeandika nikiwa najua ninachosema na lengo la kukisema hivyo ninalijua.

Umejaribu kuonyesha mko ambao hamna upande na kwa mujibu wa maelezo yako nyie watanzania wa kweli kweli. Napenda ujue sifa ya utanzania wa kweli kweli hailetwi na kutokua na mahaba ya hayo makundi uliyosema. Na pia ujue hilo kundi lenu halina faida yoyote ndani ya nchi hii maana limkaa likisubiri hisani ya hayo majibu mawili kwenye maamuzi ya nchi hii. Kwa maneno maraisi ni kama makondoo mnaobutuzwa tu, hamna impact yoyote.
 
Amekuwa na upeo mdogo kiasi cha ajabu sana. Kuacha hoja za msingi kukomalia dini kwa mwenye akili timamu ni kuishiwa to the maximum, hoja hii anayoikomalia ingeletwa na makada wa chama cha Lumumba Nina imani angeporojeka sanaaaa.
Wacha tuutizame mchezo.

Back
Top Bottom