Mchawi wa CHADEMA ni Kukosekama mfumo wa kitaasisi na ugatuzi wa madaraka

Wagombea wa chadema wamepatikanaje?
 
Wagombea wa chadema wamepatikanaje?
Haiwahusu tulifanya chaguzi za kupata wagombea kwa njia za uwazi na malalamiko yote yalishughulikiwa na tukawapata wagombea kwa amani kabisa lakini kwa vile mna kiburi cha bunduki na mabomu mkaamua kuharibu uchaguzi. Mtabeba lawama zote.
 
Nani anauelewa mkakati wa CHADEMA kupitia mwenyekiti wakudumu FREEMAN MBOWE.
Katika kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa hapa nchini tangu juzi pamekuwa na lawama zinazotoka CHADEMA tu huku vyama vya upinzani vingine kama CUF, ATC na Chama Tawala CCM kupitia wagombea walioteuliwa kwenye chaguzi hizo wakiwa safi na vikiwa vinaendelea salama. Mpango huu ni pangwa kabisa na unaratibiwa na watu (wanunua nchi) Kupitia MWENYEKITI HUYO toka nje baada na kutoa pesa ili kuweza kurubuni uchaguzi wa serikali za mitaa.

Ukiangalia video clips zao zote zinazotolewa na CHADEMA ni kama tukio moja lililopangwa kwani wagombea wote wanatoa maelezo wakiwa wamekarirshwa mikakati hiyo ya kutorudisha fomu na kukosea kujaza form ili lawama zao zote zipelekwe kwa wizara husika inayosimamia nakuratibu masuala ya uchaguzi huu!! FACT NI MOJA tu FREEMAN MBOWE kashindwa kutekeleza mpango huo na kuna possibilty kabisa watu wakataka kurudishiwa pesa zao.

Sasa MBOWE anataka kuongea na waandishi wa habari kama njia ya kujisafisha kwa watu waliompa pesa, Njama hizi HAZITAFANIKIWA KAMWE.
 
Hapa bado naona tatizo ni elimu yako. Kama mikakati yao ni kuwanyima elimu muwe na ufahamu kdg, basi wamefanikiwa
 
Unadhani ukileta hii propaganda mfu ndio itawasaidia kwenye hii aibu ya kubaka demokrasia? Yale majigambo kwamba ccm inakubalika, kwenye uchaguzi huu imedhihirika kuwa mlikuwa mnajidanganya wenyewe. Sana sana mjiandae kuwaambia waisilamu ni kwanini utawala huu wa awamu ya tano unawatenga waisilamu kwenye madaraka. Waislamu huko mtaani wanashangaa inakuwaje muislamu muadilifu kama Assad, anafukuzwa kazi huku uadilifu wake ukiwa juu kama sio dini yake? Kibaya zaidi anatolewa muisilamu muadilifu, kisha anapewa kazi mkristo aliyeondolewa kazini kwa uzembe, au awamu hii ya tano inataka kuleta mfumo kristo?
Acha kupandikiza udini
 
Wamekuhack?
Mbona capacity yako ina fluctuate?
Unadhani ukileta hii propaganda mfu ndio itawasaidia kwenye hii aibu ya kubaka demokrasia? Yale majigambo kwamba ccm inakubalika, kwenye uchaguzi huu imedhihirika kuwa mlikuwa mnajidanganya wenyewe. Sana sana mjiandae kuwaambia waisilamu ni kwanini utawala huu wa awamu ya tano unawatenga waisilamu kwenye madaraka. Waislamu huko mtaani wanashangaa inakuwaje muislamu muadilifu kama Assad, anafukuzwa kazi huku uadilifu wake ukiwa juu kama sio dini yake? Kibaya zaidi anatolewa muisilamu muadilifu, kisha anapewa kazi mkristo aliyeondolewa kazini kwa uzembe, au awamu hii ya tano inataka kuleta mfumo kristo?
 
Mkubwa ili wote tuyajue haya kwa ukweli ukitupia japo fomu moja ya mgombea itapendeza zaidi kama sio kosa
Ndugu zangu,

Nimefanya utafiti nikagundua CHADEMA wako vema kwenye eneo la propaganda mitandaoni na kulimbikiza madaraka makao makuu ya ufipa.

Mchawi Mkuu wa Chadema ni Kukosekama kwa taasisi, oganaizesheni na ugatuzi wa madaraka mikoani na wilayani. Basil Lema ambaye ni katibu wa Chadema Kilimanjaro alisikika akisema "tumeshindwa kuweka mawakala vituoni kusimamia zoezi la uandikishaji wapiga kura kwa ukosefu wa pesa" ni dhahiri kuwa hawapati msaada wa rasilimali pesa kutoka makao makuu.Kama leo Chadema mkoa wa Kilimanjaro unakosa hamasa ambapo ndio ngome unategemea nini kwa mikoa ya Mtwara,Lindi,Tabora,Mwanza nk? Hapa ndipo atakumbukwa Chacha Wangwe (RIP) kwani alikuwa na ndoto ya kuipeleka Chadema kila kona ya nchi.

Zaidi ya hili,baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ofisi nyingi za mikoa,wilaya,vijiji zilitelekezwa hivyo kwa miaka zaidi ya mitatu hivyo kwa sasa hakuna oganaizesheni ambayo kimsingi ingesimamia nidhamu,usahihi ujazaji wa fomu na uratibu wa mambo mbalimbali.Hapa ndipo Dr.Slaa alifanikiwa kwani aliweza kupata taarifa ya kila eneo kwa urahisi.

Ukweli hupanda ngapi.

Nawasilisha.
 
Kama huna uhakika na unachoongea kaa kimya tu, ww unajua gharama iliyotumika? Kuanzia kwenye mihuri mpaka logistics zingine? Better ukae kimya
 
Ndugu zangu,

Nimefanya utafiti nikagundua CHADEMA wako vema kwenye eneo la propaganda mitandaoni na kulimbikiza madaraka makao makuu ya ufipa.

Mchawi Mkuu wa Chadema ni Kukosekama kwa taasisi, oganaizesheni na ugatuzi wa madaraka mikoani na wilayani. Basil Lema ambaye ni katibu wa Chadema Kilimanjaro alisikika akisema "tumeshindwa kuweka mawakala vituoni kusimamia zoezi la uandikishaji wapiga kura kwa ukosefu wa pesa" ni dhahiri kuwa hawapati msaada wa rasilimali pesa kutoka makao makuu.Kama leo Chadema mkoa wa Kilimanjaro unakosa hamasa ambapo ndio ngome unategemea nini kwa mikoa ya Mtwara,Lindi,Tabora,Mwanza nk? Hapa ndipo atakumbukwa Chacha Wangwe (RIP) kwani alikuwa na ndoto ya kuipeleka Chadema kila kona ya nchi.

Zaidi ya hili,baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ofisi nyingi za mikoa,wilaya,vijiji zilitelekezwa hivyo kwa miaka zaidi ya mitatu hivyo kwa sasa hakuna oganaizesheni ambayo kimsingi ingesimamia nidhamu,usahihi ujazaji wa fomu na uratibu wa mambo mbalimbali.Hapa ndipo Dr.Slaa alifanikiwa kwani aliweza kupata taarifa ya kila eneo kwa urahisi.

Ukweli hupanda ngapi.

Nawasilisha.

And whats this?
 
Heri ukae kimya mkuu unaongea uongo sana!

Halafu sometimes watu watakua hawakuchukulii serious at all!
ukweli hupuuzwa mwanzoni na una tabia ya ''kupanda ngazi taratibu''..wananchi wamechoka drama za vyama vya upinzani.
 
Haiwahusu tulifanya chaguzi za kupata wagombea kwa njia za uwazi na malalamiko yote yalishughulikiwa na tukawapata wagombea kwa amani kabisa lakini kwa vile mna kiburi cha bunduki na mabomu mkaamua kuharibu uchaguzi. Mtabeba lawama zote.
Kuna kila dalili
 
Back
Top Bottom